Wakissi ni hatari kwa umalaya Kuna madem hapa dubai tunakaa nao kwa plat moja wako kama 15 wanafanya umalaya ukiona tu Ile maisha wanakaa yani kila mtu angependa kuishi ivo nani madem wadogo tu kama 25yrs wajiuza kweli kweli
Alafu sasa mnimbie ni lini mungu ataanza kuunganisha mzuri kwa mzuri juu dem akiwa mbaya jamaa ni mzuri na jamaa akiwa mbaya dem ni mzuri kwa kweli me ni mzuri sasa kupata mzuri hakuna
12 yrs not a joke wish mgekaa chini muelewanwe, am sure pia huyu jamaa anekuwa n chance pia angechet, or maybe the guy has plan B coz ntafeel hiyo plan y sanitization alikuwa amejipanga aka clear everything Kwa simu yake
Pls Brighton sanitize her phone again usikute hata there is a plan yaku angamiza Eugene Juu huyo msichana haonyeshi Ako serious na maisha. Pls pls rescue this man
Huyu boy kama alijua watasanitizer simu hiyo wakati wote angekuwa anachukua vitu zake ili mambo ikiwa mbaya anatoka tu pole pole sasa ona sai sis madem tunatafuta boy kama hawa hatupati ama Nivile tuko na sura mbaya 😂,,na kinacheka cheka ama ni kachawi juu wachawi ndio wanapenda kucheka cheka nkt
We siku hizi kupata dem loyal si wengi sana ni WA chache kwa Eugene anaweza pata Mali yake yote it's very simple but ni risky if he is ready naweza penda kupata naye ama Brighton unaweza ni dm
Girlfriend allowance ?wee si mungu anipee bwana kama huyu
Nakwambia wengine sijui tulikosea wapi Mungu 😢
Walai 🙏🙏🙏🙏
😂😂
Wapelekee dakitari mukali pl afanye hio kitu alifanyia eve wa Kisii arudishe hizo vitu zote
Bana joh
God in heaven i tap this blessings upon my life
Aki huyo dem, hapana ❌❌❌
😂😂😂siku moja atakumbuka huyu kijana
Huyu si bibi mwache aendee Mungu atakuletea wako but it's so painful
Eee uzuri asha mtolea kutu ataesa tafuta mwingine polepole tu😅😅😅😅
Dakitari mkali amepata kazi twende nalo sasa😊
Ndo apo
Aky nipewe bwana kama uyo .nitashukuru maisha yangu yote😢😢
But kumbuka huyo dem hakuwa mfanyakazi umpe kidogo after zimerudi
Wewe uwelewi anything
Galfriend allowance aaah,if am a liar Lord take me to the state house😅😅
ruto spirit in her
What ati girlfriend allowance huyu n mwanaume na nusu bahati huja maramoja kwa life😮
😂😂😂😂
l wish ungekua mm hiyo bahati
Imgn wengine tulia ady 20bob tupati😢
God sisi hapa tunatafuta mtu atatupenda hivi ila kuna wengine hawana shukrani aki
So sorry Eugine
Imagine
@@maryatieno9130 wah sijui watu wengine wanatakanga aje
@@user-it3re3rm4b imagine unatapa mtu mzuri then unamkosea
@@maryatieno9130 aki...hii si fair kabisaaa
Huyu dem ako na mission
Kabisaaa wakiwa na ule beb mwenye anasema ni bestie
Kabisa
Kuna jambo piche
Si mnipee huyu jamaa please 😂❤
Watu kaa hawa hukuwa wapi wakujie sisi waone tukiwatunza😂😂😂aky wanawake
Nakwambia
Huyu demu Ako na plan ambayo amjui
Wah Mimi hata maua ya 50 bob sipati,wee natamani nipata mwanaume kama huyu but sijapata 😢😢why??If am a crocodile return me to the river 🤣🤣🤣 pole kaka
Mi too.tutapewa siku moja
Aki mungu nipe wangu mzuri nitamtuza ...its painful wakati hatujawai pata hadi maua 😅😅😅
😢
Maua ama nko single 2yrs now😂😂😂
ASH @@HannahNjaramba Alaaah Hannah😂😂😂
Aki😢
Akh 😂😂
Wakissi ni hatari kwa umalaya Kuna madem hapa dubai tunakaa nao kwa plat moja wako kama 15 wanafanya umalaya ukiona tu Ile maisha wanakaa yani kila mtu angependa kuishi ivo nani madem wadogo tu kama 25yrs wajiuza kweli kweli
Pl pigia dakitari mkali akue njonjo 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂Nancy we want problem alwazy
@@mumblessed001 mm always l don't want peace 🤣
She has finally displayed her really characters
Alafu sasa mnimbie ni lini mungu ataanza kuunganisha mzuri kwa mzuri juu dem akiwa mbaya jamaa ni mzuri na jamaa akiwa mbaya dem ni mzuri kwa kweli me ni mzuri sasa kupata mzuri hakuna
12 yrs not a joke wish mgekaa chini muelewanwe, am sure pia huyu jamaa anekuwa n chance pia angechet, or maybe the guy has plan B coz ntafeel hiyo plan y sanitization alikuwa amejipanga aka clear everything Kwa simu yake
This guy is the biggest fool of the century
Pl leta uyo mwana ume mwengine aseme ukweli pls
C mungu anipee bwana kama huyu😂😂
You look good together ebu ebu sit down lite mature people and solve
You look good together ❤
Weeeuh from babe to bro ,,,si mungu piq mm anibariki na mwanaume mzuri ka huyu 😊
Ghaaii wanaume ka wanatolewa niende niangalie
Ady mm nauliza😢
Mungu kumbe alikuwa amewekwa vizuri hivyo .wana dada wengi wanaomba bwana kama huyu
Imagine
U will regret baby girl,one day you will remember this guy😅
Girlfriend allowance,,,God please allocate me 😂😂😂
Dactari mukali amepata kazi 😅😅😅
Pls Brighton sanitize her phone again usikute hata there is a plan yaku angamiza Eugene
Juu huyo msichana haonyeshi Ako serious na maisha. Pls pls rescue this man
Jamani huyu kaka si aje tu tanzania anichukue hata mimi tu anitafute
Na mimi hapa sijawahi pata hata wakunitumia credit. Sijawahi pata my match..😢😢am sorry for this man.hatawahi trust mwanamke
Sasa amengara wapi na venye ameparara
😅😅😅😅na dress ya 200 na jacko 200
Aki Mungu si anibarika na mwaume kama Eugine aki
Mudanganye murudiane uchukue mali yko umuache
Huyo ana tamaa Sana khaaa wanawake mmmh aibu
Akule nyasi madam for real beb 😂😂
Uyu dem ni mkisii ukweli waah uyu anaweza tafutia uyu jamaa goons
Wewe boy ndo uko fala
Mpuuzi mkubwa huyo hajui kipo Bora kwake mshenzi
😂😂😂mungu si unilete kama huyu yawaa weeeh
Bro Eugene take heart na vitu zako lazima virudi kwani huyu mwanamke anafikili watu wanaokota doo huku majuu
Brighton si unipee huyu me ata thao nda manage aki 😂😂😂😂
Aki better ukue Wangu niko Nanyuki kuja
brighton can you connect me with that man 😅😅😅
Huyu dem si ni chizi Ako na makosa na ataki kuaccept better mwachane forgetting about mahali nenda USA
Munipe huyo jamaa ni mupe mapenzi ya Mombasa jamani mambo ni ya uswahilini🎉🎉🎉
Gai anamukosea walai sisi wengine tunatamani wanaume kama uyu natupati😢😢😢
Sijapenda vile glass imeshikwa😂
Ukule nyasi huyo😊
Aki si nipewe huyu jamaa he will the happiest man
Better ladies never meet good guys and better guys never meet better ladies it goes vice versa..
Mbona mm sipati bwana kaa uyu😂😂😂jamani
Pl kama ungewasanitise simu zao the first tyme uko Kwa airport haya mambo hayangefika hapa
Hiyo content nikama ya mr ogiri waaaa
Nikumanisha huyo boy,amekuwa ivo hiyo miaka yote bila dem usa
Pole sana siku moja atakumbuka lakini wakati utakuwa umeeza
Brighton nipee no ya huyo jama nko tayari kukaaa naye nimpee amani
Huyu dada munamtesa sana atapata mda gani wa ku take care for her issues 😢
Sisi tuko hapa tunatafta chace kama hii na mtu hapo hatumii akili😢
Ni connect na huyu wooiiye
Brow wachana na huyu dame kabisa Wacha akule nyasi
Aaaah,so sorry Eugene
Dem Ako na kiburi haja mluya amwonyeshe pl
Wanawake ni wengi bro
Simnipee huyo mwana jeshi jamani
For sure this girl has lost someone special in her life
Ladies nini inawaroga jameni, huyu dem apedi huyu mujamaa arikuwa anamutumia mbaya kuna mtu anapenda
Na vile haki tu tunateseka na watu watupende huku haki .unapata chance unawaste hivyo
Huyu boy kama alijua watasanitizer simu hiyo wakati wote angekuwa anachukua vitu zake ili mambo ikiwa mbaya anatoka tu pole pole sasa ona sai sis madem tunatafuta boy kama hawa hatupati ama Nivile tuko na sura mbaya 😂,,na kinacheka cheka ama ni kachawi juu wachawi ndio wanapenda kucheka cheka nkt
How ladies of today's are infact Mungu yupo she will safe a lot guys
Saiiiii pl anafikilia darkitari wake😅😅😅😅😅😅😅
Hiyu dem hana haya atanikama sio yeye anaongeleleo😂😂
Si mungu anipatie bwana kama huyu aki
Pia huyo jamaa mwingine lasima mpatane na yy ajiezee pia ju amuwezi kuongea na mmoja
Hii nayo nakama ya ongeri, Brighton pliz saidia huyu bro
Jesus Christ akh watu waliumbwa ajh wish had someone like this
Uyo jamaa awachane na yy kabisa,awachane kitakuja kumramba zaidi ya apo,kwani ni yy peke yake duniani ama bila yy ataishi,haii tumechoka
AM JUST SORRY FOR THIS GUY HAKI MY THE LORD WIPE UR TEARS WITH AFATHFUL GIRLFRIEND WITH HUMBLE 🙏🙋🏾♀️ MUCH LOVE FROM UG
Lakin kama unapewa hizo vitu zote nguvu ya kuenda kufanya umalaya unatoa wapi surely
Weeeeh 🤔🤔 am so sorry bro take heart usijar Masha ndo venye Iko(. )😔so yeah.....
Watu wakule nyasi ama warudishe v2 za wenyewe
Wat i dnt understand is how do pple trust women😊
Yeah gave her half zingine chukua but atakuja kuregret
Si mimi nipewe huyo mwanaume ,this girl is joking
Wanaume sikuhizi mnacotroliwa kama remote mtoe ujinga
Na wanaume pia hamna akili unaanzaje kuinivest na girlfriend not even ur wife heheh
Sasa dakitari ayigiliye Kati 😊
Huyo den ako n maringo ako wap mwanaume kama huyo ananipea girl allowance
Kuja uniowe ata Mimi 😂😂😂😂
We siku hizi kupata dem loyal si wengi sana ni WA chache kwa Eugene anaweza pata Mali yake yote it's very simple but ni risky if he is ready naweza penda kupata naye ama Brighton unaweza ni dm
Drama kings and queens 😅😅
Sababu Kila kitu alikua akimfanyia kijana wa wenyewe,pole bt God atakupea mpoa wako uyo ni wadunia,
Next pliz Brighton
Bag ya mia mblili uhuru market ndio inamfanya awe na kiburi 😂😂😂
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭hizo doo zote alafu unacheat😭😭😭😭😭😭😭
Surely 😢
Uchawi loading
Njoo uniowe ak ntakuheshim na sitakuchit ak 🤣🤣🤣🤣