FAHAMU: Mfumo wa matangazo kwenye kisimbuzi cha antena - Azam TV
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Maelezo ya kina kuhusu mfumo wa urushaji wa matangazo ya televisheni ya Azam Media Limited kwa kutumia antena yaani mfumo wa Digital Terrestrial Television (DTT) kama yanavyotolewa na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Azam Media, Divisheni ya Teknolojia na Miundombinu, Ahmed Abdallah.
#UzinduziMinaraDTT #AzamTV #10DaimadamDam
Azam mko juuu❤❤
Nzuri sana hii
Habari
Tuna subir kwa hamu Hiyo huduma ya ku stream tv online bila data package maana Bei ya bando ipo juu mno
Oya tuwekeeni mechi ya dodoma na yanga acheni usenge