Ahsante sana Mbunge, nakupenda sana, kwa sababu wewe unajua sana kila unachosema kina maana, kwa sababu unajua kutafuta pesa wengine wamepata kams tunu ndiyo sababu hawaelewi wanaenda tu kama vipofu. Wamekalia kusifia tu hata hawaelewi wanacho sifia.
Siku zote nasema huyu mwamba angekuwa kaingia darasani half akapata maujuzi ya kizungu... Aaahh hii ingekuwa ngumu..sasa imagine hii chafu iliishia o level tu nahisi...ila balaa lake ni zito..! Hiki ni chumaaaa🔥🔥🔥🔥🔥 tunaoishi nae mkoa mmoja tunajua mbanga zake...very humble guy..! Huyu angekuwa hata na kadegree kamoja...zile shabiby unazoziona zingekwa zinapaa kidgo..hazitembei kwenye lami.. #AKILIKUBWASANAAA
Kwa taarifa yako angekuwa kasoma kama unavyotamani angekuwa mjinga kama wajinga wengine walioenda shule. Mtazame mbunge kama Kishimba na maakili yake ya darasa la saba.
Mm naona bora ambaye hajasoma anaongea vitu vya maana sana kuliko aliyesoma anaweza kutuambia mambo ya darasani ambayo kwenye maisha ya kila siku hayapo
Serikali ya magufuri ndo ilikuwa ya majizi. Ushasikia mtu katekwa, mfanyabiashara kadhurumiwa hiki kipindi cha samia??? Wewe ni kenge mweusi na hilo Jambazi lako tayr lishakufa sisi tunampenda Mama Samia na nchi inaendelea vzr
@@hudhaifamsafiri8731 we pia utakufa watu wanajiteka kisa ujinga zito alitaka kujiteka ishu ukabuma wamechinga waliruhusiwa kufanya biashara kila sehemu huyo mama yako kaingia kawafukuza ingekuwa mama yako anafanya biashara ndo ungeelewa
Mh Wewe ni kiona mbali. Hamjiulizi mkurugenzi wa jiji na Mimi V8 anaenda mayo wapi? Makatibu wakuu sawa Kuna ziara za mokoani. Hawa wa mijo na majiji ufujaji tu.
Kiongozi kusema ivi sio sawa kweli “Unanilazimisha tena nikafanyie kazi zingine ambazo sio za kwangu” Mwalimu Nyerere alifundisha sana kuhusu uongozi hakuna anayesoma vitabu wala kuzingatia mafundisho yake
kwani wana tembeleaga wananchi wapi? na uo mfano wa msukuma ni kweli mtu kakatiwa ela kwaajili ya uendeshaji wa halmashauri wanakata ya kununua kwanza v6 inayo baki ndo inaingizwa kwenye matumiz
Mzee wazili v8 ya nin? Apewe gali ya kawaida. Mbona mna sema mmejenga balabala nchi nzima wapewe ata ist mbona india hawana mambo mengi wanatumia Suzuki
Wewe unajua Mambo ya magari hao wenzio kazi kusifia ujinga hongera zako Kwa kuwafumbua akili maana hawaelewi chochote. Nawatapigwa Sana ndio maana wanatulipisha mikodi ya ajabu ajabu waige India kule wanatumia Suzuki
Suala la gari ni wajibu wenu wabunge kuyatumia kwa shughuli za kuwahudumia wananchi ukinunua V8 ni hiari yako nunua hiyo crown utoe huduma kwa Wananchi,nadhani kabla ya kuwa Mbunge likwenda kwao sasa jiulize ulikwendaje wacheni kukwepa wajibu wetu baada ya wananchi kukuchaguweni tena mukatowa ahadi nyingi ambazo hamujatekeleza na hamutatekeleza mpaka muondoke bungeni
Gari lako binafsi unalitumiaje kwa kazi za serikali?? Usiseme tu kwakuwa unatamani wenzenu wapoteze pesa. Jiukize hata gari lako familia nzima wakitaka kulitumia utakubali??? Je unataka leo mbunge kanunua gari halafu serikali inataka atumir hilo gari kwanini???
@@faithjonathan3845 Nadhani bado hujaelewa wajibu wa Mbunge ndugu yangu jiuze kwann Serikali inatoa mkopo kwao wa kununua gari, ni kwasababu wakastarehe na familia zao
Dah ndio nimefaham leo hela mnapewa ndogo hazitoshi V8 zamani nilikua nikijua ukishinda ubunge V8 inaanza kupaki nyumbani kumba uhakika zaid ni clown dah ndoto yng bdo sna
Nchi za Kiafrika zina matatizo makubwa ya kifikra ni akili mavi, ubinafsi na kujionyesha ni matajiri , sasa magari ya million 500 ya nini wakati mko masikini omba omba budget almost yote misaada ya Wazungu . Huku Ughaibuni Wazungu Serikali zao wenyewe wako very simple na ni matajiri kuliko, hadi maboss kabisa wanatembelea baiskeli huku Ughaibuni ila ona mswahili kwa mbwembwe zake
Ahsante sana Mbunge, nakupenda sana, kwa sababu wewe unajua sana kila unachosema kina maana, kwa sababu unajua kutafuta pesa wengine wamepata kams tunu ndiyo sababu hawaelewi wanaenda tu kama vipofu. Wamekalia kusifia tu hata hawaelewi wanacho sifia.
Wewe ukimusemea huyu hapa usisahau Gwajima wangu.
Mh shabiby michango yako huwa inamashiko sana.kwenye ukweli ukwepeshi.
Safi kiongozi semeni ukweli huyu mwigulu hajielewi kabisa
Shabib,anaongea points kwakujiamini,haogopi,mana ana ela za kutosha.
BIG BROTHER ALWAYS RIGHT
Moro mna mbunge si mshiriki bungeni❤❤❤❤❤❤
Siku zote nasema huyu mwamba angekuwa kaingia darasani half akapata maujuzi ya kizungu... Aaahh hii ingekuwa ngumu..sasa imagine hii chafu iliishia o level tu nahisi...ila balaa lake ni zito..! Hiki ni chumaaaa🔥🔥🔥🔥🔥 tunaoishi nae mkoa mmoja tunajua mbanga zake...very humble guy..! Huyu angekuwa hata na kadegree kamoja...zile shabiby unazoziona zingekwa zinapaa kidgo..hazitembei kwenye lami.. #AKILIKUBWASANAAA
Malizia basi angekuwa anamiliki ndege
Don’t confuse intelligence with education
Kwa taarifa yako angekuwa kasoma kama unavyotamani angekuwa mjinga kama wajinga wengine walioenda shule. Mtazame mbunge kama Kishimba na maakili yake ya darasa la saba.
Mm naona bora ambaye hajasoma anaongea vitu vya maana sana kuliko aliyesoma anaweza kutuambia mambo ya darasani ambayo kwenye maisha ya kila siku hayapo
Hongera mh Kwa kutetea wanyonge.
Wanyonge wanamiliki V8?
@@letthedeadburythedead2148 huwezi kuelewa
Kweli kabisa Mijadala ya Bungeni ndio inaongeza maarifa, hapa Mh. Shabiby amelifungua vizuri hili vizuri.
Ubarikiwe shabby serekari ya samia niya majizi MAGUFULI kaisha kufa naniwa kututetea tutetee aiseehali mbaya sana
Serikali ya magufuri ndo ilikuwa ya majizi. Ushasikia mtu katekwa, mfanyabiashara kadhurumiwa hiki kipindi cha samia??? Wewe ni kenge mweusi na hilo Jambazi lako tayr lishakufa sisi tunampenda Mama Samia na nchi inaendelea vzr
@@hudhaifamsafiri8731 we pia utakufa watu wanajiteka kisa ujinga zito alitaka kujiteka ishu ukabuma wamechinga waliruhusiwa kufanya biashara kila sehemu huyo mama yako kaingia kawafukuza ingekuwa mama yako anafanya biashara ndo ungeelewa
Mkuu uko vzr sana
Wow! What a challenge to us Kenyans
Nakukubali sana mheshomiwa shabiby
Vizuri sana uko sahihi
Saf saanaaa
Safi sana mheshimiwa huo ndo ukweli kabisa
Shabby oyeee!!
Duuuh, kweli kila mmoja anaangalia maslahi yake
Jamaaa ni tajiri na ana akili nyingii!!!
Hahaha amenifurahisha sana kaka " wanapigwa seheem nyingi sana, hawajui" tunashukuru kwa kuwaeleza wazi wajue.
Great shabiby💥
Huyu mwamba yuko makini sana kwenye hutuba zake hongera shabbiy yan ma RAC nao wanataka v8😂😂😂
Ad madc wanataka V8 itafkia ad Diwan
kweli kabisa
Mtu makini Sana
Hakika shabiby ni mtu makini na azina kubwa
Kapata tumakofi tudooogo,wabunge wa ccm wanataka mada za kuunga mkono kila kitu
Akili mingi sana
Mkaguru aliye elimika huyu
G.O.A.T
Hahaha mbunge wangu kunywa soda umeongea point sana wambie wasijifanye mabosi watemberee gari kari akati wananchi hari tete
Mh Wewe ni kiona mbali. Hamjiulizi mkurugenzi wa jiji na Mimi V8 anaenda mayo wapi? Makatibu wakuu sawa Kuna ziara za mokoani. Hawa wa mijo na majiji ufujaji tu.
Upigaji...oyee!!
Huyu mbunge kichwa sanaaa
Million 100 crown we stupiidddd
Kiongozi kusema ivi sio sawa kweli
“Unanilazimisha tena nikafanyie kazi zingine ambazo sio za kwangu”
Mwalimu Nyerere alifundisha sana kuhusu uongozi hakuna anayesoma vitabu wala kuzingatia mafundisho yake
Hapo magari munayo mbona hamutembelei wananchi kwann?
Million 100
Uyu jamaa nikichwa Sana hawajajua tu
Tanzania Kuna baadhi ya viongozi wanatoa hoja za zenye maana sana na Muhimu lakin hazifanyiwi Kazi na ngazi Husika
🔥🔥🔥
Baadhi ya WABUNGE kupiga MAKOFI BUNGENI bila Kujua umuhimu wa kilichosemwa OYEEEEEEEEEE!
Shabiby umeshiba pesa ww hao wanatakiwa wakopeshwe magari wanatumia vibaya
Zikichangiwa hoja za kubana matumizi hamna anae piga makofi
Safi sana mkuu ubunge tutakupa Tena maana unaitetea hii nchi bc hawakuskii wafungue macho hawaoni
kwani wana tembeleaga wananchi wapi?
na uo mfano wa msukuma ni kweli mtu kakatiwa ela kwaajili ya uendeshaji wa halmashauri wanakata ya kununua kwanza v6 inayo baki ndo inaingizwa kwenye matumiz
Tutawachukia matajiri mpk kesho asbh kwasab ndo wanyonyaji wakubwa wa nchi hio
wacha uwongo huo, mbona hamjiongezi nje ya bunge
akili nyingi
Mawazo yako hayana maana kwani watumishi wa ngazi ya chini mbona wanatumia pikipiki zao na bado wa anatekeleza majukumu yao.
Ila mkumbuke huyu mwamba nitajiri
CCM hawana jipya tena
Kwaio anamaanisha wakopeshwe hela zaidi
irudie tena uisikilize utaelewa nini alichomaanisha
Mzee wazili v8 ya nin? Apewe gali ya kawaida. Mbona mna sema mmejenga balabala nchi nzima wapewe ata ist mbona india hawana mambo mengi wanatumia Suzuki
usifananishe India na huku kila nchi na maamuzi yake mbona hutolei mf wa marekani
Huyu jamaa apewe nyota
Uko vizuli mbunge wetu
Wewe unajua Mambo ya magari hao wenzio kazi kusifia ujinga hongera zako Kwa kuwafumbua akili maana hawaelewi chochote. Nawatapigwa Sana ndio maana wanatulipisha mikodi ya ajabu ajabu waige India kule wanatumia Suzuki
Sweden wabunge wanatembelea baiskeli
Acha uongo wewe
😂😂😂
Suala la gari ni wajibu wenu wabunge kuyatumia kwa shughuli za kuwahudumia wananchi ukinunua V8 ni hiari yako nunua hiyo crown utoe huduma kwa Wananchi,nadhani kabla ya kuwa Mbunge likwenda kwao sasa jiulize ulikwendaje wacheni kukwepa wajibu wetu baada ya wananchi kukuchaguweni tena mukatowa ahadi nyingi ambazo hamujatekeleza na hamutatekeleza mpaka muondoke bungeni
Gari lako binafsi unalitumiaje kwa kazi za serikali?? Usiseme tu kwakuwa unatamani wenzenu wapoteze pesa. Jiukize hata gari lako familia nzima wakitaka kulitumia utakubali??? Je unataka leo mbunge kanunua gari halafu serikali inataka atumir hilo gari kwanini???
@@faithjonathan3845 Nadhani bado hujaelewa wajibu wa Mbunge ndugu yangu jiuze kwann Serikali inatoa mkopo kwao wa kununua gari, ni kwasababu wakastarehe na familia zao
Dah ndio nimefaham leo hela mnapewa ndogo hazitoshi V8 zamani nilikua nikijua ukishinda ubunge V8 inaanza kupaki nyumbani kumba uhakika zaid ni clown dah ndoto yng bdo sna
7
Uyo mbunge ni mtu wa chuma
Tena serkali inatia hasar kubwa mno waambia wajue waache tu kulifanyia kaz hilo maana umeeongea kit chamaan
Chuma umeupiga mwingi
Shabiby hana ushamba wa mandinga yeye hata pikipki anapanda hata trecta twende tuuu
Eti haifiki m3.
Hahahahhahaha
Sasa na wewe usipo tembelea wananchi wako SI watakutema hapo ndo utakua unapigania kula kwa haki
haujaelewa
Wanazungumzia watumish wa serikali so wabunge pee mfano mkurugenzi na maafisa wengne wa serikali wasio wanasiasa
@@nsajigwamwakalonge5702 kadandia behewa
Lakwako tumekukopesha kwakua wewe ninani
mh shabiby ni mshusha nondo kwelikweli hajawai kuongea pumba kabisa yan ni fact tyuuuuu
Shabibi una akili timamu
Kama ubunge haukulipi achia ngazi ng'ombe wewe
Huyu mbunge kashiba hela.Tuambie mbunge kwa mwezi analipwa kiasi gani?
posho,marupurupu na mshahara ni zaidi ya milioni 25 kwa mwezi.
😲😲😲
Llllllaq1
Haifiki 25
Milion 12 had 17milion mkuu!