Hao jamaa wanapanga njama za kuiba uchaguzi kila mmoja anatoa vitisho kupiga kuuwa watu wanahisi wakisha uwa watu basi imesahauliwa hawajui iko adhabu iumizao walipewa vyeo wakiw midomo imefumba sasa midomo yao inaninginia kama ngamia hii ndio mwanzo wa laana za Mwenyezi Mungu kama hao wanaotumikia dunia kwa laana za Allah kwa maovu waliowafanyia hao ŵnanchi maskini wanao sema eti tunawapenda kwa maslahi yao Hasbia llah waniima liwakiil
Kweli baba vijana tunapata tabu kwenye visiwa vyetu .ajira zote zinachukuli nawatu wasio wazaliwa .wawekezaji wanakumbati wahamiaji kuwapa ajira mahotelini kote mnasema kweli baba Act
Sawa sawa
000
Hao jamaa wanapanga njama za kuiba uchaguzi kila mmoja anatoa vitisho kupiga kuuwa watu wanahisi wakisha uwa watu basi imesahauliwa hawajui iko adhabu iumizao walipewa vyeo wakiw midomo imefumba sasa midomo yao inaninginia kama ngamia hii ndio mwanzo wa laana za Mwenyezi Mungu kama hao wanaotumikia dunia kwa laana za Allah kwa maovu waliowafanyia hao ŵnanchi maskini wanao sema eti tunawapenda kwa maslahi yao Hasbia llah waniima liwakiil
Nani aliyewachaguwa hao walikuwepo madarakani 2020?
Hii nchi bora iongozwe na chama chochot ila sio CCM
Okay Ila Hata Mkishinda Hawo Jamaaa Hawatoki Inafaida Gani Kwani Marangapi Mnashinda..
Ameen
nchi inahitaji mabdiliko na OMO ndio mtu sahihi
Msahau habadan kuiondosha CCM
Huyo aliyeletwa na magufuli amfuate magufuli Alipo.
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa Mma
Baada ya Allah subhana wataala basi ACT ndio tegemeo letu wazanzibari
😂😂
Haya ma DJ YA NNN?
Mnajitajid lakini hamtafanikiwa
Kama mkamilifu ni MUNGU mnamlaumu nin Daktari Husseni na CCM?!
Demekrasi
Bandika bandua mpaka Ikulu ya Zanzibar, Oktoba, 2025.
Ata wakishinda hawapewi mara zote wanashinda lakini hawapewi