Wanahabari waandamana baada ya Catherine Kariuki kupigwa risasi na polisi jijini Nakuru
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
- waandishi wa habari jijini Nakuru chini ya muungano wao wameandamana hadi kwenye ofisi ya kamanda wa polisi wa nakuru wakitaka polisi aliyempiga risasi mwanahabari wa runinga na redio ya kameme catherine kariuki achukuliwe hatua. catherine alipigwa risasi kwenye paja alipokuwa akiandika taarifa za maandamano ya vijana wa kizazi cha genz hapo jana jijini humo.
Freedom of the press. JUSTICE TO CATE
Acha mtu akibeba bendera ya kenya unauliwa bure tu umebeba tu bendera ya kenya na unauliwa bure tu naruto anyamaze na hao wenye wanauwa hawaiti criminals lakini wenye wanauliwa na wanaitwa criminals
Ruto need Vacate the office
Police wenyewe inaonyesha wamemchoka ruto.... Wanafanya makisudi kabisa
Nembo wnhabari police w Ruto n killer hella alokula Chibbukati haijarudi,w Kenya Ruto are danger in Kenya mjipange
Kumbe hao ndio wahalifu
Hii story ya making everything about females or about any minority erodes the whole purpose. Does it mean that if it was a male journalist was shot it would matter less or what is that first speaker implying? Did cops see a woman and a man and shot the woman and left the man alone? If it shouldn't be done to any woman, it shouldn't be done to any man too
Thank you for writing my mind
Pole sana kwa aliyeumia, Jamani! Kwenye mazingira yenye vurugu yanaitaji umakini sana ni rahasi mtu kuumizwa hata kama ujakosa
Kazi y Ruto hawezi badilika hella alokula Chibbukati haijarudi, lazima aue watu mtajiju Bunge ameliweka mfukoni mtalia sana et Raila n Mzee
This is wrong
wanahabari pia wanaonekana kusherehekea maandamano juu wako kazi wakati wengine tumefungiwa..bado mtaendelea kulia