Asante san kaka vitabu tuna kaa navyo ila maarifa tulikosa Asante kaka kwa maarifa naamini umetutoa kwen upofu wa ufaham mistarihii tunaisomaga kwa mazoea kumbe inanguvu kubwa,ubarikiwe sana na kuongezeka .
Uwe unaweka picha nzuri peke yake sio kuchanganya na mapicha yanayotisha wengine huwaza vibaya Mara mtu anajicho kwenye paji la uso Mara macho Yana rangi Weka picha tu ya binadam wa kawaida sio hiyo mipicha ,japo n mambo ya Mungu unaelekeza lakin picha zinakinzana pls badilisha kaka
Mbona kama unafundisha wakristo peke yao mana hayo maneno yako yanatoka kwenye bibilia mbona hutoi na mafundisho au maelekezo ya imani nyingine au ww ni mchungaji tukupuuze ss wengine
Baba yetu uliye mbingun Jina lako litukuzwe ufalme wako uje Mapenz yako yatimizwe Hapa dunian kqm huk mbingun Utupe leo rizik zetu Utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea Usitutie majaribun bali utuokoe na yule muovu Kwakuw ufalme ni wako na nguv na utukuf hata milele ameeen
Asante san kaka vitabu tuna kaa navyo ila maarifa tulikosa Asante kaka kwa maarifa naamini umetutoa kwen upofu wa ufaham mistarihii tunaisomaga kwa mazoea kumbe inanguvu kubwa,ubarikiwe sana na kuongezeka .
Duh! Hakika maneno ya Mungu ni fumbo la imani ameen
Asante mwenyezi MUNGU akubariki sana
Ameni nimekuelewa ubarikiwe sana
Nimeyaona maandiko Kaka Asante,ni
Ufunuo wa yohana 21:12-26
Ila picha badilisha hata km ni Mimi wa kwanza kukuambia naomba ulifanyie kazi🙏
Barikiwa
Asante kaka kwa kutuelimisha ubarikiwe na Bwana
Amina Sana,barikiwa Sana mtu wa Mungu
Barikiwa sana mungu akubaliki
Asante Sana unatufungua akili vitu tunavyo hatujui kuvitumia
Uwe unaweka picha nzuri peke yake sio kuchanganya na mapicha yanayotisha wengine huwaza vibaya Mara mtu anajicho kwenye paji la uso Mara macho Yana rangi
Weka picha tu ya binadam wa kawaida sio hiyo mipicha ,japo n mambo ya Mungu unaelekeza lakin picha zinakinzana pls badilisha kaka
Binadamu bwana
Amina ubarikiwe sana
Mungu akujarie kila la kheri zaidi
Amin
Amin kwasote
Naitwa Mr wily nami nipo tayari kusali kila siku
Asante sana barikiwa saidi
Shukran kaka
Amen.. barikiwa Kaka
Mimi nipo tayari kulitii neno la Mungu,Amina
Amina nitafanya hivyo.
Amina kaka
Asantee sana kwa kutufungua
❤❤❤❤❤nipo tayari kupokea hayo maneno mara 12 inshallaah
Nilisikia mara ya kwanza halafu sikuelewa leo nimesikiliza tena nikaelewa kweli unatupenda sana na zaidi ya sana barikiwa sana
Nikweli Unatupenda Usinge Tufundisha Hivyo
Barikiwa maana umetukumbusha jambo muhimu sana
Mafundisho yako ni mazuri sana bali naomba uweke picha nzuri
Barikiwa Sana ndugu
Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mashaallah
Ameeena 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi nipo tayari kutamka maneno haya mara 12 alfajiri nimepokea
Cjaelewa ni maneno gani
asante
Nko tayari
Tunamuomba mungu.kilaalfajiri bob
❤❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe nabwana
Ameeeeeeeeeeen
Congratulations brother 💪
Thanks bro be blessed 🙌
À santé sana
Amina
Ansant
Mimi nipo tayar kufanya hinyo alfajiri mara kumi na mbili nimepokea 🙏🙏
Tusikilize maneno tusisngslie picha😂
Nikotayari kitamuka marakuminambili Amina
AMINA
6:36 Mungu akupe nguvu
Nimefurahi sana leo kusikia hivyo
Ameen 11:31
Mm nipo tayari kutamka maneno haya mara 12 alfajiri napokea mamilion ya peaa inshaallah
Mimi nipo tayari kutamka maneno haya
Amen 🙏
Ameen
Niko tayari kufanya
Nipo tayar kutamka amen
Inapendeza
Yani haya masomo yana saidia sanaa mimi naona nguvu kwenye haya mnayo yafundishaa
Siyo raisi ivyo IRA mungu alikuwepo tangu nakabla
Mimi nipo tayari kwa kutamka maneno haya mara 12 naomba unipokee.
❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼
🙏🙏🙏
Mimi nipo tayari kutamka maneno hayo kumi 12 nimepokea
Ufunuo hujasema sura ya ngapi umesema mstari tu.
Amen
Amina sana Mimi nakubali mno
Mbna picha zinatisha jmn
Mimi nipo tayari kutamuka maneno haya mara 12 asubuhi
Alfajiri
Mm nipo taari kusali Kila siku🙏
Nipo tayari kutamka na napokea milioni 500 ameni
Mm nipo tayari kutamka maneno hayo mara 12 naomb nipokee
Mm nipo tayari kutamka maneno haya 12
Nipo tayari kutamka maneno haya mara 12 asubuhi napokea
Nipo tayari kupokea muujiza
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
zaburi34
Niko tayari kusali na kupokea
Nipo tayari kuamini miujiza hii kayaks ulimwengu wa kiroho wa kuwa na kiasi kikubwa Cha pesa
Mnaleta ukristo Sasa daah Basi sifuatilii Tena channel hii
Nipo tayari kutamka mara 12
Pesa zinatafutwa kwa kufanya kazi
Kazi unafanya na pia usisahau kurud kwenye asili na imani
😂😂😂 Hapana kwenye kutafuta unaweza usipate ila ukimuomba Mungu akajibu
Ww endelea kufanya kaz, na tukipata usituombe
Nimefungwa Kiuchumi,
Niko Tayari Kutamka Mara 12 Alfsjiri.
Nipo tayari nanimepokea
Nipo tayari kupokea maneno haya
Kwani utatamka kwa sauti ya chini au ya juu....?
Hizo picha zina maana gani
Nipo tayar kutamka
Utafanya ivo kwa mda han kaka
Nikotayali kutamka maneno 12
Nipo tayari kupokea maneno haya mala kumi. Na mbili
Mbona kama unafundisha wakristo peke yao mana hayo maneno yako yanatoka kwenye bibilia mbona hutoi na mafundisho au maelekezo ya imani nyingine au ww ni mchungaji tukupuuze ss wengine
Maneno gani
Baba yetu uliye mbingun
Jina lako litukuzwe ufalme wako uje
Mapenz yako yatimizwe
Hapa dunian kqm huk mbingun
Utupe leo rizik zetu
Utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea
Usitutie majaribun bali utuokoe na yule muovu
Kwakuw ufalme ni wako na nguv na utukuf hata milele ameeen
Nipe number yako mkuu
Je wewe ulifanya hivyo ukafanikiwa au
Unaongea sana
Amina Sana, Barikiwa Sana mtu wa Mungu
Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amina
nipokee kaka nimeangaika xana nipo tyali kutamka mara 12 kila asubuh
Amen
🙏🙏🙏
Amenn
Amina
Amen 🙏🙏
Amen