Asante kwa kuweka wimbo huu. Nimeutafuta sana miaka mingi. Kila nikiusikia ulikuwa unanitafakarisha sana namna ninavyotakiwa kuwavuta watu kwa Yesu. Siku nimeusikiliza tukiwa Ukonga kwenye mkutano wa nje na Mtumishi wa Mungu Mwl Tumainieli Mbwambo wimbo huu ulinigusa sana moyoni mwangu
Maranatha kwaya kutokea huduma ya uinjilisti na maombi nyumba kwa nyumba nyimbo zenu zinanibariki sana ila nazitafuta sana humu ila nyingi hazipo humu jamani
Umeadd video ina scratch sana, tusaidie kutafuta video nzuri ambayo haikwamikwami, nimeutafuta huu wimbo miaka kibao, nlikua nauona tvt zamani sana, unanibariki
Daah aisee ni miaka mingi nakumbuka huduma ya mzee salu buguruni malapa🔥🔥🔥aisee natamani kujua kama bado wapo
2024 and still here❤
Hizi ndizo nyimbo za mwaliko kwa Yesu kwa kweli
Mwimbo mzuri kwa sauti na ujumbe wake. Naupenda sana. Huwa naurudia rudia... Sijui wako wapi hawa wanakwaya
Shalom ndugu wapo hata leo, wanapatikana buguruni malapa Dar es Salaam kwa mtumishi wa Mungu mzee Sallu
Watoto wa mzee Salu buguruni
2023 ….. watching
2023 nabarikiwa na huu wimbo nikiwa Mwanza
Naombeni mimi niumbe na kutoa video nzuri, kama hamtojali naombeni ridhaa kutoka kwenu.
Asante kwa kuweka wimbo huu. Nimeutafuta sana miaka mingi. Kila nikiusikia ulikuwa unanitafakarisha sana namna ninavyotakiwa kuwavuta watu kwa Yesu. Siku nimeusikiliza tukiwa Ukonga kwenye mkutano wa nje na Mtumishi wa Mungu Mwl Tumainieli Mbwambo wimbo huu ulinigusa sana moyoni mwangu
wimbo mzuri sana, tatizo unascratch sana
Nakumbuka sana TVT jumapili ilikuwa lazima wacheze wimbo huu. Tuingizie usio scratch.
😁
Muhenga kama mm 😃😃😃😃, ulikua ndo wimbo wa kufungulia kipindi cha nyimbo za dini
TBC nadhani watakuwa na version ile waliyorikodi kwenye studio za TVT wakati huo.
This is a great song, niliutafuta sana.
Tvt walikuwa nao. Ule wa live. Mzuri Sana.
Mungu ni mwema sana, kweli njoo kwa yesu uwe kiumbe kipya
Maranatha kwaya kutokea huduma ya uinjilisti na maombi nyumba kwa nyumba nyimbo zenu zinanibariki sana ila nazitafuta sana humu ila nyingi hazipo humu jamani
Duu nimeutafuta sana huu wimbo.......sema una scratch sana..asante sana
daah nimeutafta huu wimbo tangu 2015 nkaupata 2020😢
Nitamshauri mwalimu waurekodi upya
Wimbo unabariki sana
Nabarikiwa sana na wimbo huuu!!!
Namimi nimeutafuta sana wananyimbo nyingi sijui kwanini haziwekwi humu
Who else is here from Dorfine Kemmy Facebook live channel 🙋♂️she really plays this Amazing song.
Yes mimi nikiumbe kipya 2022
wimbo huu unaniburudisha sana roho,nafsi na mwili pia,mbarikiwe waimbaji.
Naupenda sana huu wimbo unanibarika sana. Mungu awabariki sana
I like this song!
Nawakumbuka sana
Mungu azdi kuwabariki
Asante sana natafuta Album yao yote
Umeadd video ina scratch sana, tusaidie kutafuta video nzuri ambayo haikwamikwami, nimeutafuta huu wimbo miaka kibao, nlikua nauona tvt zamani sana, unanibariki
Itakuwa tayari ijumaa
@@stevenjohn399 boss mbona hamjarekebisha hizo scratch jamani
hii nyimbo nzr sn lakn mmenibore sn mmekatakata sauti!!!!
Nabarikiwa sana kila nikisikiliza wimbo huu
Good song
2021 watching
Tupo pamoja🙌
Ntauweka kune account yangu