Part 2.Mbarikiwa aonyesha ni nani aweza akawa anashusha vews wa Martha Mwaipaja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @adamsonkyando-l4i
    @adamsonkyando-l4i วันที่ผ่านมา +2

    Ushauri mzuri sana huyu dada kabadilika sana ,anako elekea !!!! Mungu tunaomba Neema yako juu ya mtumishi huyu Matha ,ila kabadilika, wako kufanya kapeni ya kishetani ili walio olewa waachane na waume za,hii roho Mungu asaidie kizazi hiki.Pia kunamhubiri mwingine anajiita Beni lsaya Alitaka juja na Roho chafu kwa wanaume kusema tuoe waie wengi !!lakin Wanaume waligundua kapeni ya kishetani hii tukamtupilia mbali! Waimbaji wanavaa kucha za bandia kama kahana kabisa !! Mungu asaidie kizazi hiki huu wokomvu huu,Mala wamevaa manywele ya wazungu ,jsmsni wanawake Mungu awaokoe.

  • @Mahegatv
    @Mahegatv วันที่ผ่านมา +1

    Amina baba Mungu akubariki sana mtumishi

  • @MalafyaleTata-h9b
    @MalafyaleTata-h9b 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏kweli baba

  • @Cosmassilwamba
    @Cosmassilwamba วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂 Asante sana mchungaji umewajibu kwa hekima

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 วันที่ผ่านมา +3

    😂 USHAURI MZUURI SANA KWA MATHA NAZANI KUNAKITU ATAFUNGUKA HAPA

  • @ItikaWito
    @ItikaWito 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nime kubali asie sikia la mkuu huvunjika guu pia njia NI nyembamba iendayo uzimani Ukweli una Uma Ila ndiyo tiba asili pekee

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha upumbavu martha, umefukuzwa kazi na Yesu, umekuwa

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu amsaidie Matha ukweli dunia imempundua sana.

  • @emmysanford5752
    @emmysanford5752 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    M nataka mpaka wafe kwenye ndoa mwache aoe ndo amejionyesha hawezi kuvumilia bila kufanya uzinifu mbona mbasha hajaoa mpaka leo

  • @MugishoMwenda-sx6xt
    @MugishoMwenda-sx6xt วันที่ผ่านมา

    Jibu ni hilo kabisa maisha wanao ishi ni tofauti na wanacho hubiri kwenye nyimbo zenyewe!!!

  • @ashelikilele167
    @ashelikilele167 วันที่ผ่านมา

    Amen baba pointi nyingi sana za kuchukua

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 วันที่ผ่านมา

    Mungu anaruhusu lila jambo kwa makusu yako.Mch Mbarikiwa hajakuattack ni wewe na mimi kumkaribia Mungu hata mimi siko sawa na Mungu

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 วันที่ผ่านมา +1

      2meruhusiwa kuonyana!
      Neno la Mungu n uzima we2,yan n kla k2 knachomfaa mwanadam.. Ya2pasa kuish ktk neno la Mungu ili 2we salama na 2we krb na Mungu!

  • @raphaeledson2002
    @raphaeledson2002 วันที่ผ่านมา

    Amina baba

  • @Anyone-c5b
    @Anyone-c5b วันที่ผ่านมา +1

    Tochi ya Mlinzi alimtamkia kwenye zile video akamwambia
    "Gusa tena hii video Uone Mungu atakachofanya Mapema kabisa"
    Na kweli alipogusa na Mungu akagusa video yake imekuwa Mbovu kuliko zote😮😮

  • @muujizakasiwa4534
    @muujizakasiwa4534 วันที่ผ่านมา

    ❤Umenena vema mzee.

  • @elrachum3866
    @elrachum3866 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    VIEWERS WANINI? Martha? unaimba ili utengen eze viewers? ... Umepotoka...

  • @mariamdeogratiusmalimayai4495
    @mariamdeogratiusmalimayai4495 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sema mtumishi tupone

  • @GloryArman-xn9ly
    @GloryArman-xn9ly วันที่ผ่านมา

    Ulicho sema MTUMISHI SASA nimejua yaani MUNGU hatakiwi kabisa ila tumeshinda shika neno.

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HUWA SIKUBARIANI NAWE ...LAKINI KUNA MENGINE MUHIMU

  • @GraceOtieno-vo3sj
    @GraceOtieno-vo3sj 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    With me nowadays I don't love Martha mwaipaja she is nolonger the same Martha I use to see on first

  • @NelsonBrydon
    @NelsonBrydon วันที่ผ่านมา

    Nikweli kbsa mtumishi ushauri wako

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando วันที่ผ่านมา

    Nikweli baba lkn mchungu hata mm binfsi matha mwaipaja matha baraka nawengine wengi ambao walikuwa kwenye ndoa mwanzo nilikuwa nawafatilia sana hata nyimbo zao nilikuwa nasikiriza sana lkn baadae ya kutoka kwenye ndoa zao cwafatirii kabisaaa

    • @MankaTansaniya
      @MankaTansaniya 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Anania kyando......wewe unajua chanzo cha wao kutoka kwenye ndoa?unajua huko ndani moto gani unawawakia?mambo ya ndoa ni siri,so ukiona mtu ametoka usimlaumu hujui yanayomsibu..tusiwe wepesi kulaumu jitahidi kutafuta chanzo ndio uanze kumlaumu mtu,hakuna anayependa ndoa yake ivunjike..

    • @muchinahnicholas
      @muchinahnicholas 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      U never know y..only God knows

    • @AnaniaKyando
      @AnaniaKyando 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa kwani niuongo wapo kwenye ndoa bibria imeeleza vizuri sana watu tukionana Kwa sisi wakristo kifo tuu ndokitakacho tutenganisha nasiii vinginevyo zaidi yahapo niumalaya tuuu unatusumbua

    • @kaiboy2414
      @kaiboy2414 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@AnaniaKyandosoma vizuri bibilia wewe usipate neno moja ikawa sababu ya ku attack mtu... ndoa ina siri kubwa... usiongee ni kama una uhakika wa kua ni lazima uingie paradiso juu wengine wanakosea na wewe una patia

  • @BarakaPeter-r4x
    @BarakaPeter-r4x วันที่ผ่านมา

    Pastor achana na huyo kiburi wa ibirisi matha na shusho

    • @KsaC711
      @KsaC711 วันที่ผ่านมา

      Kwanini wewe hujaacha kukomenti?

    • @AbduSumwa
      @AbduSumwa วันที่ผ่านมา

      Msipotubu ,,
      Utaanguka na mtakufa vibaya wanafiki ninyi, mafarisayo vipofu, mnashindwa kuhubiri injiri mnahubiri ujinga lengo mpate views, etyi na wewe unawaumini, kweli ibilisi anawatumia sana.

    • @muujizakasiwa4534
      @muujizakasiwa4534 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo aache kukemea uchafu?
      Bila shaka ni mzinzi wewe ndio maana unamtetea.

    • @kaiboy2414
      @kaiboy2414 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe una uhakika u mtakatifu... mbona huzungumuziwi... challenges are part of life not part of sins... wewe unaona uzinzi ndo dhambi kuuuuubwa mwenyewe...

  • @OtiliaPius-dr1be
    @OtiliaPius-dr1be 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Martha Mdogo wangu acha kubandika kucha jikubali kama alivyo kuumba Mungu 😢

    • @mdabwa9814
      @mdabwa9814 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unajua martha katoka akiwa mdogo sana hajawahi onja dunia ilivyo ndomana dunia ina mvuta