Azam TV - CECAFA2017: FULL HIGHLIGHTS; KENYA 2-2 ZANZIBAR (Penati 3-2) - KISWAHILI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars imetwaa rasmi ubingwa wa michuano ya CECAFA mwaka 2017 baada ya kuitandika Zanzibar Heroes penati 3-2 katika mchezo wa fainali uliomalizika kwa sare ya bao 2-2.
2022 nani mwenzangu 💪 Zanzibar ❤️❤️❤️
Ahsanten znz game ukubali kushindwa au kufungwa ila naamini kazi imefanyika. Tanganyika poleni aisee
Anae iangalia hii Fainali leo hii tujuane
The heroes from Zanzibar...good job
2019 from zanzibar
sawaaa bana
nice game but zanzibar is unstopable
I❤️zanzibar
Zanzibar wamecheza mpira mzuri saaaana
Nice
Hakukuwa na refa...
Golikipa anatoka kabla penalty haijapigwa na laizmen katulia tuu 😁
NNaipenda Zanzibar
Zanzibar is the best team then Tanganyika
Hii ligi ya cecafa bado ipo au ndio imeenda
Zanzibar sio mchezo
Hiii fainali katik maisha yangu sitoisahau
Kabisa
Jmn iliikombe kulikuwa likes kwetu
Nilitoka.machoz kw furahaa na ipenda timu yetu kutoka kwetu zanzibar
Khamis mussaaaaaa
Safi sana
Huu ni mchez waajab
Refa alituonea wazanzibari alikuw upande wa kenya zaid haiwezekan golikipa atoke golini kabla ya kupigwa penalty.
konde by
mpenja acha kulia
Fei toto ametoka mbal Sana
Baraka mpenja hii mechi hata wewe huisahau nazan ulkw huamin
Yani mieee mpk leooo machoz yananitoka walllah
Hamuoni aibu ,mumevaaninihapo