NAONA KILA COMENT INAWAPONDA WABONGO KAMA KAWAIDA YETU N KUPONDA TU ILA M NAOMBA NIWAPONGEZE MNAJITAHID KWAKWEL JAPO MAPUNGUF HAYAKOS ILA BIG UP TUTAFIKA
Kuhusu huduma za bandari msiishie kuwauliza hao wasimamizi wa hapo, maana lazima wajitetee, tuulize sisi wanufaika na wasafirishaji, kiukweli huduma HAZIRIDHISHI, mimi kama mfanyabiasha nina mizigo yangu imefika hapo bandarini tangu Mid-december ila mpka leo ni visingizio vya foleni za meli, kwakweli uongozi unatuumiza sana hawajui ni maumivu gani tunapata
Maneno mengi but Mombasa port has 35 million metric tons while Mozambique port has 31 million metric tons Dar port has 21 million metric tons what rubbish is that if your in a strategic location you need to out perform both Mombasa and Mozambique
Watanzania tunapenda sana uzushi na uongo, hatuna uzalendo na uchungu wa nchi yetu. Inasikitisha sana, hasa sasa hivi kunapokuwepo makundi ya watu wenye nia mbaya ya kutaka kuona nchi yetu inadidimia.
@@ContentSmartphone-rq6po I wrote about that already. Maneno mengi but Mombasa port has 35 million metric tons while Mozambique port has 31 million metric tons Dar port has 21 million metric tons what rubbish is that if your in a strategic location you need to out perform both Mombasa and Mozambique. Siyo mkenya mimi ni mtanzania pure kukuliko wewe mwajuma kandambili acha ukweli usemwe
NAONA KILA COMENT INAWAPONDA WABONGO KAMA KAWAIDA YETU N KUPONDA TU ILA M NAOMBA NIWAPONGEZE MNAJITAHID KWAKWEL JAPO MAPUNGUF HAYAKOS ILA BIG UP TUTAFIKA
Safi sana
Mama Samia anamipango mizuri sana ya Kazi tuachane wa wapotoshaji na wengine udini unawasumbuwa
Kuhusu huduma za bandari msiishie kuwauliza hao wasimamizi wa hapo, maana lazima wajitetee, tuulize sisi wanufaika na wasafirishaji, kiukweli huduma HAZIRIDHISHI, mimi kama mfanyabiasha nina mizigo yangu imefika hapo bandarini tangu Mid-december ila mpka leo ni visingizio vya foleni za meli, kwakweli uongozi unatuumiza sana hawajui ni maumivu gani tunapata
Maneno mengi but Mombasa port has 35 million metric tons while Mozambique port has 31 million metric tons Dar port has 21 million metric tons what rubbish is that if your in a strategic location you need to out perform both Mombasa and Mozambique
Watanzania tunapenda sana uzushi na uongo, hatuna uzalendo na uchungu wa nchi yetu. Inasikitisha sana, hasa sasa hivi kunapokuwepo makundi ya watu wenye nia mbaya ya kutaka kuona nchi yetu inadidimia.
Chuki inapandikizwa kwa Uongozi ww sasa wanachukia sana kuona Mh.Rais anafanya kazi inayoyo tukuka na ni baadhi ya mafisadi na baadhi ya udini.
Geti 12 sio za kupigia kelele bado sana shida siasa! Durban port inamore than 51 gates na zote zinafanya kazi 24/7
Tupeane moyo tutafikaa at least tunajitaidii we umeona nchi nyingine zilivyochokaa
Kwani walikuwa hawafanyinusiku😮?
Kwa hiyo haya ni matunda ya uwekezaji wa bandari kwa DP World .pongezi kwa watendaji wa serikali.mmeupiga mwingi.
Jaman ... Naomba tusupende show kuzindi usanisi...... Waulizeni wale wasafirishaji ndo wanajua
Kenya wana gati 21 sisi 12 jomoni ni upuuzi gani huo
Kenya kuma tu angalia ukubwa wa shehena we mkenyanini
22
@@ContentSmartphone-rq6po I wrote about that already.
Maneno mengi but Mombasa port has 35 million metric tons while Mozambique port has 31 million metric tons Dar port has 21 million metric tons what rubbish is that if your in a strategic location you need to out perform both Mombasa and Mozambique.
Siyo mkenya mimi ni mtanzania pure kukuliko wewe mwajuma kandambili acha ukweli usemwe
Tatueni changamoto folen kubwa
Dp world wanazo ngapi?
Kusikia dp world waja ndo mwaamka hii nchi ngumu sana
Millard ayo anasemaga ukwel lkn hii ya Leo mhhhh ukizingatia sura ya huyo jamaa inaonesh kamaaa Maelezo yanatok mdomn sio moyoni
Udini unakutesa wewe kwa sababu Kiongozi wa Nchi sio dini yako na anafanya kazi kubwa sana haijawahi kutokea
Jamaa ni kama ashajiongeza na alcohol
@@alextanzania udini unawatesa kwakweli mbona wenze u hawako hivyo baadhi yenu hawana udini wakijinga hivyo?
Safi sana