Rais Ruto afutilia mbali mikataba na kampuni ya Adani
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 พ.ย. 2024
- Rais William Ruto ameagiza kubatilishwa kwa mikataba kati ya Kenya na kampuni ya India ya Adani. Rais akiagiza shughuli ya kumtafuta mkandarasi mpya kuanza kwenye sekta ya kawi nchini pamoja na upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKIA. Rais akisema kuwa serikali imeafikia hatua hiyo baada ya kupokea ripoti za ujasusi kuhusu mienendo ya kampuni ya Adani,
Ruto is going down as the worst president kenya has ever had
Ruto hana mission ama vision
USA good job
Ata ufanye nini sugoi ndio destination
😢😢😢juu ya u.s.a ime mwekea wanted 😢 adani
Thank you Trump administration for bringing down Ruto henchmen
Aibu kubwa
Ameona wakuu wa adani wamekamatwa marekani kwa Sababu ya ufisadi...eti ameufutilia mbali, na amekula hela
Let's respect our own Mr President he has a contract with Kenyans for five years their the score card will be out for every voter to judge him where I believe he won't be stopable to vie again and win thank u
Wabunge wanapiga makofi kma mafala😂😂
Nani wao walipitisha
@@sparkjamal2543 hao n makondoo sana
Izo ni nugu
Mafala hatahivyo
It's evident Ruto had no plan on running kenya
Kwani wabuge wamekua watoto wa shule
Our fellow Kenya's wembe n ule ule akuna tubdilisha 😂😂
Navile baba piya alimteteya", shenziwote , 2027 warudihom
IT REALLY HURT TO LISTEN TO HIM 😭
And the way Raila praised Adani. These people have no clue what they are doing. Woiye! Ka airport ketu kange enda tu ivyo. Bure kabisa.
Everything Ruto touches Kuna question mark
Bure kabisa
Ameskia kuwa adani wako na scandal uko mericani
Kenyans died, but the butcher of Sugoi can only respond after USA fired warnings
Ruto tutakupeleka kwa pdd maryakani ukatolewe kutu
Uko sawa preso
bure kabisa ..raisi ya wakikuyu..uyu walivote in
Watu walikataa hii mambo kitambo sai ndo Mr president anakataa
What about health😢😢
Amechaguliwa na mungu
US army should come in Kenya
Save Kenya
Where is steven Letoo from Citizen
Those who have joking with this ruto whole thing,take my free advise, if not that it has been raining and getting something from farms, tungekuwa pambaya sana, so those saying he will get another five yrs, should tell us too how and their plans with him,
Unatuona kama sisi ni matako yako
bure kabisa
The three CS's ( Chirir Transport, Wandanyi Energy and John Mbadi Treasury) are supposed to have packed (sacked)up and go home 😢😢😢 please please please 🙏📛🙌.
man that sitting looks as debate 😂😂😂😂ile ya 8-4-4 an hapa ni mind games guys na total distractions mark my words