KWAYA KUU MT.YOSEFU - KANISA KUU LA MT.YOSEFU - DAR ES SALAAM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @elizabethmzimya8305
    @elizabethmzimya8305 3 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda sana kwa uimbaji mzuri na nyimbo zenye madadhi ya kikatoliki yaani full ibada

  • @raphaelngoy1680
    @raphaelngoy1680 2 ปีที่แล้ว

    Amina Amina Amina nabarikiwa eeeeehe mungu wetu pamodja na watakatifu wote

  • @nicomediuskanje2049
    @nicomediuskanje2049 2 ปีที่แล้ว

    Prof.Mkomagu ktk ubora wake.
    Wimbo wa karne..

  • @hildahenry5455
    @hildahenry5455 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo huu unanifariji sana pongezi kwenu,mbarikiwe hadi mshangae

  • @princevenance6814
    @princevenance6814 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana mmeimba vinzuri sauti safi mungu awabariki mno

  • @vitalisobonyo2011
    @vitalisobonyo2011 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa Sana na huu wimbo.
    Kweli nimeisikiliza zaidi ya mara hamsini

  • @isayakahemela4881
    @isayakahemela4881 3 ปีที่แล้ว +1

    Upumzike katika amani ya Kristo Mwl. Mkomagu. Wakatoliki mnaojielewa na muziki mtakatifu uliotulia. Hongereni mnooo

  • @violetnjau6290
    @violetnjau6290 3 ปีที่แล้ว +1

    Najivunia kuwa mkatolik

  • @catherineshayo656
    @catherineshayo656 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli ni Neno jema sana kumshukuru Mungu kwa uaminifu wake, hongera sana kwa mwl na wanakwaya wote Mungu azidi kuwabariki ktk utume wenu asiwapungukie hata kidogo. Mmenibariki kwa huu wimbo kwa sababu ni moja kati ya nyimbo nipendayo.

  • @kwayayamtakatifusimonmtume
    @kwayayamtakatifusimonmtume 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana wapendwa

  • @pascalmussa8338
    @pascalmussa8338 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni vema kuzitangaza rehema zako asubuhi na uaminifu wako wakati wa usiku...Very amazing voices

  • @nicaschuma9652
    @nicaschuma9652 4 ปีที่แล้ว +1

    Huu ndiyo muziki wetu ambao kwao wakatoliki wote twapaswa kuona fahari.

  • @alexanderedmound9932
    @alexanderedmound9932 4 ปีที่แล้ว

    Mungu Azidi kutubariki na kututendea mema wanakwaya woote wa kwaya kuu St. Joseph Cathedral Dar es Salaam
    Hakika kumwimbia Mungu ni raha sana.

  • @fabianmpangala4397
    @fabianmpangala4397 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri pongezi kwenu, nimefurahi Zaidi kwakuwa huu wimbo Mimi naupenda sana,

  • @JugoMedia
    @JugoMedia 4 ปีที่แล้ว

    Ni neno jema kumshukuru bwana..... Wimbo mzuri sana huu. Mbarikiwe waimbaji

  • @gervaschriss3337
    @gervaschriss3337 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki, kwa uimbaji na uchezaji mzuri, wenye mahadhi ya kikatoliki

  • @josephadolph605
    @josephadolph605 4 ปีที่แล้ว

    Kiukweli mnajua sana kunifanya nibaribarikiwe kupitia uimbaji wenu

  • @emmanulmlekwa5594
    @emmanulmlekwa5594 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwenu walimu pia wanakwaya kwa kuimba vizuri.
    Ama hakika hii album mliitendea haki.

  • @agathangeleshi3016
    @agathangeleshi3016 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice song

  • @wafulaabel6870
    @wafulaabel6870 4 ปีที่แล้ว

    Kazi safi.

  • @vickybishubo8543
    @vickybishubo8543 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤

  • @olexanderj.6969
    @olexanderj.6969 3 ปีที่แล้ว

    Mbinguni tutaimba hivi.

  • @clementinesimon2243
    @clementinesimon2243 4 ปีที่แล้ว

    Uimbaji murua,hongera!

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina

    • @aidanvincent708
      @aidanvincent708 4 ปีที่แล้ว

      Hongereni sana, aksante kwa uinjilishaji. Mungu awabariki.

  • @symonblackie7665
    @symonblackie7665 4 ปีที่แล้ว

    AMAZING VOICES

  • @joshuasarutwe4354
    @joshuasarutwe4354 3 ปีที่แล้ว

    Walimuuuuuu

  • @aidanvincent708
    @aidanvincent708 4 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @meshackmkiwa7253
    @meshackmkiwa7253 4 ปีที่แล้ว

    nyimbo conki