@@AbdulikarimuKaidi Muhimu si pekee kuwa jina la mola na mtume latajwa isipokuwa ni jambo lenyewe lakubaliwa katika dini au ni uzushi ambao ni kinyume na mafunzo ya Quran na Hadith. Mtume Muhammad (S.A.W.) alipoambiwa kuwa dini imekamilishwa, haikumaanisha kuwa jambo jipya, japokuwa laonesha ni zuri, tuongeze juu ya dini iliyo tayari kamili. Ndio sababu hii hatuswali rakka 6 faradhi za adhuhuri tukisema rakaa sita ni bora kuliko rakaa nne. Angalieni mafunzo sahihi kabla kuipotoa dini ndugu zangu.
Raha mashallah. Mungu anawirishe nyuso zenu
Allahumma amyna
Mashallah
Ma shaa Allah
Tamasak ya muridu👌masha Allah
Gem
AbdulHafith ,kwani unaona wanafanya nn?
شرك أكبر وبدعة والعياذ بالله
Mambo haya hayafai kabisa
Ndio Nini sasa mnafanya
Ukiweza ww fantastic yanayofaa na wao kwao yanafaa watching mkutano kwa mungu ndo ataamua
Nini maana ya dhikri
Jee mtume kafanya ?
Kwan mtume alichati na kutumia sm
Ikiwa lakukera Wala usijitie hamu kuangalia Wala kusikiza
Huja sikia mungu na mtume wanatajwa hapo au hapo haujui maana yake tukutafusirie