Waa, I think sometimes age and maturity matter in a relationship, not only feelings .If a woman really loves, she will never cheat .Sorry, anyway, it's life.
Watu uku nje wanapata wanaume faithful but us girls we cheat but ni sawa wenye tuko single we gather and team kumbus kiss my comment anyway Mungu kama mm ni samaki nirudishe kwa maji
Huyu jamaa akikosa akili hatakufa juu huyu dem n malaya hawexi tulia alafu hata ukiangalia dem hayuko seriouse na huyu jamaa so kijanaa run gor ur life ..huyu fem n malaya
12yrs ni miaka mingi kitu jamaa anafaa ashukuru huyu dem because amehifadhi mali yake vizuri kaa ingekuwa wasichana wengine angeoshwa kila kitu heshimu yeye juu ata wewe mahali umekuwa hatujui kama ulikuwa unakulana hau la forgive her sababu anaeza kuwa akazidiwa na hisia
Huyo dem anataka huyo jamaa because of property, si kitu ingine, kucheka cheka kwake kutoka mwanzo, mimi alinisinya ukweli, ni Mali tu anataka, mapenzi akuna hapo
Woow ni ngumu lakini mbonatwapendàngaya jama zetu kamatuawapenda pl pliz ongea na jama mwambie amsamehe coz ata sisi mungu alitusameea akuna aye manzuri sana na akuna aliye mwema kwa akika tusameane pliz bro better the dog u know than the angel u don't know
They laugh at them please🤣😭 th-cam.com/video/8y6I8a-35jI/w-d-xo.htmlsi=XVCKy8FHLb7ZkcMx
Nitumie number ya huyo boy Niko sina mtu
Aki hyu dem apana jana venye nilimuona ziii pl, huyu ata mletea jamaa ugonjwa
Na rung mbona alitoa kama anampenda
Brighton huyu dem hayuko serious,,, anachezea huyu jamaa.... If unaona hivo kiss my comment.
What l can advice this😮 gentleman is to forgive the lady coz the lady ave really kept the properties vry safe 4 the 12yrs....
True
Amsamehe tu juh 12 yrs si mchezo na amepata amejengewa
True
True na chali anataka kutwambia alikaa tu hivyo bila dame .
Amsamehe juu wengi hawakutangi kitu
12yrs nayo sio mchezo kuna dem wana cheat ata ukiwa so msamehane mambo ikwishe
True ak kosa si kosa ak
Yani toka siku nione huyu dem kasi ni kucheka cheka tuu na hajuhi anatuchomea madem huku inche
Waa, I think sometimes age and maturity matter in a relationship, not only feelings .If a woman really loves, she will never cheat .Sorry, anyway, it's life.
True
Mwambie ajiondokeeee kwa huyo demu atamua na ugonjwa yaani kila mwanaume malaya sana anyway team kubus nipitieni
Uzuri hapa Kwa kubus unakula tu na kulala pila stress ya mapenzi 😂😂😂❤
Niimepita, pia na wewe
Tukule kubus pole pole mama mapenzi iko na wenyewe
@@rodah-kemmySi tunaeza kutongozana hata mkiwa huko tupendane, Kuaminiana juu sisi wanaume tunahitaji true love 💕
@@chrispinosmasava6412 kupata mwanaume mwenye Ako true ama Ako serious na love 💗 si laisi 💯
Aki uyo dem is not serious so for me just forgive her n just move on juh sioni kama uyo dem atatulia mtasumbuana tuh....though its touching n hurting
Mbona msipingie ule mwanaume mjuwe kama wameowana you have to call him to confirm
Yes cz Hadi jamaa hakuumuliza Becca ni nani kwake
Pl,call the other guy to give his side of story
Uyo anaonekana sana ni malaya tena yule alo kubuu
Pl uko na mushene unamwambia dem alikuwa anakutaka ndio nini sasa si umemwaribia sasa siumuowe
😂😂 Your thinking capacity is very low madam 😂😂😂😂
Kwan unataka pl si ukweli alimtaka😂😂😂😂😂😂😂
Huyu dem vile ana behave wee huyu hapana
Forgive your mtaro and continue with your relationship 😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂lazima ugesema ukweli
@@mumblessed001 hahaha 🤣🤣
Watu uku nje wanapata wanaume faithful but us girls we cheat but ni sawa wenye tuko single we gather and team kumbus kiss my comment anyway Mungu kama mm ni samaki nirudishe kwa maji
Kila time ana smile huyu dem
Na hiyo ndo inafanya akae hayuko serious
Pl ebu nipee huyo jamaa😊,Eugene deserves a good lady and loyal lady also
Hyu hapana please she i s a.
cheater Eugene run for your safety bro
Malaya ni malaya hata akiolewa na malaika,she will definitely keep on cheating
PL Huyo Soldier Aachane Na Huyo Malaya,Bure Kitamuramba Kama Mr.Ongiri, But Musaidie Apate Mali Yake, Watching From Lodwar Massive 🙏🙏🙏💯
Waaaaaaah, huyo nimalaya, mpaga anataka baba avi, pl
Nakupenda. Kwasababu. Umerudiayana. Nafamiriayako
100% she is in love this girl 😢
Although it's a mistake to cheat on some one you love,bt she needs forgiveness juu ka mwanadamu 12 yrs is not a joke,to be honest
Huyu dem hauko serious na life jamaa anataka kusttle but dem still young and confused
Uyo ni red ogopa kwenye siriox matter yy niku smile tu kama zuzu
4give her and continue with life
Waah but pl kol the guy to give his side of the story
Na bado hatujajuwa ni wangapi ako nao😢😢 Mara anamwambia PL anadaii shot moja 😮 uweeeeeh😅😅
Imagine and she was serious
Mbona watu wengine tunatani wanaume kama hao hatupati tunaangaika inchi za wenyewe atlist tupate kitu😢😢😢
Huyu jamaa akikosa akili hatakufa juu huyu dem n malaya hawexi tulia alafu hata ukiangalia dem hayuko seriouse na huyu jamaa so kijanaa run gor ur life ..huyu fem n malaya
Wooye 4give her 😢plz 🙏
I wish Eugene had accepted sanitization at first like Mr.Ongiri before doing the proposal etc he would have saved a lot
Bro move on n maisha huyo dame atKuletea shida
Uyu Dem ni kama katoy anachekeswa nn xx
You could have asked the other guy how long have they been dating
Uyo jama ako in love anaeza danganya tu
12yrs ni miaka mingi kitu jamaa anafaa ashukuru huyu dem because amehifadhi mali yake vizuri kaa ingekuwa wasichana wengine angeoshwa kila kitu heshimu yeye juu ata wewe mahali umekuwa hatujui kama ulikuwa unakulana hau la forgive her sababu anaeza kuwa akazidiwa na hisia
Kama anaomba msamaha nakuchekacheka yupo na mawili a awez muua Bwana abaki na mali ajichunge huyo boy
😅😅😅😅 huyo msee anakaaa desperate si aachane na hyo dem fala
PL kindly involve me I talk to these people,,,,this lady can change
PL call the guy she was cheating with you hear the other side of the story.
Huyu kama n mm siwezi mforgive coz hio n forgiveness gani mtu anaomba akicheka surely 🙆
Hajui kwa apologize nikucheka tu😂 gunia, eugy plz jitoe mapema kitakuramba manze.
If this girl was serious ata engagement ring hangetoa coz during sanitation we confirmed hakuwa nayo yet she had other ring's on her finger's..
Plz msamehe bro,coz amesema ukweli hta kma alikua 1yr,amesema plz forgive
Brighton si unigawe huyu jamaa aki weuh 😂😂😂😂
𝐮𝐲𝐨 𝐝𝐞𝐦 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐡𝐚𝐨𝐧𝐲𝐞𝐬𝐡𝐢 𝐤𝐮𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐭𝐚𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐞𝐦𝐞𝐡𝐞𝐰𝐚
No one is perfect for her 12 years s mchezo
Twaelewa ni binadamu bt akiongea ukweli ataeza samehewa,na maisha iendelee,
Huyo dem anataka huyo jamaa because of property, si kitu ingine, kucheka cheka kwake kutoka mwanzo, mimi alinisinya ukweli, ni Mali tu anataka, mapenzi akuna hapo
Najua huyo dem alikua na boy wengi sana n cheat 😢
Bro achana na huyo dhem atakupea presha
Mmmmmh mambo yamechemka sana ni hatari hapo kenya nasemajee huyo sio demu demu wa masela
Hakuna msamaha hapo yy mwenyewe anaomba msamaha na anasmile
Sio kwa ubaya bt huyu Dem kunakile anafikia mybe anataka kijana ampatie vitu amtoke 😅I come in peace
Uyo dada kachezeya bahati kweli 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
my advice to our brother eugine ni asamehee huyo mrembo please if possible a human being is to error
But the girl is a human lazima angetoa kitu.just forgive her
Madam for real hata hayuko criaz she is laughing she doesn't respect that man
Dunia simama nishuke jamani 😅😅😅😅😅
Dem Pete hanaa na aliwekewa ata mwez ijaisha ama wiki inaisha ameshatoa 😥uyo dem she doesn't deserve this man
Bt venye anaonekana ni mchanja,zaidi ,
Once a cheater always a cheater, huyo haezi badilika
Mnipee namba ya huyu jamaa♥️we ryhme
Huyu maybe ameoreka, tafuta yule mwengine akuche ajiereze naye pia
Pl niconnect na yeye😂😂
Ata ring hana😢
Huyo dem ni mkora sana tena zii mtu wa kukaa kwenye ndoa hata kama mm nacheat but yake ni to much
😅😅cheater with bright bright eyes...
What about the house she was left by her other friend
Huyu dem ni mkora bro run for your future
Sio six months,amekua akidinywa
@@ivymugei yes alikuwa anadinywa na beb wake sio huyu then ukiangalia vzri dem ako na kaunjanja kwingi sna
Dem ana ukora mwingi definitely cheating more than months na watu kadhaa
Asiache Dem alisema mtaro n tamu 🤣🤣🤣🤣
Watu hawana bahati
Usikubali bro kumrudia jana alisema hataki kadude kadogo anataka Brighton
Big NOOOOO she has been sleeping around not only 6months,just give her some token &get out of his life
🎉Wale wakutukana huyu dem malaya that's not good
Brighton tafuteni huyo chali mwingine awaambia ameoa for how long
Ndugu achana na hyo malaya
We don't want peace we want problems ndio hizo sasa😂😂😂
Huyu ni mkora
Brighton bring onset the other guy,who called her "babe" when you called her onset.. might be you are dealing with someone's wife
Huyo murembo hata umusamehe hataaja kujit
Sina usemi😅😅😅😅
Amsamehe na wasirudiane huyu atamliza kijana nkt si hata angecheat kitambo b4 bwan ke akribie kukam angecheat hata kitambo b4 bwanake arudi nkt
Kwanza atuonyeshe ile ring ulimueka qwanza
Huyu ni Poko don't care asisamehewe
Hata akiwa mm 12yrs angepata nmeolewa with 2kids so amsamehe
Si mnipe hyu boy nitawaambia mara ngapi hyu hatuezi kosana
Baby girl piga jamaa mate atulie
Huyu mwanamuke hata ha regret
Haki Becca Mali safi jito umejituba wewe
Uyo dem n cheater instead anyenyekee anacheka tu bado
Woow ni ngumu lakini mbonatwapendàngaya jama zetu kamatuawapenda pl pliz ongea na jama mwambie amsamehe coz ata sisi mungu alitusameea akuna aye manzuri sana na akuna aliye mwema kwa akika tusameane pliz bro better the dog u know than the angel u don't know
Ako na wasiwasi, ss ni kijana hamue,
Hyu alicheat from word go hamna kitu hapa
Huo ni uongo mtupu aseme ukweli ,ukweli umfungue ,
Uyu alianza kitambo tu
Huyu demu akishikwa nakajoto anawaka kweli kweli lazima atafute mutu wakumuzima kajoto situlijionea akianza kushikashika Brighton sasa huyu anaweza kuvumiliaje mutu ako mbali?????!!!!
Kwanza hizi vitu wanaongeza kwa macho zinawafanya mtu anakaa kingangi
Huyu dem ni joker...the guy akanyage kubwa kubwa mapema bure ataregret