Loveness punguza u romantic Kwa Mr handsome MAANA UTAUPONZA ATA KUDINYA AMFATE RAFIKI AKO MAANA MPOLE SANA❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂 Sema Nini MUME Tisha sanaaaaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤
Donta tv Inalipa Kelvin kumbuka Pete ya ajabu ulivyokuwa harafu ulinganishe na saivi badiliko kubwa sana komaa kaka Nataman siku moja nijumuike na wewe kwenye kazi Nakupaata nikiwa Geita
Cha kwanza niwapongeze kwa jina la movie, jina fupi la kieleweka sio kama zile mnaandika "Kijana masikini muuza maji aliependa na tajiri" yaani jina ndefu Hadi namba ya epsod haionekan. Kazi nzuri sana la mjitahidi kufupisha jina la movie kama hivi 🎉🎉🎉🎉
Like za mr hardsome wetu kevin watching from kenyaa❤❤❤❤
Wamependezana na Klvn + Love Ness,,,tuko pamoja me also from kenya 🌹🌷🌹🌷
Kwanza jamani kwa hii movie,,,nipee likes za Kelvin
Sijacelewa kabisa naomba ata like 5 tu itatosha❤️❤️
Wakwanza leo❤❤❤
Loveness punguza u romantic Kwa Mr handsome MAANA UTAUPONZA ATA KUDINYA AMFATE RAFIKI AKO MAANA MPOLE SANA❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂 Sema Nini MUME Tisha sanaaaaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤
Xanaa tna😂😂😂😂😂 hii hatari waaaau so amazing
@@haluwahavla9740 NOMA SANA
Jaman lavuness unawabuluza
Wawawa a anyway loveless anajuwa kuwambangaisha 😅😅😅 mummy napenda
Nilijua tu kevin lazima aombe namba za loveness Kevin bdo anaule ukichaa wa dada wa kaz
😂
😂😂😂
Mr handsome, hii nayo Kali kinoma, twende nalo kelvin good job
Mr kelvin unanifrahisha sana we kaka ❤❤❤❤❤
Duh we jamaa huna mpinzani kwenye seckta hii maana huchelewi kutoa movie 🎥 kama hao mabwege wengine 🎉🎉🎉🎉🎉🎉mauwa Yako hayo direct kelvin
Jaman wewe sio tabia nzur kuwasema watu wengine hata kama wanakosea et
Wa kwanza nipeni maua yangu❤️❤️❤️
Loveness nampenda jamani 😂😂😂😂😂
Loveness ume kuwa lomantiki sanaaaaaaa😂❤❤ kama upo single na mm nipo single am handsome man ❤❤❤❤
Loveness ukiwa beste yangu siwezi tembea nawe mahali Kuna mwanaume yeyote 😅😅
Siyo Kila jicho litamuona yeye tu
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
Mr handsome nakupenda bure❤❤mungu akujaliye umri mrefu
Thanks guys ❤. Ni funzo pia🎉. Mie nishaona mwisho wake 😊. Representing Mombasa Kenya ❤. can't wait for the next episode 😂😂😂😂
😂😂😂 og
Nakubali sana kaka kazi yenu nzuri sanaaaa npo Kenya nawafatilia vzur sana mnakitu mtafika mbali
Love kapagawa n kelvin😂
Kazi njema kaka, Kazi iko Bora kabisa
😂😂😂😂mr handsome wapagawisha love daaaah mapenz hayoo😂😂😂
Yan keven ww ninoma unajua mpaka unakera hongera sana mungu akuweke
hapo sasa nitamu kuliko dada wa kaz❤❤❤❤❤❤🎉
Imeenda
Ninachokiona hap mbele ngoja ngoja ❤❤❤❤❤❤
Nampenda loveness sema mavaz yake Sasa mmmh
Kelvn ndomaana nakupenda bure yaan unapendezea kuwa na loveness
Loveness umekuwa lomantic xanaaaaaaa
Yaani loveness yeye kila movie ni mtu wa tamaa TU.Hapa tayari keshaitamani nyumba ya watu anauliza kama ni nyumba Yao akina kevin
Waah nawapenda bure Rabecca kutoka Kenya 😂😂❤❤❤
Kazi saf xna🎉🎉🎉
Lazima nicoment oyaa mmeua sana, kazi nzuri fanyeni chap ep 2 tu enjoy
I love you mr kevin mm natoka kenya bt saii nko saudi aki nilipenda sana vipindi vyenu mungu azidi kuwatia nguvu na malengo yenu yatimie
Loveness unapenda kuvaha utupu alafu tumiguu sasa Utanisameya tu ila uwe na Jaribu kujistiri dada yangu
Watching you from kenya, nawapenda sana.
Twende pamoja mpka mwishoooooooo nakubali donta tv
😂😂😂😂😂loveness ni moja tu brown pole❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hehe wanawake muwe makin sana mapenzi sio hera mapenzi nikupendana hera zinakuja2
Mapenz sio pesa sawa lakin ikikosekan yanapungua
Next jamani 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Love wew mtoto mubaya Sana Brouwn Pol sna
Alooo Kelvin na lovenes wee nakumbuka huko nyuma namuogopa huyu lovnes aaa😂😂😂 nusu like nitashuluru
Safi sana
Mr handsome oyeee ongela na team yako brown pol love much from 🇧🇮 ❤❤❤❤
Kelvin unajua kuekti mashalllah Allah akufungulie mipango yako akueke 😊
Nimependa sana kizungu cha kendi
Acha nami niseme wa pili juu naona kila mtu ni wa kwanza😂
😂😂😂 loveness jamani nakupenda tu bure 🇰🇪
Yaani loveness hawezi tulia. Mme mmoja😂😂😂
😂😂😂kiherehere sana 😂😂😂
Kwani shemeji iliisha
Daaah 😂😂 nasubilia part 2❤
Mh
Kendy toa kipini puani utapendeza sana❤
Ahaaa hii nimeikubali broo yaan hapo umeupiga mwingi hiyo ndo dawa ya madem aaaaaaa
Nakukubali handsame mashalllah Allah akupe furahaa😊
❤❤brodher kevini up vizurii Mungu azidi kuku weka na kukupa aidia
Aki love ness ww😂❤❤watch love from kenya
Lakini keni good sister and he toking good English.
Love nguo unazovaa co badilika mbn uyo mwenzio amevaa vizuri
Me wakwanz jmn
Wow❤❤❤❤❤❤❤
Mr handsome kwa ubora wake😂😂
Huyu love nes hata akivaa nguo za heshima atapendeza na ataplay vizuri ila kila siku kuvaa romantic hatari
Jaman mim nataka sana kuja tazania nifanyeje plz nitimize ndoto yagu 🎉
Uko wapi sasa
Nimependa sana sana form Mozambique ❤❤❤
Sending ❤♥️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mr handsom 😂😂😂😂😂❤❤❤
Mr handsome kelvin ❤❤❤❤❤❤ big up xna hii hatar xna , loveness upo saw xna
Huwezi mpenda mtu kama ujipendi mwenyewe♥️♥️Napenda hio💞
Nipeni likes jmn nmechelewa❤❤❤❤🎉🎉🎉
Kha! Loveness 🤣 na brown je
Mr.Handsome imenitoa TikTok mpk huku You tube🌹🌹🌹🌹🌹🌹💯💯💯👏👏👏
Movie nzur sana jamani Mungu awasaidie kazi zenu wasanii wetu from Kenya 🇰🇪
Nice , watching from kenya❤
Loveness anatamaa kweli
Hongera bro kaz yenu nzuri
Weee jamenii before tuendelee mtu anitafutie kelvin ❤❤
Nawapenda Sanaa nyote karibun Kenya ❤❤❤❤❤
Wa kwanza
Much love from Kenya
Good job❤❤❤
Jamani vp kuhusu shemeji
Nimependa sana from zanziba ❤❤❤❤
M nakapenda ka loveness jaman❤
Great watching from kenya
Donta tv Inalipa Kelvin kumbuka Pete ya ajabu ulivyokuwa harafu ulinganishe na saivi badiliko kubwa sana komaa kaka
Nataman siku moja nijumuike na wewe kwenye kazi
Nakupaata nikiwa Geita
Thi is the best movie I’m like this ❤❤❤❤
Loveness we mzuli anaekubal nipe like kwangu ❤❤😂😂🎉🎉😊😊
Mimi apo namuona Vicky njo atakuwa mpenzi wa Brouwn acha tusubiri kidogo😂😂😂🇧🇮
Party 1 tu Hali hii jamani dah! Brown pole sana babu ♥️💕💗💞
🤣🤣🤣
Cha kwanza niwapongeze kwa jina la movie, jina fupi la kieleweka sio kama zile mnaandika "Kijana masikini muuza maji aliependa na tajiri" yaani jina ndefu Hadi namba ya epsod haionekan. Kazi nzuri sana la mjitahidi kufupisha jina la movie kama hivi 🎉🎉🎉🎉
Kelvin umetidanganya kwa mpira Kkkkkkk asante tunayendeleya kuyangaliya donta tv
Mauwa kwako love ns wewe nimzuli sana masha Allah
Loveness the best❤❤❤❤❤❤❤
Loveness mara hii umemkataa brown😢😢😢😢😢
Much love❤❤❤❤❤ from kenya
Loveness ni mzuri jmn dah
Patamu apa Klvn ataka kuongea anageuka ,,,anapokelewa na busuuùu,,nimepapenda ety
Loveness is a beautiful girls ❤
Loveness kapona kchaa😅 anyway tupo na nyinyi❤
Shemej sasa ipo wap
Wa BURUNDI ambaye tunamufuatiria huyu jama pandisheni bendera ya taifa🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Soda ni elfu moja jamani uko tz
𝑇𝑎𝑘𝑒 𝑎𝑤𝑎𝑦 𝑦𝑎𝑢𝑧𝑤𝑎 𝑖𝑣𝑜
Naomba no yahuyo best yako jaman nae apate mpenzi😂😂😂😂