MR HANDSOME FINAL ❤️ New Bongo Movie |Swahili Movie | Love Story |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 424

  • @NiyomwungereEtienne-i3g
    @NiyomwungereEtienne-i3g ปีที่แล้ว +47

    Wa kwanza leo.wapenzi wa wa hii munipatie like ata kama kumi❤❤❤

  • @Jaykizcomedians
    @Jaykizcomedians ปีที่แล้ว +16

    Nmechelewa sana dk 10 ni nyingi lakin naombeni hata like 10 tu

  • @RenathaCosmas-m3t
    @RenathaCosmas-m3t ปีที่แล้ว +23

    Waooo jamani back to back niliwamis donta tv Mr handsome iko kwa hewa ❤❤❤❤❤

  • @basiaathuman5947
    @basiaathuman5947 ปีที่แล้ว +11

    Wakwanza jaman leo mashaallah naomba like zangu Kwa ajili ya kelvin

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti ปีที่แล้ว +14

    Nimecheka wallah inafundisha lakin🤣🤣🤣🔥♥️ tamaa izo love umeacha upendo wadhat kwa brwaun na ukome🤣🤣🤣

  • @ronacassm9516
    @ronacassm9516 ปีที่แล้ว +9

    Hi wanangu hii mm ndio naifatilia sasa naona kabisaa hii nzuri mbele huko ni moto

  • @KhalfanAjin
    @KhalfanAjin ปีที่แล้ว +6

    Sema namkubali sana loveness anajua kuvaa uhalisia bila kumsahau kelvin naye anaweza sana

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 ปีที่แล้ว +11

    Mnaelimisha jamii Mashaalah❤♥❤♥❤♥ CONGRATULATIONS. Donta TV

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 ปีที่แล้ว +16

    Igizo lenu nzuri kwakweli mpo vizuri kwenye kuigiza ila sauti ya Nicole ndo lavunes aiache🙏🙏

  • @zamaradhassan
    @zamaradhassan ปีที่แล้ว +89

    Nimekuwa wakwanza naomben like zangu 😢😢😢😢

    • @Idayajudy
      @Idayajudy ปีที่แล้ว +1

      Itaku saidia nini acha ujinga 😅😅

    • @zamaradhassan
      @zamaradhassan ปีที่แล้ว

      @@Idayajudy kama unalike like kama hutak acha

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 ปีที่แล้ว

      Safi sana vijana wenzangu , kazi yenu iko poa

  • @lydiahnyamokami5058
    @lydiahnyamokami5058 ปีที่แล้ว +13

    Mtaka yote hukoza vyote loveness kimekukuta kula chuma 😂😂😂❤

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri ปีที่แล้ว +36

    Guys Wakwanza Mimi Kutoka Burundi And Saudia Tujuwane Basi Lafiki Zangu Tunapenda Hiy Team Kelvin I Love You So Much Guys❤❤❤❤❤❤❤❤🎉Mucukuwe Mauwa Yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @Mwanamkasi-s5e
    @Mwanamkasi-s5e ปีที่แล้ว +6

    Mtu mbadi unapendeza kumbe❤❤❤,nimekupenda sana

  • @rehemakazungu6945
    @rehemakazungu6945 ปีที่แล้ว +12

    Jamani Hadi raha loveness imemkuta😂😂😂❤❤❤

  • @evachengula1231
    @evachengula1231 ปีที่แล้ว +5

    Waaaaaah! Nilichokuwa nasubiria kwa loveness kimempata

  • @HedielJohn-xo9ec
    @HedielJohn-xo9ec ปีที่แล้ว +15

    Huyu dada anaemlea kelvin yupo tiktok nampendaaa

    • @glorykadzo
      @glorykadzo ปีที่แล้ว

      Anajiitaje please

  • @HajiJuma-i4k
    @HajiJuma-i4k ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana kwa mtunzi wa kazi hii. Nimependa huu mchezo yaani mpinzani kafa home & away😂😂😂. Mapenzi ni kama daladala za Mbagara ukishuka mwingine anapanda.

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 ปีที่แล้ว +3

    Wow, congratulations guys ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉mr handsome pengez san
    Na always md mchepuko lavu 😂😂😂😂😂nenda kwa mparange wote wakirudie

  • @marrydomnick6054
    @marrydomnick6054 ปีที่แล้ว +10

    Tulio lala humu tujuane.😂😂😂😂

  • @mokogoti1817
    @mokogoti1817 ปีที่แล้ว +10

    😂😂😂😂ukiweka shemeji yetu vibaya anajukuliwa 😅😅😅😅❤

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 ปีที่แล้ว +33

    Much love from Kenya ❤❤❤❤

  • @Vivankhan9
    @Vivankhan9 ปีที่แล้ว +3

    Loveness anajua sanaa ongeraa kwakee pia ni karemboo

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 ปีที่แล้ว +2

    Safi saaana, eeeeh love wewe mitama inakuponza

  • @majengoskaters
    @majengoskaters ปีที่แล้ว +6

    Loveness nakupenda sana ila unamaringo mengi

  • @Sixbethngapula
    @Sixbethngapula ปีที่แล้ว +4

    Love nakutabilia kuwa msanii mkubwa sana Tanzania unajua sana tunza kipaji chako

  • @samwelmagodi753
    @samwelmagodi753 ปีที่แล้ว +3

    God job mr blown . Mwanamke akijiona yeye ndo yeye huwa wanalingisha sana ila akijua kunae wengne pia wenye hadhi kama yake atapambania penzi lake bila kusikiliza maneno ya walimwengu ❤❤❤❤

  • @HappyHappy-uo8hj
    @HappyHappy-uo8hj ปีที่แล้ว +1

    Mtaka vingi hukosa vyote sasa lovenss amekosa vyote handsome kimemramba mr brown and Mrs candy Mubarikiwe kwa kugeuzana mawazo i love you ❤❤❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @BellahWillims
    @BellahWillims ปีที่แล้ว +12

    Mimi mwenyewe huyu thank have been waiting for this i was almost to get out of myself 😂😂😂❤❤❤msinizungue nyie wanangua😂😂😂😂😂😊

  • @faustintwagirayezu5530
    @faustintwagirayezu5530 ปีที่แล้ว +5

    😂loveness😂😂😂😂 brown usifany kosa yakumusamee loveness kilicho alifanya au uliona kilikuonesha kwanba loveness ni mschana yupi,, .nawapenda Sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Mercy-p4c
    @Mercy-p4c ปีที่แล้ว +18

    From kenya much love❤❤❤❤

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 ปีที่แล้ว +10

    Waaaaau hii n tamu xnaaa big up Mr handsome ❤❤❤❤❤

  • @NacyIbrahim
    @NacyIbrahim ปีที่แล้ว +12

    😂😂😂😂Love tuondolee msiba leo umeyatimba nmekuonea huruma jamani😢

    • @Aplustz-mh5dx
      @Aplustz-mh5dx ปีที่แล้ว

      yan kilicho kifany uyu loveness ndicho alicho kifany ex wangu hii muvi inanihusu mm daaah yan nimejikuta nalia baada ya matukio alie nifanyaga akin kwasasa yeye ndie analia san akitak niludiane nae

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 ปีที่แล้ว +5

    Loveness kla movie lazma kikurambe najua😂alafu hili limama kelvin litakuua 😂hata ka wampa mwanaume kla ktu ndo ujishauwe hvyo😂khaaa

  • @ayshanani
    @ayshanani ปีที่แล้ว +4

    Love Ness pole Sana dadangu mtaka yote ukosa yote na usiache mbachao kwa msala upitao

  • @KuruthumMohammed-i9e
    @KuruthumMohammed-i9e ปีที่แล้ว +6

    Wakwanza mm leo like zang

  • @valentineonyoni9065
    @valentineonyoni9065 ปีที่แล้ว +19

    Waaaah 😮. Leo hata sina la kusema 😊. Congrats guys 🎉❤❤❤ nawakilisha Mombasa Kenya ❤

  • @TabiaNchimbi
    @TabiaNchimbi ปีที่แล้ว +5

    Tamaa mbay 😂😂😂😂😂 khaaa ila wanawake on umemuach mkweliii

    • @verynicechatanda2873
      @verynicechatanda2873 ปีที่แล้ว

      Noo apo wote Kelvin na love wanaume mnaoolewa na nyie acheni ukolo

  • @84vero
    @84vero ปีที่แล้ว +8

    Nawapenda sana team Kelvin

  • @SaudatyMohamed
    @SaudatyMohamed ปีที่แล้ว +10

    Msichewe kushoot jamani tuna miss sana

  • @chimammymohaa
    @chimammymohaa ปีที่แล้ว +7

    Sijachelewa sana🔥🔥

  • @MulhatKassim-ph6lp
    @MulhatKassim-ph6lp ปีที่แล้ว +6

    Wa kwanza leo jmn npewe like ata 5

  • @RehemaTimoth-s1q
    @RehemaTimoth-s1q ปีที่แล้ว +9

    Waoooh Nice jamani tunajifunza vingi kupitia kazi zenu.... Mungu azidi kuwapa ujuzi...❤❤❤

  • @clevermanase
    @clevermanase ปีที่แล้ว +10

    Congratulations 💥💥💥

  • @BerthaNgonyani
    @BerthaNgonyani ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂😂lovess bhana umekosa yotee

  • @iddizo2669
    @iddizo2669 ปีที่แล้ว +7

    Naombeni like Zang 🔥

  • @jumwaalisaid6751
    @jumwaalisaid6751 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂loveness kimekuramba ila pole sana dada am watching from malindi Kenya

  • @KaroliCharles
    @KaroliCharles ปีที่แล้ว +4

    Kaz nzuri sana Kevin mkiwa na brown nawapenda sana boy from kahe

  • @SaumuIbrahim-vh8bc
    @SaumuIbrahim-vh8bc ปีที่แล้ว +5

    🎉❤ wooow niliisubir sana kwa hamu😅😅😅

  • @DeograsiaLwiwa
    @DeograsiaLwiwa ปีที่แล้ว +8

    Nawapendaa

  • @jonathanbrayson6946
    @jonathanbrayson6946 ปีที่แล้ว +1

    Loveness unachekesha umekuwa kituko et bado nakupendaaa hiloooo

  • @Meleka-p1j
    @Meleka-p1j ปีที่แล้ว +7

    Wa kwanza jmn nipeni likes 🎉🎉

  • @machozibachinge8626
    @machozibachinge8626 ปีที่แล้ว +5

    Loveness amelamba lolo 😂😂😂😂

  • @moronayou5148
    @moronayou5148 ปีที่แล้ว +8

    From kenya much love❤❤❤❤❤🎉🎉

    • @davidmutunga8423
      @davidmutunga8423 ปีที่แล้ว +1

      From Kenya ❤️💓💓💓💓💓

  • @MrKhamiskg
    @MrKhamiskg ปีที่แล้ว +6

    Wakwanza leo

  • @metrineokola7730
    @metrineokola7730 ปีที่แล้ว +9

    Much love your series watching from Jordan

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 ปีที่แล้ว +10

    From 🇰🇪 I like your team

  • @verynicechatanda2873
    @verynicechatanda2873 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mama mlezi nae jamani binafsi ningewatimua wooote 😂😂😂😂😂😂

  • @wotb1708
    @wotb1708 ปีที่แล้ว +8

    Good job wana donta

  • @naomimogambi-br5zt
    @naomimogambi-br5zt ปีที่แล้ว +5

    Jamani mmi wa kwaza nibatie likes olz

  • @Mwanamkasi-s5e
    @Mwanamkasi-s5e ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri hongereni sana❤❤❤nyote 🇰🇪 l like gem 😅😅😅😅loves mtaka vyote ukosa vyote

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 ปีที่แล้ว +7

    Loveness ukiona vya elea jua vimeundwa😂😂😂😂

  • @chidimsafi1279
    @chidimsafi1279 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuli snaa

  • @carolinesiakora3024
    @carolinesiakora3024 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂loveness uliambiwa soma utaki ona sasa😂aki the other side brown nae ameenda💔😅

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah ปีที่แล้ว +2

    Kendi unaongea ukweli utupu dadaa, nakupenda kwaushauri wako kwa broun

  • @1czay
    @1czay ปีที่แล้ว +7

    To much love from kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @roselinekhadija5547
    @roselinekhadija5547 ปีที่แล้ว +5

    Haky movie bila lovèness n bure congrats dada Mungu akuinue viwango vyengine

  • @Munezeroyvette
    @Munezeroyvette ปีที่แล้ว +1

    Mupenda 2 amekosa wote pole sana Laviness❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @PurityCharo-rh4ph
    @PurityCharo-rh4ph ปีที่แล้ว +2

    yko kelvin chukua ❤️❤️❤️❤️

  • @CollinsKamone
    @CollinsKamone ปีที่แล้ว +7

    ❤❤❤❤ watching from kenya.mko vizuri wakuuu❤❤❤

  • @easther8475
    @easther8475 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations 🎉🎉,nawapenda Sana ♥️ ♥️♥️ hii Ni more 🔥🔥🔥🔥

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂 nakupenda tu bure kelvin 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joelsilambien418
    @joelsilambien418 ปีที่แล้ว +6

    Hii episode nimeipenda sana Kweli 😂😂

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana Nikiwa mombasa Kenya leteni nyingine moto Moto Kama hii ❤❤❤❤❤

  • @PurityCharo-rh4ph
    @PurityCharo-rh4ph ปีที่แล้ว +3

    Lovenes ach tamaa brown ndio alikua mkweli 😂😂😂pole mamaa tunajifunza watching 4rm Saudi

  • @doreenkerubo7056
    @doreenkerubo7056 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂loveness mama kishakuramba kaogelee tu

  • @NucraAlmasi-is3we
    @NucraAlmasi-is3we ปีที่แล้ว +9

    Good job ❤❤❤❤❤

  • @sophiamgina7429
    @sophiamgina7429 ปีที่แล้ว +5

    Love wetu ndio kalemaa mdomo hivyo hadi upinde kama ana stroke 😂😂

  • @HosealeniwickSiingwa
    @HosealeniwickSiingwa ปีที่แล้ว +2

    Mimi nawakubali sana sana tu kiukweli mnaweza mungu awabariki na awatangulie katika kazi zenu from 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @priscarpriscar4870
    @priscarpriscar4870 ปีที่แล้ว +6

    Nice work ❤❤❤❤❤❤❤

  • @rajabumihayo6235
    @rajabumihayo6235 ปีที่แล้ว

    Daaàh pole Sana love yaani umepigwa nje ndani jamn, hakuna kitu kibaya apa dunian Kama mapenz

  • @rebekamfilinge-hr8yj
    @rebekamfilinge-hr8yj ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki xana kwa Kaz nzur

  • @NtikiseParsoi
    @NtikiseParsoi ปีที่แล้ว +2

    this man will be the king like atashikia kanumba ❤❤❤

  • @Eunicekasupuu
    @Eunicekasupuu ปีที่แล้ว +36

    😂😂😂😂Kelvin anapiga pafu la chai apate mishtari😂😂love,welcome to the house of singles....where peace of mind is first priority

  • @OmegaNelson-ho1no
    @OmegaNelson-ho1no ปีที่แล้ว +5

    can"t wait for part 4

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 ปีที่แล้ว +8

    Congratulations ❤❤

  • @Ekerenga045
    @Ekerenga045 ปีที่แล้ว +3

    This movie ipo safi sana❤

  • @sharonemsungu2156
    @sharonemsungu2156 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli kicheko cha mwisho ndicho ni tamu zaidi...kimemramba loveness live😢😂😂

  • @alfredbyamungu8825
    @alfredbyamungu8825 ปีที่แล้ว +1

    Genius
    Mnatisha sana CANDY nakupenda

  • @vanjacute4395
    @vanjacute4395 ปีที่แล้ว +5

    Hongereni sana Kwa kazi nzuri tunangoja sehemu ifuatayo❤❤

  • @neemamrisho7500
    @neemamrisho7500 ปีที่แล้ว +2

    Maneno matamu ndo yana tumalizaga wadada na kutupa bchwaaaa tuwe makn na Hawa viumbe waki kutaka wana uwezo wa kukufanyia chochote usipo kua makn unaraaaambwaaaaa afu wanapta hv 😂😂😂 for girls only 😂😂😂😂😂

  • @RukiaomariOmari
    @RukiaomariOmari ปีที่แล้ว +8

    Congratulations🎉🎉❤❤❤

  • @estherkamwende6075
    @estherkamwende6075 ปีที่แล้ว +5

    Today I'm first one

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 ปีที่แล้ว +5

    Kapatikana kelvin😂😂😂

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 ปีที่แล้ว

    Namuomba mung sana nisifikie hatua ya kufugwaaa jaman😮maan siku likikukutq jambo utajuaa ujuii😊

  • @NdtrHgdEstlla
    @NdtrHgdEstlla ปีที่แล้ว +1

    Much love from burundi❤❤❤❤ kevin nakupenda sana❤

  • @clareclare7541
    @clareclare7541 ปีที่แล้ว +1

    Loveness kimekuponza😅😅😅😅😅

    • @clareclare7541
      @clareclare7541 ปีที่แล้ว

      Part 5 ikuje 2onee tamaa za loveness

  • @kadzojamesjameskadzo3950
    @kadzojamesjameskadzo3950 ปีที่แล้ว +5

    Kazi nzuri ❤❤❤

  • @lulupeter-xf9gs
    @lulupeter-xf9gs ปีที่แล้ว

    Mmmh movie tamu, loveness pole usiache mbachao Kwa msaala upitao nyambafu,

  • @EzechiasMahuka
    @EzechiasMahuka ปีที่แล้ว

    Ayii nime kosa yaku sema kweli tamaa mbaya umeoponza 🎉🎉🎉

  • @monicahjoseph2528
    @monicahjoseph2528 ปีที่แล้ว

    Loves ,asiesikia LA mkuu hunjika guuu,,xx kimeumana 😃 warudi hehe nae katembea na na rafik so tulia