MR HANDSOME Part 02 ❤️ New Bongo Movie |Swahili Movie | Love Story |
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2023
- #penzilajini #penziladadawakazi #kijanatajiri #kijanamasikini
ILI KUPATA NAMBA ZETU ZA SIMU BONYEZA LINK HII YA INSTAGRAM KISHA UTUFOLLOW UTAPATIWA NAMBA ASANTE / kelvinkhan255 - บันเทิง
Rafiki wa loveness anatrue love sana kwa rafikiake na atamani apotee nipewe like zangu jaman🎉
Jmn brown pole inauma kweli😢😢😢,ayo ndio mambo ya Loveness cjui anapedanga kushikiliwa wap atulie😅😅😅😅😅 nipeni likes jmn🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Yani kelvn jaman unajua kutunga mungu azidi kukiinua kipaji chako❤❤
Nawapenda sana lakini kwa Nini sipati likes cumi?Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
Nice sn
Tujuane sasa and I'm from🇧🇮
@@cizaernester1905😊
Am from KENYA nipee subscribtion yako, tayari nisha tenda haki kwako hogolove❤
Nitafanya Kaka yangu kila kitu ni kushilikiana
Tamu ndo tumelianzisha Team kelvin 🔥🔥🔥🔥❤❤❤🎉🎉🎉🎉 Nawapenda nyotheeee
Shkamoo mapenzi 💃💃💃💃💃💕💞
Pesa ndo sulihisho bulaun 🎉🎉🎉 nipeni like zangu hata tano tuuuu😢😢😢😢😢😢❤
Kazi nzuri sana brother 🔥🔥 na ime enda
Nawapenda sana jomoni ❤️
Good guys 👍 love you ❤️❤️❤️ more from Kenya 🇰🇪🇰🇪
True story kbsaa 🥹 kam kilchomtokea rafiki yang prev semister uwiii 🙌… jamani tuliochuon tusomeni mapenzi yapo tu😌
😢😢
Pole sana brown unajua kucheza part zako vizr hongera❤❤❤❤huku kenya
Bro Khelvin umekuwa moja ya watungaji bora kwangu wa bongo movies unanifanya niwe mwenye furaha any time mungu akuzidishie kipaji chako boy Elifaz Mliha Kigoma01❤❤❤❤❤🎉🎉
Kévin una elewa mambo sana una juwa n'a dada keti n'a Brown nawatakasana
Nawapenda sana mvi zenu zinamafunzo mazuri kelivn na wenzko hongera❤❤❤
Nipeni like zangu ❤❤
Nawapenda sana ndugu zangu from 🇧🇮
Samahani rafiki yake love ness ukika uwe unaangalia kwanza kama umeka vizuli.ujuwe iyi nikamera inarekodi natunaona wengi ulika vibaya na ukafulama
Nawapenda sana nyingi watu ❤❤❤
Wakwaza Léo nipeni liker ata kumi 🎉🎉🎉❤❤
Good sana jaman kelvin Mungu azid kukuongoza kwa hii kaz ❤
Jaman nampenda candy♥️
💕💕💕💕💕🌹🌹🌹
Da vik mbona simuon jaman
Me pia nampenda sanaaa
Dah hngrn kaz nzr tnaenjoy Mung awabrk🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉 nawakubali sana
I love the movie from Kenya
Nawapenda wote 🎉🎉❤
jaman nampenda love❤❤
Kiukweli pia mm nimetokea kumpenda loveness n msichana mzuji n ako n kipaji y kucheza mziki❤❤❤❤❤
Lovenes safari hii hatuendi kwa mganga
Can't wait for the next episode 🎉 love you guys ❤. from Mombasa Kenya 😊. Mwaaaaaaaaaah 😂.
leo wa kwanza naomba like 100
Love amempenda bcz Ako n peSa bt hana mapenzi yeye 🇰🇪🇰🇪
Ety husiumizwe na ww umeumiza brown malipo ni humu humu duniani ❤😂😂😂😂😂😂 kelvin ongera kwa kutufunza na kutufungua akili❤❤❤
Wow❤❤❤
Like ziwe nyingi 🔥 na
Oh my kama kweli pesa ndio kusema pole Sana Mr brown lovess kapagawa na Mr handsome mpaka ww sio wamaana nawapenda nyote from 🇰🇪♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Tubeeni ❤❤sa Kenya jameni, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Gud job team donta 🎉🎉🎉🎉🎉
Good job ❤🎉🎉🎉❤
I love the mouvie from Burundi. Brouwn pole sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Unacho kitafuta utakipata kelvn ana tamaa kwajins alivyo hawezi kumpenda mwana mke mmoja hivyo lav subiri kuliya na kusaga meno
Mungu awabariki san wapendwa kazi nzuri mashaallah ❤️👌
Love you guys 💕💕
Kivumbi Leo 😂😂😂❤❤❤
Pole sana brown ipo siku utapata wa kwako acha na lovenace
Nice 🎉🎉🎉🎉❤❤
Leo wa Kwanza naombeni like zenu wadau
hey
Love punguza mapoz. Poz nyng had unaharbu move
Kazi nzuri hongereni sana donta tv🎉
Team Kelvin hoyee,nayaona mambo .
Mwanamke anaitwa loveness Ako na tamaa ya pesa mwanamke mbaya wewe pole sana brown
Daaah mmecheza nakutufunza hongereni🎉🎉🎉🎉
Mbona iyo party 🥳 hatujaiona na gari ulokuj nayo hatujaon mov mzuri ila mnafeli kidogo
Movie tamu nawapenda
Pole sana brown Mimi kutoka kenya nakupa pole
Loveness yani mapenzi yamenoga hutaki hata chuo ,elimu muhimu mama mapenzi baadae
Nawapenda sana nyinyi vijana
Mmmh loveness, ety me ntakuja kumuaa mtu!!!! Na kweli Kwa roho Yako unaua kabisa!!!
From kenya good job wdau
Yaani hapaa kwa kelvin hakukosi majanga daah...
Watching from Kenya 🇰🇪, eagerly waiting for the next episode. Kelvin vs brown
Mbona hatoi muendelezo jmn
Mbona hatoi muendelezo jmn
Mapenzi jamanii😂😂
Jaman post kabisa naliona gorofa la ritha
Mpo vizur
Ila ka love kazuriii mwee
Good job guys ❤❤
Jamni napenda sana movie zenu zina mafunzo kweli
Utamu jamani msichelewa saanaaa ❤❤❤❤❤
Wa kwanza likes zangu ❤❤❤
Pole sana brown,wewe n mtoto kiume jikaze
Nimewahiiiijjj
Hiyi nayo ni taamuuu kbs inamafunzo tena maichallah handsome wwe unakosha mwenzio pol sana brown mapenzi ndo jinsi yalivo😢😢❤❤❤
❤❤❤❤❤❤ daah wapambanaji kwer yn nawakubali sn
Much love from kenya ❤❤❤
Loveness 😂masomo kando mm nko nyuma yko kitakuramba😂😂 waiting for you nxt❤❤
Kazi nzuri wapemdwa
Waoooo mnanipa Raha 🔥🔥🔥
Duh maskin brown adi huruma zarau hz et alizofany loveness
Nawakubalii sanaaa
Shikamoo mapenz. Ni fundisho kwa wanachuo. Hasa wadada wa sikuhizi
Tupe vitu
Nawapenda wote
Nice nakubali sana
Kweli shikamoo mapenzi
😺😺😹😹😹lavuness ww yaan huchelewi wallah
Mapenzi mapenzi mapenzi yanauwa wengi na yanapoteza wengi
Mungu akupeee kipajiii kubwa kelv
Mmmh mapenzi shikamoo
Good work guys
Mapenzi shikamoo 😂😂😂😂
Nacho kutafuta lavunes utakipata kelvn siyowana ume mkweli
Kaka Kelvin much love from Kenya,ila sipati burudani kwa mpangilio na wakati bro
Nice Job guys
❤❤❤❤from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 nawapenda bure
Vip
Jamani fanyen hima kuleteta party nyingin
Nawependa sana ni move but kunafunzo ndani
Jamai nzuriii❤❤
Mko vzr sana❤❤❤
Wanawake wa ovyo sanaaa
Dah jamn sema ❤❤❤❤❤