KINACHOENDELEA KWENYE MSIBA Mbarikiwa Mwakipesile

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2022
  • MUNGU UTAKAYEMWABUDU KWA RAHA KWA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO NI YULE ALIYEKUSAIDIA KULIKO MATARAJIO /MAOMBI YAKO. (EFESO 3:20, 2 PET 1:3-4, EFESO 1:9-10)
    Kwa Mungu aina hiyo kila saa na kila siku utatamani uende kumtumikia, kumwomba na kumwabudu hekaluni. Yaani haiwezi pita siku moja bila kuingia hekaluni. (ZABURI 122,1, 84:1-10, 27:4-5)
    Kwa Mungu wa aina hiyo utatoa mali zako zaidi ya uhitaji (KUTOKA 36:3-7, 1 NYAKATI 29:9-12)
    #JUMAPILI ZILIZOPITA TULIJIFUNZA :-
    Fanyia kazi makosa yako ili usidharaulike, usichezewe/kuumizwa hovyo/kirahisi na watu, magonjwa ya pumu, #moyo kutanuka, #kutumia miwani, vidonda vya tumbo, wachawi, mapepo nk. (1 Timo 4:12)
    Yaani kukutwa na magumu ambayo huoni njia yoyote, mtu yoyote au Mungu atakayekusaidia kwa namna yoyote.
    Hatumwabudu Mungu anayeweka sawa kila kitu, bali anayetaka tuweke sawa maeneo yenye UTATA KWA MSAADA WAKE (ZABURI 108:13, ISAYA 40:1-5).
    MTU ANAYETOKA KATIKA IBADA SAHIHI HAOGOPI TATIZO, BALI HULIFWATA KWAKUWA NDIO KIPIMO CHA IMANI..
    Mwaka 2022 ni mwaka wa kwenda kwa utakatifu, kufanya mambo kwa namna iliyotakiwa kufanya, kufanikisha mambo kwenye mazingira magumu.
    Mwaka 2022 kikosi kazi tunakwenda kupanda mambo kwenye mawe na miamba migumu na mazao yataota na tuta yapalilia na kuvuna mazao yaliyo bora.
    #Mbarikiwa #Mwakipesile akieleza sababu kwanini watu wengi watakubali

ความคิดเห็น • 34

  • @janetmbeyu7863
    @janetmbeyu7863 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana wapendwa.mimi nikiwa Kenya hupenda Sana kufatilia mahubiri hapa.Binti alifanya KAZI nzuri ,sauti nzuri ya kuimba,sifa Safi kaacha lakini yote mungu anaelewa vyema Tumpe mungu shukurani.

  • @adrophwilliam3225
    @adrophwilliam3225 ปีที่แล้ว +5

    Muyaweze yote katika Yesu Kristo

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Lazima shetani aibike tu lazima mageneza yaibike tu mamluki yaliyo laaniwa yanajifunga taa kama mitumwa

  • @denismwalukunga8686
    @denismwalukunga8686 ปีที่แล้ว +2

    Pole saana mtumishi wa Mungu mbarikiwa mwakipesile na mkeo kwa kipindi mnacho kipitia Mungu awatie nguvu ,Mungu atabaki kuwa Mungu hata kama hakujibu mlivyotarajia😭😭😭😭😭😭

  • @matswelopelemphela261
    @matswelopelemphela261 ปีที่แล้ว +1

    Amina sifa na utukufu kwake yesu kwaa matendo yake makuu hata Hili nikuu Sana kwaajili ya mtoto wetu wokovu Asante sana yesu.

  • @jeremiamadinga4555
    @jeremiamadinga4555 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi mungu awape moyo mkuu amina

  • @LindaJohn-fy1in
    @LindaJohn-fy1in 22 วันที่ผ่านมา

    Yaani sitaki hata kuangali hii clip huyu mtoto nilikuwa nampenda sana roho yangu inauumaga Kila nikiangali

  • @adelesifa2257
    @adelesifa2257 ปีที่แล้ว

    Poleni watoto wa Mungu, azidishe nguvu mara dafu kwanu tumeumia kwapamoja ivo tu tuko mbali ila kwakuumia wote tumeumia ila wote tuseme asatin kwa Mungu, Baba na Mama Yesu awe nasi tusonge mbele.

  • @scolakalindu8077
    @scolakalindu8077 ปีที่แล้ว +1

    Baba Mungu akuinu juu hakika jujaa bint mwema enda slama mama hakiki wewe ni shujaaaaaaaa mama nenda imani umeilinda dada kipenzi❤❤😭😭

  • @tunzamngwaletunzamngwale1884
    @tunzamngwaletunzamngwale1884 ปีที่แล้ว +2

    Pole m,barikiwa mungu awatie nguvu

  • @emmyomary9640
    @emmyomary9640 ปีที่แล้ว

    Mungu amemchukua asije akatenda dhambi,, Mungu akutie nguvu mtumishi naelewa unayopitia

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 ปีที่แล้ว +2

    Mungu hakutaka atende Zambi kamchukua ili tukue kiimani

  • @edinajossephatgeorg6246
    @edinajossephatgeorg6246 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwetu mwananchi, hongera, kwa Imani, barikiwa

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wapendwa ndugu na jamaa na wazazi kwa kuondokewa na mtoto wenu mpendwa, mungu hawatie nduvu katika kipindi hiki kigumu unacho pitia

  • @samsonmkami1026
    @samsonmkami1026 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mtumishi wa mungu

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 ปีที่แล้ว +1

    Libarikiwe jina la bwana

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ampumzishe kwa amani.
    Inauma mnoo

  • @estershenene8787
    @estershenene8787 ปีที่แล้ว +1

    Polen sana familia tulimpenda mung kampenda zaid inauma sana lakini inatupasa kuishi kwa matumaini tukiamin ck moja tutakua nae amina

  • @richeljamesmosses9685
    @richeljamesmosses9685 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana jamani kazi ya mungu haina makosa

  • @delphinamathias7852
    @delphinamathias7852 ปีที่แล้ว +3

    Jamani napata shida hivi hawa wamefewa au wanaigiza maana hata mama Maria mama wa yesu.alishindwa kuvumilia maumivu.ya mwanaye.yesu

    • @vailethbruno1577
      @vailethbruno1577 ปีที่แล้ว

      Mtumish mtu wa mungu anapopita kwenye karibu/ pito kuna faraja ya yesu ya ajabu unatiwa nguvu ya kuyashinda na faraja ambayo ulimwengu huwez kutoa kaa vzr na yesu yeye anasema hata tujapopita kwenye maji mengi neno lake linasema hayatatugharikisha

  • @scolakalindu8077
    @scolakalindu8077 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaaaaaaaaa Mungu ni mwaminifuu tufanii inavumaa🔥😭🤣❤❤❤❤🙏

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula5542 ปีที่แล้ว +2

    Amen. Amen. Amen. May her soul rest in peace.

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe sana

  • @suzanamkanula7763
    @suzanamkanula7763 ปีที่แล้ว +1

    Aise 😭😭😭

  • @teclamastone7098
    @teclamastone7098 ปีที่แล้ว +2

    Poleni poleni sana wapendwa

    • @mathayomarco9172
      @mathayomarco9172 ปีที่แล้ว +1

      Mungu awatie nguvu. Ushuhuda mkuu.

    • @danielamhagama954
      @danielamhagama954 ปีที่แล้ว

      Pole I huo ndio ushujaa tusitetereje ktk imani iman zetu zisitindike kwa lolote hakuna tudna la huzun ktk matunda 9 ya roho mtakatf ameni,

  • @juliennemweze6891
    @juliennemweze6891 ปีที่แล้ว

    Maman Salome, pole sanaaa mama yetu kwa hayo yaliokupata. Mungu akufariji kama maman. Bwana alitoa na Bwana ametwaa! Jina la Bwana libarikiwe

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Mungu wangu akupe ngufu akika mungu lazima ajithirishe juu ya mashetani yote yaliyousika juu ya kifo cha mtumishi wake

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Sisi umma tunasema bado tuko na mmbarikiwa

  • @marthahaule8520
    @marthahaule8520 ปีที่แล้ว

    Asikwambie mtu kwa yesu kunaraha

  • @dorrismhando85
    @dorrismhando85 ปีที่แล้ว +1

    Wokovu nitakukumbuka japo sijawahi kukuona uso kwauso ila nilikupenda tu