Mwokozi Yesu ● Medrick Sanga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 194

  • @EmmilyAswan
    @EmmilyAswan ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo wanifundisha sana❤❤❤😮

  • @NICHOLAUSKAYUNI-sm7sh
    @NICHOLAUSKAYUNI-sm7sh 9 หลายเดือนก่อน +6

    Hakika Medrick huko uliko ubarikiwe sana nami nabarikiwa sana kupitia nyimbo zako hakika hazichoshi

  • @Chrismadiba1
    @Chrismadiba1 หลายเดือนก่อน +1

    Hiz ndo kwaya sasa sikuizi kumebaki kushindana uimbaj na kucheza japo kua zna ujumbe ubalikiwe medirk mahar ulipo

  • @gracelupindu8656
    @gracelupindu8656 ปีที่แล้ว +2

    Natamani jiji lile nikawaone na wazee🎉🎉

    • @RachelKamba-q3z
      @RachelKamba-q3z 8 หลายเดือนก่อน

      Jiandaee uwe tyr atakapokuja uwe umejiandaaa kwendaa naye

  • @Bizzo08
    @Bizzo08 20 วันที่ผ่านมา +1

    nafunga nayo mwaka 🙏🙏🙏🙏

  • @JonathanMahundu
    @JonathanMahundu 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nimependa nyimbo zako MUNGU akubariki 😇😃

  • @hastinybryson7238
    @hastinybryson7238 8 หลายเดือนก่อน +7

    2024 baada ya pasaka bado tunasikiluza🕊️
    like apa🫶

  • @catherinemaduwa2582
    @catherinemaduwa2582 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana nabarikiwa mno na nyimbo zako hatuzichoki 🌹🙏💕💕

  • @edgamwakyoma9761
    @edgamwakyoma9761 4 ปีที่แล้ว +12

    I'm watching up today 2021 like kama unaiangalia video hii mwaka huu

  • @EricDavid-nb5ye
    @EricDavid-nb5ye หลายเดือนก่อน +1

    Thank so much God bless you bro

  • @jeresigirya6248
    @jeresigirya6248 3 ปีที่แล้ว +10

    Tunaosikiliza 2021 tujuane 😊

  • @japhetjohansenchristian1026
    @japhetjohansenchristian1026 3 ปีที่แล้ว +5

    Medrick uko sawa kaka, Mungu akubariki Sana. Naomba unitumie nyimbo zako, zilizo imbwa kwenye album yako ya "Ee Mungu wangu"

  • @winifridanyika3202
    @winifridanyika3202 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu nibariki na mimi ili moyo wangu usifadhaike

  • @ElijahSinkala-k1x
    @ElijahSinkala-k1x 7 หลายเดือนก่อน +1

    I love your songs sir. I'm still waiting for least

  • @Fredy_masangala
    @Fredy_masangala 5 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU wetu, wa mbinguni Bado ni Mwema Sana today Friday 01 08 2024

  • @MaryGwau-yq8yq
    @MaryGwau-yq8yq 2 หลายเดือนก่อน

    medrick sanga MUNGU akupe maisha marefu sana,mpaka ushangae makuu yake.

  • @MedadKazaula
    @MedadKazaula ปีที่แล้ว

    Uko sawa ata mtotowangu nilimita medrick medard ubarikiwe Sana mungu akupe wepes said nitumie nyimbo zako

  • @DelfinaBalanga-hd5gc
    @DelfinaBalanga-hd5gc ปีที่แล้ว +1

    Nikisikiliza nyimbo hizi hakika zinanibaliki sana hata kama ninamawazo yote yanatoweka nafarijika sana

  • @lucasjohnmabanda5858
    @lucasjohnmabanda5858 3 ปีที่แล้ว +5

    Very encouraging song. It makes me feel like I am in the heavens already. I am listening to the song today 23/12/2021, Thursday

  • @canmakoye547
    @canmakoye547 8 หลายเดือนก่อน

    Waoooo wokovu rahaaaaaaa♥️♥️❤️♥️❤️❤️❤️❤️ kristo is love

  • @CeciliaKennedy-ps2wc
    @CeciliaKennedy-ps2wc ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa sanaaa nimekuwa nikisikia ukiimba nikiwabado mdogo

  • @ailisimpangala6712
    @ailisimpangala6712 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana watu wa Mungu, kwa nyimbo zenye ujumbe mzuri.

  • @josephwanjala7794
    @josephwanjala7794 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa pakubwa mtumshi wimbo tamuu

  • @asantesaid1776
    @asantesaid1776 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mungu ampe maisha marefu na yenye furaha daima

  • @fransiscagotadi7583
    @fransiscagotadi7583 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa na 2023🥰

  • @wilferleih5678
    @wilferleih5678 7 ปีที่แล้ว +7

    Só powerful messages in those songs. May the lord almighty bless you

  • @Iamwitynes
    @Iamwitynes 8 หลายเดือนก่อน +11

    26/4/2024 like zenu hapa❤❤❤

  • @ndaaluloth7377
    @ndaaluloth7377 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo hii inanifariji nnapoiskiliza jaman

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 2 ปีที่แล้ว +2

    Blessed since I was a kid till now ☺️💖💖💖💖💯💖💯💖☺️💯💖🙏🙏

  • @RenardMbalila-ml8ih
    @RenardMbalila-ml8ih ปีที่แล้ว

    Ikiimba kwaya hii nabalikiwa Mungu awabariki amina

  • @benjaminmutua4035
    @benjaminmutua4035 3 ปีที่แล้ว +1

    Aki mbarikiwe sana . Mbinguni Kuna makao yenu. 🙏

  • @habibamanyanda9868
    @habibamanyanda9868 4 ปีที่แล้ว +2

    Naupnd sana huu wimbo...nakumbuka mbali

    • @deomasawe1844
      @deomasawe1844 10 หลายเดือนก่อน

      Amina nakupenda sana

  • @hellenjonson9247
    @hellenjonson9247 6 ปีที่แล้ว +1

    Kumjua Mungu ni kazi sana lazima uwe na bidii tofauti pia uwe na mtazamo tofauti na mtu mwenywe awe tofauti sana

  • @TITUSSiyame-e6q
    @TITUSSiyame-e6q ปีที่แล้ว

    Akika wewe uwanakufatilia sana mana nyimbimbo zako ni lulu kwangu

  • @jackyjohnson2398
    @jackyjohnson2398 9 ปีที่แล้ว +19

    Mungu akujaze kila baraka usonge mbele amen

  • @dibabatv5761
    @dibabatv5761 3 ปีที่แล้ว +1

    Nasikia upako...be blessed watu wa Mungu.

  • @mtumekelvinamani5700
    @mtumekelvinamani5700 4 ปีที่แล้ว +5

    HONGERA SANA MEDRICK HATA NILIJIFUNZA MENGI ULIPO KUWA HAPA KENYA

  • @bokechacha4702
    @bokechacha4702 2 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe sana mtumishi mungu akuinue mara 💯

  • @janetkithumbi9918
    @janetkithumbi9918 2 ปีที่แล้ว

    very powerful message I like your songs tangy yikes kilt makongolosi mung akubariki na akupe neema kaka

  • @shideashidea5570
    @shideashidea5570 6 ปีที่แล้ว +1

    Ningelikuwa na mbwa ningeruka upesi ! Nalitamani sana jiji la Yerusalemi Asante sana

  • @judyngomoka517
    @judyngomoka517 7 ปีที่แล้ว +6

    mungu awabariki sana kwa kubeba injiri kubwa kiasi hiki

  • @barakacmwanza4428
    @barakacmwanza4428 4 ปีที่แล้ว +1

    Alishawah kunishonea suruali pindi nipo Makongolos 2009 dah maisha haya

  • @prophetn.g.simiyu6680
    @prophetn.g.simiyu6680 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako huwa zanibariki zaidi. Zidi kubarikiwa

  • @JonathanMahundu
    @JonathanMahundu 8 หลายเดือนก่อน

    Nimependa nyimbo zako Medric Sangsanga

  • @DusengeLyse
    @DusengeLyse หลายเดือนก่อน

    Mimi ninazipendasana❤

  • @gaudensiayustini8669
    @gaudensiayustini8669 3 ปีที่แล้ว

    Alipo yesu na sisi tutakuwepo tuongeze juhudi

  • @hamidaissa2116
    @hamidaissa2116 3 ปีที่แล้ว

    Nalitamani jiji lile ningekua na mbawa ningeruka upesi nainjoy ndani ya ndani ya upako

  • @boscosegesela7784
    @boscosegesela7784 2 ปีที่แล้ว

    Yaaaaan hadi rahaaa,,,

  • @annociatamukangarambe782
    @annociatamukangarambe782 5 ปีที่แล้ว +2

    Well done brothers and sisters in Christ Jesus. Barikiweni sana.

  • @doreendeus1742
    @doreendeus1742 2 ปีที่แล้ว

    Dah nimekumbuka mbali sana

  • @gastomrikaria6809
    @gastomrikaria6809 2 ปีที่แล้ว

    Mingu atukuzwe milele daima

  • @iluminathakinunda27
    @iluminathakinunda27 2 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana inanikumbushq mbali sana

  • @lydiaokumu6247
    @lydiaokumu6247 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana hii

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri mtumishi

  • @stefanomanoki5931
    @stefanomanoki5931 2 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe sana

  • @StephanoMichael-i5l
    @StephanoMichael-i5l 10 หลายเดือนก่อน

    Safi sana wanakwaya

  • @AaAa-nu1wg
    @AaAa-nu1wg 2 ปีที่แล้ว +1

    Very impressive ❤

  • @valilianmokobi8691
    @valilianmokobi8691 3 ปีที่แล้ว +2

    So powerful, be blessed indeed

  • @betsonkaizilege4445
    @betsonkaizilege4445 6 ปีที่แล้ว +3

    Asante waimbaji Wetu Wa injili Kwa kutufariji

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว

    Amen Glory be To God Of ISRAËL ! God Job Guys!

  • @princiokechukutzmuckarts7997
    @princiokechukutzmuckarts7997 6 ปีที่แล้ว

    awwwwwwwwwww woyooooooiiiiii vigelegele kwabwanaaaaaaaaaa .nyumban mwababa mnamakao.

  • @carolinemasakwi9615
    @carolinemasakwi9615 8 ปีที่แล้ว +12

    You have great message in your songs, God bless you abundantly.

  • @dennisedukan3382
    @dennisedukan3382 2 ปีที่แล้ว

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love from this end

  • @bihimomasemo4482
    @bihimomasemo4482 7 ปีที่แล้ว +2

    mbarikiwe sana wapendwa wa mungu

  • @annadotto2429
    @annadotto2429 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyez mungu akutangulie na waimbaj wako

  • @machumurobert2754
    @machumurobert2754 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe brother hakika umenigusa sana.

  • @bokechacha4702
    @bokechacha4702 2 ปีที่แล้ว

    Injili iendeleee🙏🙏🙏🙏

  • @lucieliasi7828
    @lucieliasi7828 6 ปีที่แล้ว +2

    Amen ubarikiwe kaka

  • @paulnyacheo3644
    @paulnyacheo3644 ปีที่แล้ว

    Great sing with message

  • @Oman-j6x3v
    @Oman-j6x3v 4 วันที่ผ่านมา

    Nice place to God

  • @daudhenry913
    @daudhenry913 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie zaidi upo vizuri sana kakaangu

  • @VeryniceKimaro
    @VeryniceKimaro หลายเดือนก่อน

    28/11/2024 ubarikiwe sana medrick sanga

  • @سندرياناا
    @سندرياناا 6 ปีที่แล้ว

    Mungu abariki wimbo nzuri sana from Burundi

  • @mbarikiwawaisrael4782
    @mbarikiwawaisrael4782 5 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana kaka unanifariji sana

  • @emanuarypaur9222
    @emanuarypaur9222 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe.mungu ni upendo.amina

  • @bihimomasemo4482
    @bihimomasemo4482 4 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki sana kwakazi za MUNGU amen

  • @thombaraka8449
    @thombaraka8449 4 ปีที่แล้ว +15

    Tunao angaria 2020 tujuane

  • @tropicaltzdee
    @tropicaltzdee 2 หลายเดือนก่อน

    Kama kuna mtu anamjuwa huyu mtumishii please Anisaidie kaniponya nikiwa mdogo sana

  • @wafiiwaii-v1d
    @wafiiwaii-v1d 27 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙌🙌

  • @dadawahapapharmacy4225
    @dadawahapapharmacy4225 4 ปีที่แล้ว

    mubarikiwe waimbaji wote

  • @peterwerema3129
    @peterwerema3129 5 ปีที่แล้ว +9

    I love the song. Ooh God!!

  • @khadijajumanne2455
    @khadijajumanne2455 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarkiwe kak angu

  • @vaileth.yohananyaluke6680
    @vaileth.yohananyaluke6680 3 ปีที่แล้ว

    Asante bwana yesu

  • @baheyesingu4693
    @baheyesingu4693 3 ปีที่แล้ว

    Mokozi yesu medrick sanga

  • @mamsaramamassawe.4797
    @mamsaramamassawe.4797 หลายเดือนก่อน

    Naaaam❤❤❤

  • @alexkabanda
    @alexkabanda ปีที่แล้ว

    Good music even performance is good

  • @hasanilongo6732
    @hasanilongo6732 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana

  • @PeterChiyumbe
    @PeterChiyumbe 6 หลายเดือนก่อน

    iwe kher kwako

  • @sharifamsat99
    @sharifamsat99 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikkiwe

  • @iboibo7939
    @iboibo7939 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana

  • @martinanzingo4986
    @martinanzingo4986 3 ปีที่แล้ว

    Amen mubarikiwe

  • @esperancenizeyimana4408
    @esperancenizeyimana4408 8 ปีที่แล้ว +4

    keep moving my brother

  • @stellagodfrey2229
    @stellagodfrey2229 4 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri sana

  • @hellenjonson9247
    @hellenjonson9247 6 ปีที่แล้ว +5

    Waimbaji wako usiwaruhusu wavae wivingi wasuke kwa nyuzi au hivo ipo siri

  • @violetkayange56
    @violetkayange56 6 ปีที่แล้ว +1

    God bless you my brother in low

  • @kenedyochieng155
    @kenedyochieng155 7 ปีที่แล้ว

    Hakika uko juuu mtumishi wa mungu

  • @benardsimfukwe2814
    @benardsimfukwe2814 2 ปีที่แล้ว

    Nice songs

  • @PendoMarico
    @PendoMarico ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏

  • @abelijonasan1209
    @abelijonasan1209 6 ปีที่แล้ว

    kaka mungu akulinde

  • @mayanikwetu7401
    @mayanikwetu7401 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona siku hizi nyimbo mpya hamuna

    • @tonykorir444
      @tonykorir444 หลายเดือนก่อน

      Kweli...? Mbona hamna tena?