Kero - Joshua Mlelwa & KUG

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 เม.ย. 2022
  • เพลง

ความคิดเห็น •

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakumbuka enzi hizo tukiwa wadogo tulikua tunakuiga unavyocheza.😁😁

  • @Jamdaud7135
    @Jamdaud7135 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunashukuru mtumishi tlikuw tukipenda kikiwa wadogo

  • @hildaminja5148
    @hildaminja5148 2 ปีที่แล้ว

    Long time sana. Nzuri sana.

  • @janethjohn7053
    @janethjohn7053 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @muloomusuunyu6291
    @muloomusuunyu6291 2 ปีที่แล้ว

    Nice song

  • @simas.a1003
    @simas.a1003 2 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe mzuri Sana. Mbarikiwe

  • @priscakabogo1112
    @priscakabogo1112 2 ปีที่แล้ว

    🙌🏾🙌🏾❤️❤️

  • @janethjohn7053
    @janethjohn7053 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe

  • @inachii
    @inachii 2 ปีที่แล้ว

    Tangu nikiwa tineja hadi leo miaka zaidi ya ishirini bado nasikiliza nyimbo hizi. Mbarikiwe sana. Tafadhali weka album nzima ya Ingia zizini.

    • @inachii
      @inachii 2 ปีที่แล้ว

      @@joshuamlelwa Asante sana mtumishi

  • @Jamdaud7135
    @Jamdaud7135 2 ปีที่แล้ว +1

    Bado lesa wane na ingia zizini pamoja na album nzima tunaomba sana

    • @petermugah8461
      @petermugah8461 2 ปีที่แล้ว +1

      @@joshuamlelwa Tafadhali usisahau. Nimekuwa natazama tangu wiki ianze lakini sijaziona. Mungu kujalie mpendwa

  • @petermugah8461
    @petermugah8461 2 ปีที่แล้ว +1

    mtumishi Bwana asifiwe. Nitaipataje hii album yote kwa youtube. Ilinibariki sana zama hizo ilikuwa kwa kanda ya VHS iliharibika. Nakuomba nisaidie. Ubarikiwe

    • @petermugah8461
      @petermugah8461 2 ปีที่แล้ว +1

      @@joshuamlelwa ahsante Sana ndugu. Kwaya yenu hii naipenda Sana.nilisikitishwa na habari kuwa dada mwenzenu mmoja alilala usingizi wa mauti