BREAKING: BOSS TRA ATENGULIWA, JAFO APEWA VIWANDA, WA ZANZIBAR APEWA TRA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 วันที่ผ่านมา +1

    Kutoka ZRA mpaka kuja TRA mmh. Je inawezekana wa TRa kwenda ZRA?? Katiba

  • @bundalaizina652
    @bundalaizina652 2 วันที่ผ่านมา +5

    Hakuna jipya ni wale wale tu

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke วันที่ผ่านมา

      Jamaa kaonekana Zanzibar kavuka asilimia mia ya malengo ya serekali bila zogo wala fujo

  • @ZalkhaRawahi
    @ZalkhaRawahi วันที่ผ่านมา +1

    Yani tnz hakuna wasomi ambao wanaweza kuwekwa izi nafasi kila cku mnakula nyinyi jamani hadi inakera mnatengua nn apa utaamini kuwa siasa ni mchezo mchafu yani ninyi mliocheza mtakula mpaka muda wenu umalize waje wengine wafanye ivoivo ivi kweli nchi itasonga

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 วันที่ผ่านมา

    Eheee!!! Wa Tanganyika anaweza kwenda ZRA?? 😷🏃🏃🏃

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula วันที่ผ่านมา

    Jofo wilayake imemshinda.

  • @salimkhamis3638
    @salimkhamis3638 วันที่ผ่านมา

    BOSS mpya aliyeteuliwa TRA sio wa Zanzibar ni Mnyakyusa wa Kyela Mbeya. Chunguzeni watu kabla hamjaandika, msikurupuke

  • @EsteR-dt9iw
    @EsteR-dt9iw วันที่ผ่านมา +1

    Mm bado tunaogopa kuwa sema kwa majina wata tuteka

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 วันที่ผ่านมา

    Yote hayo mnaongea ni bure ufumbuzi ni katiba mpya na serikali tatu. Huyo aliyekuwa Commissioner ya TRA Tanganyika Magu alimtumbua na mama alivyoingia madarakani alimrudisha sasa kulikoni? Nakumbuka miezi michache iliyopita alisifiwa kwa ukusanyaji mapato sasa kulikoni??

  • @DamianCyprian
    @DamianCyprian 2 วันที่ผ่านมา

    Sawa

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 2 วันที่ผ่านมา

    Changamoto tu

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 วันที่ผ่านมา

    HAPO SAF ANGALAU TUONE PENGINE MAMBO YATAKUWA SAWA

  • @froma3732
    @froma3732 วันที่ผ่านมา

    Walikuwa hawajuwi kuwa Mtangayika alipewa kazi ztr Sasa amekuwa Mzazibar

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 วันที่ผ่านมา +2

    SAFI SANA MAMA TUNASONGA NA TUNAONA KAZI

    • @c75923
      @c75923 2 วันที่ผ่านมา

      Ipi!?

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 วันที่ผ่านมา

      @@c75923kipofu wewe 😢😢😢😢

    • @spency2371
      @spency2371 วันที่ผ่านมา

      Uongo wewe😢

  • @user-hd5bg8qw1b
    @user-hd5bg8qw1b วันที่ผ่านมา

    WAPO WASOMI HAWANA AJIRA KWANN HAWAPEWI NAFAC KILACKU MNAJIRUDIA NYIE TU?WAPENI NA VIJANA

  • @Medikipozi
    @Medikipozi 2 วันที่ผ่านมา

    Apo shida ni Zanzibar, nazani kichwa cha habari kimeonekana.

  • @user-cv4jb1bm6i
    @user-cv4jb1bm6i 2 วันที่ผ่านมา +2

    Zanziba sawa

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 2 วันที่ผ่านมา +1

      Mwenyezi Mungu hamfichi mnafiki.
      Sasa naamini kwamba Mungu kujaalia Rais wa Muungano kuwa Mzanzibari sio bure bali alitaka kudhihirisha ubaya na uhasidi wa Watanganyika kwa Wazanzibari na Zanzibar kwa ujumla.
      Kwa taarifa yenu hakuna mzazibari anayeitwa Mwenda.
      Yussuf Juma Mwenda ni Mtanganyika mhehe, na aliwahi kuwa Meya wa Kinondoni.
      Zanzibar alipelekwa tu na Rais Mwinyi.

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 2 วันที่ผ่านมา

      umeongea kizuzu kweli hutaki watu wawe na majina inamaana jina lako unalo wewe tu hakuna mwingne @omaryjumas6327

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji วันที่ผ่านมา

      @@omaryjumas6327CHATO OUEEEEE

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 วันที่ผ่านมา

    Bado kuna mahali haja gusa. Wezi bado ana walea

  • @MauBonde
    @MauBonde 2 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana nimeipenda ya tra.

  • @gregory6165
    @gregory6165 2 วันที่ผ่านมา

    Sio kwamba hajatenguliwa ila kapelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu?

  • @IdrissaHaji-j9n
    @IdrissaHaji-j9n วันที่ผ่านมา +1

    Huyo mwenda cio mzazibar

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 วันที่ผ่านมา +2

      Vizuri kujua hiloo.. Na je angekuwa Mnzbar ingekuwaje? Mungesahau kuwa Wa Tanganyika aliteuliwa ZRA

  • @FelicianSimon
    @FelicianSimon 2 วันที่ผ่านมา +1

    Tunasubiri anguko la bashe

    • @birianination7097
      @birianination7097 วันที่ผ่านมา

      Kwa lipi

    • @user-ex6sh1rl4d
      @user-ex6sh1rl4d วันที่ผ่านมา

      Ndio chuki zenu hizi

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 วันที่ผ่านมา

      Utasubiri sana kama fisi anavyo subiri mkono wako uanguke. Huyo unaye mtetea akawajengee kijijini kwake vyoo manake bado wana jisaidia nje na kujifuta na mchanga

  • @AliDulla
    @AliDulla 2 วันที่ผ่านมา

    Eti wa zanzibar amepewa TRA

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 วันที่ผ่านมา

      Ndio alishafanya kazi sana bara na huko zanzibar kafanya vzr bila fujo sio mbaya akaja kuweka mambo sawa maana hii ni tanzania

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 วันที่ผ่านมา

    Jafo mbona kama sio mtu wa kaz

    • @mgenisaid4499
      @mgenisaid4499 วันที่ผ่านมา

      Angekuwa sio wa kazi Rais angemuondoa,maana mamlaka ya uteuzi yapo mikononi mwake.

    • @deogratiusprosper4796
      @deogratiusprosper4796 วันที่ผ่านมา

      Nadhan umemsahau alipokuwa tamisemi kipindi cha Magufuli

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw วันที่ผ่านมา

    Ovyoo

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 วันที่ผ่านมา +1

    Yalikuwa mbali maandamano ,Senegal,BURKINAFASO ,mali,nk sasaivi yapo Kenya, ,ilibandari ziludi mikataba mibovu ivunjwe na wamasai wapate ngorongoroyao ,mafisadi wakamatwe, wabunge watetea nchi waludibungeni kama mpina kuludishwa bungeni ,masipikawabovu kama waleo kukamatwa, Yani mambo nimengi watanganyika imefika mdawake kuamua jamboletu

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 2 วันที่ผ่านมา

    Wote Waislam au maskio yangu!

    • @abbtsa3060
      @abbtsa3060 2 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe naye tutolee udini wako hapa sisi tunachotaka kazi ifanyike

    • @komboomar8275
      @komboomar8275 วันที่ผ่านมา +2

      *Kwani kuna issue ya baraza la viongozi wa dini hapo? Sio lazima kuongea ukiona huna cha kuongea*

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji วันที่ผ่านมา +1

      Wagalatia kina chotakiwa ni utendaji sio ugala jamani wacheni chuki na ushamba 😢😢😢😢😢😢

    • @user-ex6sh1rl4d
      @user-ex6sh1rl4d วันที่ผ่านมา +1

      Mbona hujauliza kipindi cha killer

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji วันที่ผ่านมา

      @@user-ex6sh1rl4d AKIJA MGALA WANALIA HUWO NI UNAFIKI

  • @hemedmselem4889
    @hemedmselem4889 2 วันที่ผ่านมา

    Wacha tuone kama kutakua na fadhali au ufahali wa kutuumiza zaid
    Ila hiyo kumtumbua tu inaonyesha mama kasikia kilio chetu

  • @DamianCyprian
    @DamianCyprian 2 วันที่ผ่านมา

    Sawa