Asante ni sana hakuna kuwapa msahada wa kisheria hao polis ita pendeza kwa kuwa Wana kiburi Sana hao polis na Nina omba iyo kesi msiachie njiani ili kuleta heshima wakati mwingine
Viongozi wetu akiwepo rais wetu mama samia mnaona hivi vituko vya polisi?wanabadilisha kauli kuwatungia watu uwongo, nawashauri viongozi wetu akiwepo rais wetu mama samia uangalie hawa polisi kwa jicho la undani baadhi yao sio waadilifu
Safi sana seckta zote zingekuwa ivi tungekuwa mbali sana wamezoea kubambikizia watu makosa ya uongo sas apa wameingia cha kike mpaka waombe msamaha
Kazi njema na mungu awatangulie
Arusha wanaushirikino mno sio raia tu, hongera mawakili ✌️
Tena wanasema huyu ni ndugu wa Dr Silaa hakika Mungu atawashukia hawa wanaoleta huu uonevu kwa watu hasa wanaotetea haki ya wananchi
Asante ni sana hakuna kuwapa msahada wa kisheria hao polis ita pendeza kwa kuwa Wana kiburi Sana hao polis na Nina omba iyo kesi msiachie njiani ili kuleta heshima wakati mwingine
Safi sana siwapendi sana awa polisi
Hongereni san mawakili wa Arusha kw mshikamano wenu
SAFI SANA MAWAKILI WA ARUSHA SINA CHAKUWATUNUKU BALI MUNGU AWASHIKIKIE .
MMENIGUSA SANA
Tatizo polisi hawajui sheria. Na hapa hakuna kuwaachia karibu wamezoea kuwabambikia watu makesi.
Safi sana mawakili.
Kweli washitakiwe
Hata mkitaka mchango semeni mtapewa wananchi wamechoka kuonewa kupewa kesi ambazo sio zakwao kwa kuwa Kuna watu wanatumia nguvu ya cheo
Hapo kwenye polisi kujiwakilisha wenyewe mahakamani ndio patamu
Natamani mngekuja na huku dar kumpigania Dr. Slaa kwa umoja wenye
Buruta mahakamani jeshi la polic arusha wanaonea raia sana
Viongozi wetu akiwepo rais wetu mama samia mnaona hivi vituko vya polisi?wanabadilisha kauli kuwatungia watu uwongo, nawashauri viongozi wetu akiwepo rais wetu mama samia uangalie hawa polisi kwa jicho la undani baadhi yao sio waadilifu
Huyo Rpc analewa madaraka hivyo anajiona yy ni kila kitu
Nyny mawakili mbona mmezibwa midomo saivi kimya lile swala ya yule dada aliye kuwa kabakwa na wale police yule aliye watuma je alipelekwa mahakamani hatujui chochote tokeni mseme
Wale polisi walifungwa ndugu wewe upo nyuma iliisha ndani ya mwezi mmoja
Nyie mnafkiria Nchii inaendeshwa na mawakili au Sheria za Nchi?