FANYA HAYA 2025 KUFUNGUA MILANGO YAKO YA MAFANIKIO | Tumia vitu hivi Utanishukuru - 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 32

  • @eko_tv
    @eko_tv  20 วันที่ผ่านมา

    WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA:
    +255741655688

  • @BilgateMzuri
    @BilgateMzuri 16 วันที่ผ่านมา +2

    Shindwana
    Na
    Ulegeepepomchafuwewe NENDA kamsimuliemkeo pepowewe

    • @neemasemkiwa8764
      @neemasemkiwa8764 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 usimfwayilie unaweza kufa na presha mtu anajua hdi miaka ya watu kufa 😂😂😂 yaan ukimsikiliza ukimaliza hpo unajuta

  • @ogotsilvester
    @ogotsilvester 22 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu Daktari Ally kk.uko sawa.nimemfuatilia sana.yote anayo sema ni kweli kabisa.hakuna neno la uongo.huyu ni mfalme upande wa udaktari na kufundisha..Ally kk mwenyezi mungu akuongeze miaka mingi duniani..nimejua mengi umenielimisha mengi.nakukubali Sana mwalimu.mungu akujalie maisha marefu.uzidi kufundisha na kutuambia ukweli.niko Kampala uganda.nakuafutilia Sana mwalimu. Kuna hawa waganga huambia watu wanakuitia maadui zako kwa kioo uwaone.nikweli ama ni utapeli.shukran kiongozi

  • @YussufBayuu-k4x
    @YussufBayuu-k4x 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu atuvushe salama mimi ni A na S Mungu tujalie heri amin

  • @SesiliaMorice
    @SesiliaMorice 18 วันที่ผ่านมา +2

    2025 mwaka wa upepo 😂🙌🙌🙌🙌🙌❤️‍🔥

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 17 วันที่ผ่านมา +1

    Ahsante sana

  • @FauziaNguta
    @FauziaNguta 24 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu atuvushe salama

  • @TulizaKavuho
    @TulizaKavuho 22 วันที่ผ่านมา +3

    2025 ❤❤❤❤mungu utupiganiye

  • @abdallahshaibu6106
    @abdallahshaibu6106 22 วันที่ผ่านมา +2

    Ibrahim baba wa Imani kabla hajawa Ibrahim alikuwa anaitwa Abraham. Kwa hiyo ili Abraham aweze kubarikiwa akambadillisha jina akamwita Ibrahim.

  • @tengetengerangotv
    @tengetengerangotv 24 วันที่ผ่านมา +2

    Fact

  • @jestinandemba
    @jestinandemba 22 วันที่ผ่านมา +3

    Jana kuna mtoto akimkimbilia kunipatia ndinz

  • @MaloneJovenaldo-b5h
    @MaloneJovenaldo-b5h 19 วันที่ผ่านมา +2

    Nlkotayari kupokeya izo pessa

  • @Lidya-u3d
    @Lidya-u3d 23 วันที่ผ่านมา +2

    Asante

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf 22 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤

  • @Chalresi-zg9iq
    @Chalresi-zg9iq 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi naitaji kufahamu nyota gani mwaka huu 2025 inakua namafanikio zaidi.ao mambo yake yakua mazuli

  • @LenathdeujiLendeuj
    @LenathdeujiLendeuj 22 วันที่ผ่านมา +2

    J na le vinaendana

    • @LenathdeujiLendeuj
      @LenathdeujiLendeuj 22 วันที่ผ่านมา

      Naomba namba zako ninashida kubwa sana

  • @mangimosha95
    @mangimosha95 23 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU atujalie uzima

  • @Lidya-u3d
    @Lidya-u3d 23 วันที่ผ่านมา +1

    Somo muhimu sana

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 20 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wapande train hapo hata dereva akijichanganya ajali sio kivile

  • @semamedia_
    @semamedia_ 24 วันที่ผ่านมา +2

    2025

  • @fatumamussa8397
    @fatumamussa8397 20 วันที่ผ่านมา +1

    mbona mi F na sipo ivyo yaa Allah tujalie mwisho mwema dunia inamengi😢

    • @Lky589
      @Lky589 20 วันที่ผ่านมา +1

      Nenda kwenye youtb yake imeandikwa Ally kk, fuatilia hrufi F zote, alafu uje Tena kwenye eneo hili la commnt😂

  • @StanslausSalvatory-bz8tt
    @StanslausSalvatory-bz8tt 22 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu jamaa siku zote Yuko negative

    • @eko_tv
      @eko_tv  22 วันที่ผ่านมา

      Zinakuja video za positive

  • @Chris.jay35
    @Chris.jay35 23 วันที่ผ่านมา +1

    Shida nimoja uyu babu anaongeya mabaya tu yawatu sijawayi musikiya anaongeya mazuri kwenye majina ya watu

    • @allykk1459
      @allykk1459 22 วันที่ผ่านมา +2

      ILI upate mazuri lazima tujitambue kwenye Yale tusio ya jua ndio utakutana na mazuri

  • @AtanasSteven
    @AtanasSteven 24 วันที่ผ่านมา +2

    I wish all the best bro

  • @TulizaKavuho
    @TulizaKavuho 22 วันที่ผ่านมา +1

    2025 ❤❤❤❤mungu utupiganiye