Mzee wangu ungetunza heshima yako kwa kukaa pembeni na kuwaamini wengine kuongoza chama na ww ukawa mlezi wa chama. Ni wazi kabisa Mbowe hutaki kutoka hapo kwenye cheo cha mwenyekiti.
Mbowe mzee wa Bapa Konyagi pumzika inatosha sasa uendelee kunywa Konyagi. Mbowe unakasoro angalia macho yako tunajua muumbaji ni Mungu ila kuna ishara ziko "Don't Trust mtu mwenye macho ya staili yako wanakuwa sio waaminifu kabisa Chuji' wana Chadema muwe waangalifu sana na huyu jamaa.
Sasa weweee mzee hapo unapambana na nani ???? Toa kiti kwa mwingine hapo unaongea kama mtu tofauti wakati ni chama ni kimoja lisu na wegine ni chadema wewe kaa pembeni toa kwa wengine 😢😢😢
Sasa mbowe maelezo yote ya nini wewe toa uongozi kwa mtu mwingine lialia yako hapo unajifanya u nachungu zaidi ya wengine weee toa chama kwa mwingineeee maellezo ya niiiiiniii
Umechagua kuua demokrasia? Hivi ktk mda wako wote huamini kama umekwisha andaa wanasiasa ambao wamekomaa na wana uwezo wa kukiendesha chama? Pumzika uoneshe kwa vitendo kwamba ndani ya chadema kuna demokrasia ya kweli: kwa kufanya hivyo utakuwa umethibitisha kukua na kukomaa kwa chama chetu.
Walahi hakuna taasisi bila wananchi okay acha tu nikae upande wa wanaoogopa vita pambana Mzee utakuja kutuelewa mda cyo mrefu ahsante kwa Kazi kubwa uliyo ifanya
Chama chetu hatukipeleki nje ya Kabila letu aiseee Baba angu chama hii imetoka Moshi itafia Moshi itazikwa Moshi Sio Singida wala Mahali pengine ni Moshi pekee.
Siku zote nilikua nasikia kuwa Mbowe hutaki kuachia Uenyekiti tangu kipindi cha Kaburu, Chacha Wangwe, Zitto na sasa Tundu Lissu. Sasa nimeamini yote yaliokuwa yanasemwa dhidi yako, nimekushusha sana credit.
Jamani mbowe hasomi alama za nyakati si angepumzika tuu? Amepooza kwa kusubiri ahadi ya kuteuliwa nafasi za upendeleo za 4r huku ccm hao hao ndio wanamwita dikteta 😊😊
Huyu kwa maelezo yake tu anaona kama hiki chama kali yake Leo hii mnalaumu ccm haitaki kutoka madarakani hali yakua yale mnayolaumu ndio unayofanya mwenyewe basi utashinda tu mana viongozi wakanda wote ww ndio umewaweke madarakani kwenye uchaguzi ulioisha hivi karibuni na waliokua kinyume chako kama msigwa uliwapiga chini ili utawale mpaka ufiikishe😂miaka 70 au 68 kama mzee mtei kwahiyo hutatoka mpaka ufikishe umri wa watangulizi wako nasikitika sana naiona chadema inakwenda kuanguka kama cuf na nccr mageuzi zimebaki na viongozi wakudumu Lkn hakina wanachama nauhakika lisu atakwenda kuungana na zito kule act wazalendo
Huo ni ubinafsi uliokithiri kushindwa kuwa kiongozi bora, kushindwa juandaa viongozi wapya. Huu ni udhaifu mkubwa na hatari kwa taifa iwapo arakuwa kiongozi mkuu wa serikali.
Hawa wanaokubeza ni ccm au chaws wa ccm ni 😅washabiki wa ccm Wala usiwajali wahudumie watanzania ila kumbuka vilevile kubwa watanzania wamekuchoka wanahitaji mabadiliko wamechoshwa na ccm wanahitaji chadema ichukue nchi na siyo vinginevyo badilisha strategy
Mnaongea maneno ya kumlaumu mbowe ni wale wanaotaka chadema ife kabisa tundu mpita njia tuu, hakawii kukimbilia ubeliji, ndio maana familia yake iko ubelijiji, tumeona kwenye mandamano tulimona mbowe na familia yake wakidhalilishwa, lisu na familia yake wakiwa wakila bata, tusemekweli kamanda mbowe kamasimama imara hakuna chadema, tuacha uchawa mjue ccm wako kazi, lisu anatumika ,
Wala haipendezi makamo na mwenuekiti kukimbilia KITI kimoja. Sasa aibu hiyo inakuja. Sijui lakini pigo la kisiasa ndani ya mwaka wa uchaguzi litashuhidiwa. Au ndo fahari wawili hawakai zizi Moja??? Kiti, kiti, kiti kitaleta amani chamani???Uluwa ni kitu kingine madaraka matamu. Acha watu wavirugane. Mungu ibaroki chadema na TANZANIa.
Chama changu chama changu kipeleke machame basi miaka 20 bado tu ukipata Urais wa nchi wewe utang'ang'ania ka museveni mpaka miguu inampa ishara mzee basi wapiii kakomaaaaa tu
Ukimsikiliza Lissu, balaa! Ukimsikiliza Mbowe, balaa! Strong point (nasaha kuntu) ya Mbowe niliyoisoma kwake. Amesema, "hana shida na ukomo wa madaraka, wenye ukomo ni wananchi. Aidha kama ipo haja ya ukomo zipo sheria za chama. Leteni agenda mezani na mchakato wa sheria ya kichama uendelee!"
Sasa wewe mbona meshindwa kuimlisha itikdi na sera kama unavyosema wewe umekaa mika 20 bado tu hujaweka misingi sasa ni mtu wa namna gani nawakati wenzako wmeweza ten kwa miaka michche
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Mbowe acha uongo 😂😂😂😢
Kesha haribu tayari. That is the end
Ni kweli, amshauwa chama
Mzee pumzika Acha ukoloni maomboleo kua bila Mbowe hakuna Chedema We need a change ng'atuka.😂😂
Ash uyu mzee sasa kazdi uwo urafi wa madaraka ila anataka kuleta uccm wa kuny!ny!ania madaraka dawa ni kupga chani kwenye sandugu la kula
Yaani mlitaka kunyang'anya Wachagga chama chao😅
Africa na ubinafisi 😭
Yaani hawa ndiyo wa kuilaumu CCM 😂😂😂😂😂
Mbowe, the diehard and blessed leader, mungu awabariki na kamati yote ya CHADEMA
Tamaaaa
Mbowe kashindwa kabisasaa kusoma alama za nyakati
Anazngua baana wezake wote wamepunzka ikiwemo kina lema
Mifano dhaifu
Kwa ukoloni huu, CCM sihami
Acha porojo waachie wengine waongoze
Uchu wa madaraka ndio chanzo cha kukosa mabadiliko ya kiskasa TZ.
Kabsa
Mzee wangu ungetunza heshima yako kwa kukaa pembeni na kuwaamini wengine kuongoza chama na ww ukawa mlezi wa chama. Ni wazi kabisa Mbowe hutaki kutoka hapo kwenye cheo cha mwenyekiti.
Kweli Mwamba CHADEMA NI MALI YAKO BINAFSI!!!!
Mbowe mzee wa Bapa Konyagi pumzika inatosha sasa uendelee kunywa Konyagi.
Mbowe unakasoro angalia macho yako tunajua muumbaji ni Mungu ila kuna ishara ziko "Don't Trust mtu mwenye macho ya staili yako wanakuwa sio waaminifu kabisa Chuji' wana Chadema muwe waangalifu sana na huyu jamaa.
Hiki chama ndio kimefika ulimi wake! kweli hii ni saccos ya mbowe
Maandamo yalizaidia nini upuuzi mtupu 😢
Kwani hapo si uko mtandao ?unajitekenya mwenyewe 😂😂😂
Sasa weweee mzee hapo unapambana na nani ???? Toa kiti kwa mwingine hapo unaongea kama mtu tofauti wakati ni chama ni kimoja lisu na wegine ni chadema wewe kaa pembeni toa kwa wengine 😢😢😢
Anazngua uyu mm mwenyewe kaniboa ngoja wakae na chama chao
Safi sana na ndiyo maana ya demokrasia kura ziamue .
Siwezi kukiacha chama kwenye hali hii😂😂😂😂kwani chama ni chako?
Mungu akutanguliye hakika umetutowa mbali na chamachetu umejitoleya vingi Mungu akulinde
Nkurunzinza
Mbowe Hongera sana
Ilinde. Chadema . Tundu endelea kuwa nae aendelee kuwa mwanaharakati .
baki na viongozi wako wanao kuunga mkono kama umeshidwa kujuwa wananchi wanataka nn watu wanamutaka lisu na skingine
Anazngua uyu kesha kuwa chawa wa ccm hik chama hakiend popote
Umesema vema=nchi yetu sote=sio sisi tu,wale au watu fulani ......
Alafu nyiiiie chadema hasa viongozi wa juuuu Muna jionaga munajua Sana
Mbowe akigombea tena basi ujue Chadema ndio kwisney, mii niko paleee mtakuja niambia.
Upo sahihi hata Mimi naachana na chadema ya mbowe
Sasa mwenyekiti mbona unawa karibisha vijana kwenye chama kwa kuwapa hofu
Mbowe the diehard ✌️
Hukuna kitu hapa
Sasa wewe na ccm tofauti iko wapi?
Sasa mbowe maelezo yote ya nini wewe toa uongozi kwa mtu mwingine lialia yako hapo unajifanya u nachungu zaidi ya wengine weee toa chama kwa mwingineeee maellezo ya niiiiiniii
Alie sikoa Real Madrid ya Ufaransa tujuane hapa😅
Mbowe pumzika banah umwachie tundulisu heshima yako ibaki pale pale
Endelea usiwasikilize waasi
Umechagua kuua demokrasia? Hivi ktk mda wako wote huamini kama umekwisha andaa wanasiasa ambao wamekomaa na wana uwezo wa kukiendesha chama? Pumzika uoneshe kwa vitendo kwamba ndani ya chadema kuna demokrasia ya kweli: kwa kufanya hivyo utakuwa umethibitisha kukua na kukomaa kwa chama chetu.
Safi kabisa.Tundu Lisu ni kiongozi mzuri ila si mtu wa kuachia nafsi ya mwisho kwenye chama
Diktata ni wewe mwenyewe hujioni kungangania kiti
Ata tunaona ukiwa rais Wasira sisi Wamasai wanamuombea sana sana mweshimiwa 🎉🎉🎉🎉Mungu akulinde amuwa utembelee ngorongoro kata nanokanoka asande sana
Kwanini unakomaria siuondoke kama hakuna masrahi
MBOWE NAKUKUBALI SANA ,MUNGU AKUTANGULIE NAKUOMBEA SANA❤
Acha nicheke tuu...ati anajiosha kwa umma, pumzikatumekuchoka, ww ni kibaraka tayari
Good for the party and TANZANIA AS A WHOLE FOR THE SAKE OF DEMOKRACY
Ongera sana kwa uongizi uliotuka naheshimu sana misimamo Yako na ndiyo sababu ya chadema kua hai
we mzee chiz kwely umegombea Tena una Ata haya?
😂😂😂😂😂
Mi pia amenishtua sana niliposkia anagombea tena
Baadaye unamchukuwa mbowe anakuwa raïs basi anaongoza in'chi hadi kifo
JS😮❤❤❤
Hatuwezi kukuchaguaaa wewe kama raisi maana utavunja katiba na uongoze milele
Mbowe yani unatia aibu kumbe wewe ni ccm ?mbabaishaji tu wewe unashusha heshima yako tundu risu anakupita ufahamu ebu mwachie akusaidie acha ubaba ishaji lisu akikosa chama kinakufa hicho
Usihusishe CCM hapa, CCM ni chama kilichoweka mifumo inayoeleweka.
Yote ya nini hayo 😂, wewe tangaza tu hii nafasi ni yako tu siku zote na wengine watambue hivyo
Walahi hakuna taasisi bila wananchi okay acha tu nikae upande wa wanaoogopa vita pambana Mzee utakuja kutuelewa mda cyo mrefu ahsante kwa Kazi kubwa uliyo ifanya
Real Madrid niya spain bwana Mzee Mbowe 😂
Kesho press ya Lissu
Chama chetu hatukipeleki nje ya Kabila letu aiseee Baba angu chama hii imetoka Moshi itafia Moshi itazikwa Moshi Sio Singida wala Mahali pengine ni Moshi pekee.
😂😂😂😂
😂😂😂
Mwamba nakukubari sana. Ingiza timu uwanjani na utashinda tuko nyuma yako.
Kazi ngumu Usi shuke na kuacha usukani Gari lika ingia polini
KWELI LISU AONGEZEWE ULINZI....KUMBE ULIONDOA UKOMO WA KUGOMBEA MWENYEWE.....BASI MSIGWA NAANZA KUMWELEWA......NA SUGU NIMEGUNDUA NI MDAU WAKO....
❤❤❤
Hakuna mtu anataka kitu kwako
Naaam umeupiga mwingi Mangi, unaushahidi na una hekima ,
Siku zote nilikua nasikia kuwa Mbowe hutaki kuachia Uenyekiti tangu kipindi cha Kaburu, Chacha Wangwe, Zitto na sasa Tundu Lissu. Sasa nimeamini yote yaliokuwa yanasemwa dhidi yako, nimekushusha sana credit.
Ccm pamoja na mapungufu yake ila ccm itabaki kuwa chana Bora kabisa
mnomlaumu mbowe au lissu kuchukua fomu ndio nyinyi hamjui demokrasia kama sheria inawaruhusu wapewe uhuru wao
Wewe pia mwenda zake acha kumtataja Magufuli kwa tamaa zako mpuuzi kubwa wewe endelea kungangania ili kumtaja magu no
KUANZIA LEO NAHAMIA CCM.....
Aendee kua mwenyekiti
Jasiri hufia vitani
Jamani mbowe hasomi alama za nyakati si angepumzika tuu? Amepooza kwa kusubiri ahadi ya kuteuliwa nafasi za upendeleo za 4r huku ccm hao hao ndio wanamwita dikteta 😊😊
Wewe usiwadanganye watu CCM ikiongope chadema achiya wengine mama samia bado mnamwona mama samia hafai
Tuko nyuma yako mbowe ndiyo mlinda amani ya nchi
Mpogoro mvivu wa kufikiri wewe. Mbowe alinde Amani ya Nchi yeye Kifaru au SMG.?
Huyu kwa maelezo yake tu anaona kama hiki chama kali yake Leo hii mnalaumu ccm haitaki kutoka madarakani hali yakua yale mnayolaumu ndio unayofanya mwenyewe basi utashinda tu mana viongozi wakanda wote ww ndio umewaweke madarakani kwenye uchaguzi ulioisha hivi karibuni na waliokua kinyume chako kama msigwa uliwapiga chini ili utawale mpaka ufiikishe😂miaka 70 au 68 kama mzee mtei kwahiyo hutatoka mpaka ufikishe umri wa watangulizi wako nasikitika sana naiona chadema inakwenda kuanguka kama cuf na nccr mageuzi zimebaki na viongozi wakudumu Lkn hakina wanachama nauhakika lisu atakwenda kuungana na zito kule act wazalendo
Mimi nilitamani hivyo ili demokrasia ndani ya CHADEMA ikomae siyo ilete mtawanyiko bali ijenge Umoja kamili.
MMH! MUNGU ANAJUA. CCM OYEE!
Mbowe bado tunaimani nawewe
Dawa ni kumuangusha kwenye sanduku la kura tu
Awezi kwachia kiti uyo nikibaraka wa ccm amekura pesa ya ccm ataachivip jeakiachia kiti atarudisha pesa ya ccm
Huo ni ubinafsi uliokithiri kushindwa kuwa kiongozi bora, kushindwa juandaa viongozi wapya. Huu ni udhaifu mkubwa na hatari kwa taifa iwapo arakuwa kiongozi mkuu wa serikali.
Hawa wanaokubeza ni ccm au chaws wa ccm ni 😅washabiki wa ccm Wala usiwajali wahudumie watanzania ila kumbuka vilevile kubwa watanzania wamekuchoka wanahitaji mabadiliko wamechoshwa na ccm wanahitaji chadema ichukue nchi na siyo vinginevyo badilisha strategy
Utayumba
Miaka 20 hujafanya mabadiliko yeyote lakini bado unang"ang"ania tu Acha u selfish muda wako umekwisha
Tunataka mdahalo kati yako na lisu
Mnaongea maneno ya kumlaumu mbowe ni wale wanaotaka chadema ife kabisa tundu mpita njia tuu, hakawii kukimbilia ubeliji, ndio maana familia yake iko ubelijiji, tumeona kwenye mandamano tulimona mbowe na familia yake wakidhalilishwa, lisu na familia yake wakiwa wakila bata, tusemekweli kamanda mbowe kamasimama imara hakuna chadema, tuacha uchawa mjue ccm wako kazi, lisu anatumika ,
Wala haipendezi makamo na mwenuekiti kukimbilia KITI kimoja. Sasa aibu hiyo inakuja. Sijui lakini pigo la kisiasa ndani ya mwaka wa uchaguzi litashuhidiwa. Au ndo fahari wawili hawakai zizi Moja??? Kiti, kiti, kiti kitaleta amani chamani???Uluwa ni kitu kingine madaraka matamu. Acha watu wavirugane. Mungu ibaroki chadema na TANZANIa.
Umetunza heshima yako Kwa kutokimbia kivuli chako,,
Utapinduliwaje na vinyago ulivyovichonga mwenyewe?
Uchu wa madaraka huyu kwa bahati mbaya akipewa nchi hawezi kuachia ngazi
Mm chadema ila mzee sasa punzka achia na wengne sasa miaka ulokitumikia chama inatosha mzee
na ukishinda akuna chadema Tena ujielewi kwely miaka 21 unaona uchungu kuachia kit?
Kura zitaamua
Kura ziamue basi,hofu ya Nini si ndiyo demokrasia hiyo sasa hofu ya Nini.?
Akiiba je ? 😒@@FrancisThomas-jc8wq
@@edwinalexander1170ataiba bana 😅
Acha kura ziamue
Chama changu chama changu kipeleke machame basi miaka 20 bado tu ukipata Urais wa nchi wewe utang'ang'ania ka museveni mpaka miguu inampa ishara mzee basi wapiii kakomaaaaa tu
Unashangaza kweli vita ni yako nani ? Kiisa wanachama wenzako wanataka mabadiliko !!!hapo unaongea kama vyama viwili,mifano dhaifu sana
Hahaaaa
The good dancer must know when to leave the stage. Unacho subiri ni aibu.
Ukimsikiliza Lissu, balaa! Ukimsikiliza Mbowe, balaa! Strong point (nasaha kuntu) ya Mbowe niliyoisoma kwake. Amesema, "hana shida na ukomo wa madaraka, wenye ukomo ni wananchi. Aidha kama ipo haja ya ukomo zipo sheria za chama. Leteni agenda mezani na mchakato wa sheria ya kichama uendelee!"
Sasa wewe mbona meshindwa kuimlisha itikdi na sera kama unavyosema wewe umekaa mika 20 bado tu hujaweka misingi sasa ni mtu wa namna gani nawakati wenzako wmeweza ten kwa miaka michche
Huna akili ya kulea chama kwani ukiacha uwenyekiti kunahasala gani
Hili jamaa ni lijinga Sana linasema Katina ya nchi kuwa ni mbovu
JS😮❤❤❤