Mamia wafurika Ofisi za Azam Media Ltd kuchangamkia punguzo la bei kisimbuzi cha antena

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Mamia ya watu wamefurika Ofisi za Azam Media Ltd zilizopo Tazara jijini Dar es Salaam kuchangamkia punguzo la bei ya kisimbuzi cha antena kinachouzwa shilingi 49, 000 na kisicho na antena shilingi 39, 000, ikiwa leo ni siku ya mwisho ya promosheni iliyodumu kwa miezi miwili.
    (Imehaririwa na John Mbalamwezi)
    #AzamTVUpdates

ความคิดเห็น • 2

  • @ebbyyusuph8086
    @ebbyyusuph8086 ปีที่แล้ว

    Kisimbuzi cha antena kinapatika zanzibar.?

  • @AbuuSaid-wh8mi
    @AbuuSaid-wh8mi ปีที่แล้ว

    sasa mbn zanziba hatupewi ofa hii