JULIO: SAMATTA NDIO MCHEZAJI MWENYE NIDHAMU/ WAZAWA HATUAMINIKI KUFUNDISHA TIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @AlexAlphonce-m8b
    @AlexAlphonce-m8b หลายเดือนก่อน +12

    Kocha julio safi sana leo umeongea ya Moyoni sema yote wajue Watanzania wana Roho mbaya sana hawapendi Mafanikio ya wazawa

  • @mtelewalindi374
    @mtelewalindi374 28 วันที่ผ่านมา

    Bado tuna ukoloni mambo leo hatujikubali kabisa ngozi nyeusi like kwa mbwana ali samata kwa nidhamu ya hali ya juu

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 25 วันที่ผ่านมา

    Julio ni mswahili huyooo😂😂😂😂😂

  • @enoszaka-tx8qw
    @enoszaka-tx8qw หลายเดือนก่อน

    nimeipenda sana hii interview

  • @MauBonde
    @MauBonde หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo la makocha wa ndani na baadhi ya makocha wengi wana tabia ya kupendelea wachezaji kwa maslahi yao pamoja na wachezaji.

    • @hajikatanje5961
      @hajikatanje5961 24 วันที่ผ่านมา

      Sio kweli tatizo lipo kwenye Asilimia anavyo kuja kocha mgeni viongozi wana pata mpenyo wa kupiga pesa kwa kuongeza 0 na wanakubaliana tengeneza pesa pia kwa kuvunja mikataba kwa hovyo ile yote wanavunja hovyo mikataba kwaajili ya maslahi yao viongozi binafsi sasa akiwa mzawa wanajuwa kunasiku watakuja kuwaumbua

  • @MrTiles-d4j
    @MrTiles-d4j หลายเดือนก่อน +1

    Ya kweri kabisa

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 25 วันที่ผ่านมา

    Kwani Nan anamdharau Feisal, yeye niemchezaji wa Azam basi Azam wenyewe waanze kumkuza msitegemee yanga au Simba ambayo haichezei ndo imkuze mdomoni mwa watu acheni uswahili

  • @HabibKhamis-b2x
    @HabibKhamis-b2x 29 วันที่ผ่านมา

    Shida personalite wabongo hatuna huwezi niletea msanii umevaa sendro km wanaume wa dar muda wote sendro atakuheshim nani bana vaa vzr ndio mn wanawazidi

  • @EdwinAdAstra
    @EdwinAdAstra หลายเดือนก่อน

    Julio miyeyusho sana 😂😂

  • @coldkiller-7
    @coldkiller-7 หลายเดือนก่อน

    Ni ukweli wabongo tuna roho mbaya sana hatudhamini chetu

  • @IsayaShokaulaya
    @IsayaShokaulaya หลายเดือนก่อน

    Nikweli alikuja benzinsik sikuyamwisho julio anasimamia timu simba ilicheza mbenzisiki alisimama na kumpigia makofi baada ya simba kuchempira mzuli mno alimshika bega akampa mkono.

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 28 วันที่ผ่านมา

    Umuamini MJINGA MJINGA kama JEMEDARI SAID???

  • @charlestesha4202
    @charlestesha4202 28 วันที่ผ่านมา

    Tatizo makocha wazawa hawafundishi mpira Bali wanahamasisha mpira na mpira unahitaji mafunzo kuliko hamasa

  • @BogyHaji
    @BogyHaji หลายเดือนก่อน

    Bila ya ukweli hatuezi kwenda mbele

  • @josephclementkisendi6726
    @josephclementkisendi6726 28 วันที่ผ่านมา

    Makocha wabongo wabovu mbona hampati tim nje ya nchi?

  • @kaseja
    @kaseja หลายเดือนก่อน

    Hawaaminiki kwa sababu hawaja jiongeza kabisa. Hao makocha wazawa wamefunza timu gani na wakafika wapi... kocha gani hapo amekuja hata kenya kufunza gormahia ama club yoyote?. Wazawa wanachukuliwa kama vilaka na hata hizo club kubwa kama hawaawaamini makocha wazawa . Uwezo mdogo wa mbinu.

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi majungu

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 หลายเดือนก่อน

    Binafsi nawakubali saana makocha wazawa hao wageni hamna lolote sema tunaangalia wazungu saana ndo tatizo letu

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 หลายเดือนก่อน

    Kwa Nini hupati TIMU nje? Mgunda Morocco kwa nini hawapi TIMU nje muulizeni

  • @MaguguStore
    @MaguguStore หลายเดือนก่อน

    Julio ushindi wa Taifa star si kwa ajili ya makocha , n kwaajili uwekezaji wa timu

    • @edchrisbeatz8976
      @edchrisbeatz8976 หลายเดือนก่อน

      Kaangalie uwekezaji wa real madrid

  • @tariqkhassim4059
    @tariqkhassim4059 25 วันที่ผ่านมา

    Sasa uyo mwingne anacheka cheka nini kama lichoko

  • @AlexAlphonce-m8b
    @AlexAlphonce-m8b หลายเดือนก่อน +1

    Tukiendelea kusujudu wazungu wataendelea kutudharau na kutuona wajinga tubadilike

  • @EdwinAdAstra
    @EdwinAdAstra หลายเดือนก่อน

    Watanzania tuna ile inaitwa "crabs in a bucket mentality"

  • @josephclementkisendi6726
    @josephclementkisendi6726 28 วันที่ผ่านมา

    Makocha wabongo kipengele ukiteuwa vikosi vyao vinakuwa vibovu, mfano kikosi hiki kilicho vuzu afrc nichaguo lamashabiki baada yakupiga kelele kumtaka msuva samata shamali manura, makocha nyie hamna rorote

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 หลายเดือนก่อน +1

    Julio ni mihemko

    • @ngadumbishi1405
      @ngadumbishi1405 หลายเดือนก่อน

      Mtu anasema ukweli unasema mihemko pumbavu kabisa

    • @MaguguStore
      @MaguguStore หลายเดือนก่อน

      Anauza mechi hatariii

  • @thomasantapa8353
    @thomasantapa8353 28 วันที่ผ่านมา

    Humuaniki kwa sababu ya mapenzi yenu kwa Simba na Yanga mbwa nyie

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba หลายเดือนก่อน

    Jiaminishe, na mkiaminika tu. Nahakika hakuna mgeni tena kuwa hapa