Mwanasheria Mkuu Zanzibar aibuka BMK, apiga kura kukataa Ibara muhimu Katiba inayopendekezwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman leo ameibuka katika Bunge Maalum la Katiba na kupiga kura ya wazi ambapo alipiga kura ya hapana katika baadhi ya Ibara za rasimu ya Katiba. Hali hiyo iliibua maswali kwa baadhi ya wajumbe waliohoji kuibuka kwake leo wakati hakuwepo muda mwingi Bunge hilo lilipokuwa likiendelea.

ความคิดเห็น • 65

  • @Yussuphmm
    @Yussuphmm 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndio makamo wetu mtiif 2021

  • @nurisahim7898
    @nurisahim7898 3 ปีที่แล้ว +6

    Mrisi wa hayati maalim seif

  • @mbarakaiddi8209
    @mbarakaiddi8209 3 ปีที่แล้ว +5

    Wana ccm mtatupeleka pabaya sana maana mawazo chanya hamyakubali hili ni tzz kubwa sana

  • @eddytech9215
    @eddytech9215 10 ปีที่แล้ว +8

    big up attorney general

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 3 ปีที่แล้ว +4

    ZANZIBAR kwanza mambomengine bada ishllah

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว +6

    SAIVI AMEKUWA MAKAMO WA KWANZA

  • @omarkanout8684
    @omarkanout8684 5 ปีที่แล้ว +7

    Ongera othman ww ni shujaaa wa kweli na mzalendo

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda huyu mheshimiwa ❤

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 6 ปีที่แล้ว +9

    Walitaka alinde maslah ya Ccm zanzibar na sio maslah ya Zanzibar Allah amlipe kwa wema wake Aamiyn

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Bahati mbaya sana,Mungu hapimi wema wa mtu kwa upemba wake, au uunguja wake, au utanganyika wake,,,,,

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 4 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 na kwa bahati mbaya hujui unachokiongea. Pole

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@nohatredbutlove5786 majibu utayapata okt

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@nohatredbutlove5786 pole na wewe bahati njema okt iko karibu sana

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      @@nohatredbutlove5786 nafikiri sasa umeshapata majibu yako!!!!!

  • @adamsactwazalendo6055
    @adamsactwazalendo6055 3 ปีที่แล้ว +3

    Wewe ni hifar sana juu ya Zanzibar

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi5638 4 ปีที่แล้ว +4

    CCM acheni kuwatishs wabunge

  • @topaviator
    @topaviator 3 ปีที่แล้ว +3

    Wasenge kweli hao wanaosema hafai
    Kumamae leo hii wale waliomcheka wanauza maandazi na huyo mlomzomea kesho anakwenda kuapishwa kua Makamu wa kwanza wa rais

  • @utaani1
    @utaani1 10 ปีที่แล้ว +2

    Top man

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 5 ปีที่แล้ว +3

    Othman umejitahidi kuitetea Zanzibar japo utakua muasi kwa ccm.
    Tumeona lakini nadhani ifike wakati tuchagueni watu wenye elimu, hawa wapigaji zogo hawatatusaidia.

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 5 ปีที่แล้ว +4

    Ccm acheni kuwatisha wawakilishi wenu, mnamtisha mtu hadi anaogopa kusema ukweli, misimamo ya chama haitalisaidia taifa.

  • @user-tn4tp5pe2i
    @user-tn4tp5pe2i 5 หลายเดือนก่อน

    ccm ni sawa na gari bovu

  • @goodlucksemba1145
    @goodlucksemba1145 5 ปีที่แล้ว +3

    Kweli muungano huu ni wa mashaka mashaka !

  • @abdullaali8102
    @abdullaali8102 6 ปีที่แล้ว +2

    Pan-Africanism or Pragmatism. Lessons of the Tanganyika-Zanzibar Union

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 ปีที่แล้ว +2

    Ccm ukiwapinga ukiwahupo pamoja nao wanakutoa wamewatoa waliofanya mapinduzi ya unafikii kuitakia zanzibar mamlaka kamili so mwanasheria kutolewa so ajabu ila kunahukumu badala madaraka anaejielewa hawezi kuwapamoja n ccm

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 4 หลายเดือนก่อน

    wengi walikuwa wakalia viti

  • @khamisali5978
    @khamisali5978 ปีที่แล้ว

    Hii ndo htr yakuchukua watu wa mtaani kwenye mambo yanayohitaji ELIMU.

  • @allybakar1488
    @allybakar1488 6 ปีที่แล้ว +2

    nyinyi mnatk muendekeze udictetr tu half mnasem hkuchaguliwa mbon rais w znzbr rais alli mohd shein mwak 2015hkuchaguliwa saiv ndie rais wetu hii ni dunia tu

  • @godfreyachireka3311
    @godfreyachireka3311 10 ปีที่แล้ว +1

    VERRY GOOD

  • @feiz3180
    @feiz3180 7 ปีที่แล้ว +1

    Yahya Kassim Issa. Wewe mzeee umeptelea wapi?//.

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi5638 4 ปีที่แล้ว +1

    Zanzibar niwajinga sana

  • @allybakar1488
    @allybakar1488 6 ปีที่แล้ว +4

    znzbr kwanz tunatk znzbr ytu

  • @ashuraatanas5967
    @ashuraatanas5967 7 ปีที่แล้ว +5

    wa tz hawa wabunge wenu mbona wajinga sasa unamlazimisha mtu apige kura unayotaka wewe huo ni upuuzi

  • @mohammedkhalfan2085
    @mohammedkhalfan2085 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli CCM zanzibar wanatuuza kwa Watanganyika looo

  • @alluuutamimi5436
    @alluuutamimi5436 10 ปีที่แล้ว +5

    shujaa anabaki kuwa shujaa tu

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว

      alluuu tamimi hahahaaa ,,,mwisho akatumbuliwa!

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 4 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 ,
      Kwani hakujua kua atatumbuliwa? Jamaa ni shujaa mpya wa zanzibar. Namfananisha na Maalim seif Sharrif!

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@farhatfatma12 maalim seif wala siyo shujaa kama unavyodhani, maalim ni mnafiki anayewachuuza wajinga huku yeye akila kuku kwa mrija,,,,huku nyie wajinga mnabaki kupiga makofi, kiasi ambacho hata huyu mjinga mpya ameingia kingi!!

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 4 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 ,
      Ni kweli na ndio sababu CCM mpaka leo wanatumia ma billion ya tax payer kumrudisha nyuma ili achukiwe na siwe na wafuasi .
      Mtu wa aina hiyo wewe na ccm wenzako munamwita mnafiki.
      Kuna link ya kura ya maoni sasa inatembea kupendekeza nani agombe uraisi zanzibar.
      Maalim amewapita wenzake kwa kura nyingi sana mpaka sasa, tena ni vijana.
      Anaemfwatia ni huyo Othman Masoud unamuona wewe pia kua tatizo kwa kuitetea nchi kule bungeni.
      Watu kama nyinyi mupo wachache duniani munao shindwa kutafautisha kizuri na kibaya.
      Maalim ataendelea kua shujaa wa nchi yetu ya zanzibar.
      Alikubali kupoteza nafasi nyingi za juu serikalini kutetea zanzibar yetu na uhuru wetu.
      Tunampenda wenyewe na nyinyi muna haki ya kumpenda mumtakae.
      Maneno yako hayaturudishi nyuma.
      Ramadhan Mubarak!

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@farhatfatma12 ubwege huo,,,,maalimu huyohuyo ndio alimuuza Jumbe kwa Nyerere!!

  • @salehabri6957
    @salehabri6957 3 ปีที่แล้ว

    Samuel sitta wa ukweli, Mzee dawa

  • @aliyaliya2040
    @aliyaliya2040 2 ปีที่แล้ว

    Hamfanyinyi wanafiki

  • @pastoryconrad3075
    @pastoryconrad3075 10 ปีที่แล้ว +2

    wasomi hasa wa sheria ni wajanja wajanja sana

  • @zachariamjungu6456
    @zachariamjungu6456 10 ปีที่แล้ว

    Even if is democracy but this is a Hippocratic criticism because he didn't even participated the session to give his views as far as his status is concern.

    • @gangraa
      @gangraa 10 ปีที่แล้ว +2

      For the sake of argument, had he voted YES would they've raised the same criticism?

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 4 ปีที่แล้ว

      @@gangraa point👌

  • @elenestjackson129
    @elenestjackson129 6 ปีที่แล้ว

    We pumbavu wa ccm

  • @alfredsima7686
    @alfredsima7686 7 ปีที่แล้ว

    katiba wap

  • @rajabmsenga7234
    @rajabmsenga7234 9 ปีที่แล้ว +2

    Niwakati wa mabadiliko

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzembe huyu!!!

    • @rashidalihamad7228
      @rashidalihamad7228 3 ปีที่แล้ว +1

      mzembe mama ako alietobwa na baba ako akakuzaaa wewe, zanzibar kwanza

    • @suleimanali9350
      @suleimanali9350 3 ปีที่แล้ว +1

      @@rashidalihamad7228 Zanzibar fast 💖💌

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      @@rashidalihamad7228 unafirwa na baba yako wewe!!