hyo sio dhikri km alivyofundisha Mtume (saw). huo ni Mlidi tu, wanapandishana midadi hd masheytwan huwapanda.... Turejee ktk mafundisho ya mtume km alivyotuachia.... sio kuzusha mambo Dini ishakamilika.
wewe unasema sio dhikri yaani kumtaja Allah Allah na kuzitaja sifa zake na kumuomba awasamehe dhambi unakataa sasa wewe unatakaje wapige ngoma au wafanyeje wewe mbena mkafiri saana wewe watu midume tupu kwa tumaininna na khushui kubwa wana muita yaa maulana rabbuna ighfirlanaa dhunubana wewe hutak unataka nini wewe na yoote hayo ni baada ya swala na hiyo ni tawasul kutawassal kwa Allaah subhaana wa taala huna hata haibu unasema wanapandishana midadi kwani kitugani hapo ni batili kusema Allaah au maulana au au mtu kujiwa na mccmko/hisia akalia huku akimlilia Allaah au unataka tukutaje wewe sasa chambua kitu ambacho ni batili uweke wazi ........Allaah yaalam.......
Maalim Awad Allah azidi kurehemu
Mola awarahamu masheikh zetu
Mashallah
Alhamdulilah
mashallah
mashallah my Allah reward you the best
Allah akbar
Naumdhuru molawako hata mpaka waseme mwenda wazim
Allah uakbaru
This is what the Prophet warned us against.We will follow what other religions do and forget what we were instructed to do
Wat were u instructed ??? Back 2 school first...
@@mahafudhiramiya3365 ...uzushi katika dini
hyo sio dhikri km alivyofundisha Mtume (saw). huo ni Mlidi tu, wanapandishana midadi hd masheytwan huwapanda....
Turejee ktk mafundisho ya mtume km alivyotuachia....
sio kuzusha mambo Dini ishakamilika.
Acha usenge kasome wewe, watu wanamtaja mungi unasema sio dhikri.......Acha usengee weww kasome vzir
wewe unasema sio dhikri
yaani kumtaja Allah Allah na kuzitaja sifa zake na kumuomba awasamehe dhambi unakataa sasa wewe unatakaje wapige ngoma au wafanyeje wewe mbena mkafiri saana wewe watu midume tupu kwa tumaininna na khushui kubwa wana muita yaa maulana
rabbuna
ighfirlanaa dhunubana
wewe hutak unataka nini wewe na yoote hayo ni baada ya swala na hiyo ni tawasul kutawassal kwa Allaah subhaana wa taala huna hata haibu unasema wanapandishana midadi kwani kitugani hapo ni batili kusema Allaah au maulana au au mtu kujiwa na mccmko/hisia akalia huku akimlilia Allaah au unataka tukutaje wewe sasa chambua kitu ambacho ni batili uweke wazi
........Allaah yaalam.......
Ulitaka utajwe wewe , simply back 2 school
wew acha ujinga kila mtu anafata utaratibu wa dini yake sio unakaa kubeza watu mtume hajafundisha hivy maalim
wee utajua mwenyewe! sis ni allah allah kama unaona sio dhikr basi soma yako chumbani
Hii sio dhikr hii bidah mtume hakufanya watu warudi kwa mahaj salafi
mtume saw aliruhusu mahabash kucheza ndan ya msikiti mpak aisha ra akachoka kuangalia, je kumtaja Allah ndan ya msikiti itakiaje bidaa?
@@swabrianwar1020 ...uzushi wa kipumbavu
mashallah