AACHANA NA UIMBAJI WA TAARAB NA KUGEUKIA QASIDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 178

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH SAUTI MZUR ILA UZUR ZAID KASWIIDA ZAKO ZIDANYE ZISIWE NA VINANDA NDIO ITAPENDEZA NA ALLAH ATAKUBARIKI SANA

  • @mohammedostazi121
    @mohammedostazi121 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah dah mtoto Allah amekuokowa kutoka sehm moja kuenda nyengn Akupe Husnul khatima na kwa Waislam wote pia atupe mwisho mwema

  • @hidayamussa4273
    @hidayamussa4273 6 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah nampenda sana huyu Dada anaghani vizuri na ana sauti Nzuri.

  • @FaridaIsmail29
    @FaridaIsmail29 6 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe aljanat firdaus ndugu yangu akuongoze ktk njia iliyonyooka

  • @fatmaalismaili2861
    @fatmaalismaili2861 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Mashallah sauti jamilaa jiidan Mashallah mungu akuhifadhi yarab

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Mzee Yusuf mwenzako karudi kulekule!!

  • @SmilingBeignets-qt9dh
    @SmilingBeignets-qt9dh 11 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah wallah ningepata mke kama huyu dah basi najikuta to nampenda yani❤❤❤😂😂

  • @zingizimassanga8082
    @zingizimassanga8082 6 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah Maashaallah Maashaallah upo vizuri saanna.Allah atakulinda na mahaasid

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 6 ปีที่แล้ว

      Zingizi Massanga Hasbunallah waneemal wakeel

  • @LGBb-lb5jk
    @LGBb-lb5jk 6 ปีที่แล้ว

    Nimezipenda sana zanifurahisha moyu wangu جزاكم الله خير الجزاء

  • @hafidhsuleiman804
    @hafidhsuleiman804 5 ปีที่แล้ว

    I love this...mola akujaalie kila lenye kheri nawe Bi Maryam Hamduni!!!

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 3 ปีที่แล้ว

    Wallahi thumma mariam kipenz changu kwa jiri ya Allah jaala fiula

  • @salehkhamis3063
    @salehkhamis3063 4 ปีที่แล้ว

    Hala nilikuwa sinajua Kama upo Zanzibar .Hongera sana kwa uamuzi wako endelea kuburudisha jamii katka qaswida zako maneno ya watu yasikubabaishe

  • @abdoumohamed7095
    @abdoumohamed7095 4 ปีที่แล้ว

    Shukran sana mimi ni Mtu wa TANGA TANZANIE niko huku FRANCE JINA ISMAELA MOHAMED

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 6 ปีที่แล้ว +1

    Amazing and beautiful voice ... mashallah ❤

  • @khamismmanga9278
    @khamismmanga9278 6 ปีที่แล้ว +2

    ila ata na ww mtangazaj upo vizur mashaallah

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 6 ปีที่แล้ว +1

    mashallah napenda qaswida ya 'sema'

  • @nadranadra5287
    @nadranadra5287 5 ปีที่แล้ว

    Mashall Allah AKUSMAMIYE Nasisi SOTE NAVIZAZIVETU

  • @salehkhamis3063
    @salehkhamis3063 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana dada una kipaji mashallah

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallh dada upo vizur

  • @ibrahimsalum5056
    @ibrahimsalum5056 6 ปีที่แล้ว

    Inshallah m/mungu amuweke

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 6 ปีที่แล้ว +3

    "ليس بين الحق والباطل إلا الباطل .. ولا ينزل الحق قدر إصبع إلا خرج من صفته"
    "Hakuna baina ya haqqi na baat'il ispokuwa ni baat'il. Na haibadiliki haqqi hata kwa kiasi cha upana wa kidole ila hupoteza sifa yake ya kuwa haqqi"

  • @taharayassin6528
    @taharayassin6528 6 ปีที่แล้ว +1

    Masha'Allah Masha'Allah Masha'Allah 😍

  • @fatmamohd1372
    @fatmamohd1372 4 ปีที่แล้ว

    Duh ila huyu dada ni mzuri sana mashaallah

  • @subirajabir5262
    @subirajabir5262 6 ปีที่แล้ว

    Allah akubaarik saaana

  • @bilaliwaziri8024
    @bilaliwaziri8024 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah usije ukawa kama mzee Yusuf firaun yule

  • @abdulrazakfankupi907
    @abdulrazakfankupi907 6 ปีที่แล้ว +9

    Jamani mbona matusi amewakosea nini huyu dadangu?Musipende sana kukashifu wenzenu wakati yenu munayoyafanya hamuyaangalii..kila mmoja ana kasoro zake dont judge anyone in this world

  • @abuushaakirayubu9476
    @abuushaakirayubu9476 5 ปีที่แล้ว +2

    Dadangu tubia kwa Allah shikamana na hakki achana na manyimbo kamwambie mumeo ndani sauti ya mwanamke ni uchi..

    • @leitonyngayama6882
      @leitonyngayama6882 3 ปีที่แล้ว

      Imeandikwa kwenye Qur'an Kareem... Umelipata wapi hili Katazo

  • @maryamsimai6263
    @maryamsimai6263 4 ปีที่แล้ว

    mashaallahmashaallahmashaallah

  • @قاسممحمد-ص5ت
    @قاسممحمد-ص5ت 6 ปีที่แล้ว

    كلاهما محرم (ومن الناس من يشتري لهو الحديث ليضل عن سبيل الله بغير علم ويتخذها هزوا qaswida nyimbo taarab nyimbo الرسول ترك لنا شيئين القرآن والسنة نسأل الله أن يهديها ويهدينا جميعاً

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah

  • @ahmed59122
    @ahmed59122 6 ปีที่แล้ว +10

    kidogo kidogo jamani hakuna binadamu asiye na kasoro cha maana kama mnampenda muhombeani dua tu sio kimsema vibaya uo pia sio uislam ,

    • @saidyahyamakongoro757
      @saidyahyamakongoro757 6 ปีที่แล้ว +1

      HAWAS WANAMIHEMKO YA DINI NA AWAJASOMA WARUDI TENA KUSOMA DINI KM KWELI WANGEKUWA NA HEKMA WASINGETUMIA MANENO MACGAFU NA KUMDHALILISHA DADA YETU, HATUA ALIYOIFANYA NI KUBWA KUTOKA KWENYE MZINGI NA KUINGIA KTK QAWIDA, SO MLINGALIENI KWA HEKMA SIO KEJELI NA DHARAU,

  • @subirajabir5262
    @subirajabir5262 6 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulinde kwa kila baya insha-Allah

  • @bitkkanmarketplace5830
    @bitkkanmarketplace5830 6 ปีที่แล้ว

    ماشاءاللة. صوت جميل جدا
    مريم سعيد حمدون

    • @dashuusaalim8882
      @dashuusaalim8882 6 ปีที่แล้ว

      Live Miner تترك الغناء المكشوف وانتقل الى نشيد الاسلامي لكن تستعمل الات الغاء انكرت في الاسلام
      اظنك تفهم ولو قليل......

    • @bitkkanmarketplace5830
      @bitkkanmarketplace5830 6 ปีที่แล้ว

      +Dashuu Saalim ايوة ياسلام تشكر والله اخي ممكن نتواصل معاك للتعرف بس

    • @bitkkanmarketplace5830
      @bitkkanmarketplace5830 6 ปีที่แล้ว

      +Dashuu Saalim Mobile° whatsapp +905372564983

    • @dashuusaalim8882
      @dashuusaalim8882 6 ปีที่แล้ว

      Live Miner اخاف عدم الاتصال بيننا لانني لم اعرف هذه اللغة وخاصة في التعبير الشفوي!! هل تمكن ان تكون معي صبرا في هذا الغطء!؟؟؟

    • @dashuusaalim8882
      @dashuusaalim8882 6 ปีที่แล้ว

      Live Miner وهذه البنت تعمل عمله الغاء في المصر هل سمعت ذالك في مناقشتهما؟؟؟

  • @maryamsimai6263
    @maryamsimai6263 4 ปีที่แล้ว

    mashaallah sauti mwanana

  • @ustazzaghawiy.ustazzaghawi9342
    @ustazzaghawiy.ustazzaghawi9342 6 ปีที่แล้ว

    SHUKRAN LAKI HADAAKIL LAAHU ILAS-SWAWAABI.

  • @salehkhamis3063
    @salehkhamis3063 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana fanya juhudi utafika lengo

  • @aminaali6845
    @aminaali6845 6 ปีที่แล้ว

    MAASHAALLAH.

  • @ahlamverynice.3605
    @ahlamverynice.3605 6 ปีที่แล้ว

    Bismilah mwashallah allah akubarik saana 😍😚

  • @ismailbakkali2680
    @ismailbakkali2680 6 ปีที่แล้ว

    MashAllah

  • @sulemankhamisi7483
    @sulemankhamisi7483 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @FatmaFatma-kt1or
    @FatmaFatma-kt1or 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah dada

  • @mwajumabakari1569
    @mwajumabakari1569 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 2 ปีที่แล้ว

    She has lovely voice

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah sauti nzuri

  • @dulaasalimrasabisalim5030
    @dulaasalimrasabisalim5030 6 ปีที่แล้ว

    A a je ameolewa mashallah

  • @ukhtyzainab7254
    @ukhtyzainab7254 6 ปีที่แล้ว +1

    انالله وانا اليه را جعون

  • @naslamgollo6405
    @naslamgollo6405 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah allah akuongowe

  • @rojalule9199
    @rojalule9199 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah barik

    • @mussasaid1320
      @mussasaid1320 6 ปีที่แล้ว +2

      Zooote ni nyimbo tuu dada pengne huenda baadae ukabadilika kabisaaaaa Msifanyie ishtihzaai dini ya Allah

    • @moviesseries9923
      @moviesseries9923 6 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu maryam bora uache moja kwa moja kama mzee yusuf mungu akuongoe uache hiyo kazi haina maana mbele ya Allah mziki nimziki tu umeacha kuimba tarab sasa unaimba qaswida ni haram

  • @wardamohd8082
    @wardamohd8082 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah umependeza anti maryam

  • @ibrahlissu2710
    @ibrahlissu2710 3 ปีที่แล้ว

    Love you mariam hamduni

  • @lalasalama5667
    @lalasalama5667 6 ปีที่แล้ว

    masha allah

  • @nzogelamussa1714
    @nzogelamussa1714 6 ปีที่แล้ว

    manshallah napata wapi qaswida hizo nampenda huyo dada jamani

  • @maanroovmaanrethca5113
    @maanroovmaanrethca5113 4 ปีที่แล้ว

    ❤️ from 🇸🇷

  • @ashaproudofyoubabahaji8523
    @ashaproudofyoubabahaji8523 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @abdubabu5454
    @abdubabu5454 6 ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @gulflife8494
    @gulflife8494 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah anamume huyu

  • @saadarashid1952
    @saadarashid1952 6 ปีที่แล้ว +1

    Amani ya Allah iwe kwako. Ndugu yangu nakuusia ikiwa umeacha kuimba kwa ajili ya Allah maana kasida za sahivi hazina tafauti na mziki. Na uharamu wa nyimbo ni vyombo vya musiki na sio mashairi.

  • @FredHandle1
    @FredHandle1 3 ปีที่แล้ว

    what language is this pls

  • @mohammadswabir2092
    @mohammadswabir2092 5 ปีที่แล้ว

    Sauti mzuri sana naomba contact za huyu mama ningependa kumleta nyumbani kwetu Lamu wakati wa harusi.

  • @فاطمهسالم-ج7ت
    @فاطمهسالم-ج7ت 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah bi maryamu👌

  • @ramadhaniathumani1601
    @ramadhaniathumani1601 4 ปีที่แล้ว

    Good

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 3 ปีที่แล้ว

    Mariam kaolewa jaman? Munijibu jaman kwan nampnda sana moyo wangu anaulewesha kwasauti namadhari hii Allah muweke dada huyu mjaalie afya madhubuty

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 6 ปีที่แล้ว

    صوت حلوا 👏

    • @hummymgaza6915
      @hummymgaza6915 6 ปีที่แล้ว

      Mussa Kiziyzi bro kumbe unafatilia n wewe😅

  • @ally1702
    @ally1702 5 ปีที่แล้ว

    Ahaa Sasa nimepata picha nilikuwa najiuliza Sana mbona vibwagizo vile vile vya abasi mzee jinsi upandishaji wa sauti kuishusha kumbe ndo ulikoanzia kwa abasi mzee Allah akupe kila la kheri dada

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 6 ปีที่แล้ว +10

    Hakuna tofauti kaacha mavi kachezea mkojo

  • @omarameirsalum8879
    @omarameirsalum8879 6 ปีที่แล้ว

    Fanya hiyo qaswida itokeeeee

  • @aishabakari8974
    @aishabakari8974 6 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️

  • @nurudinisalmu4912
    @nurudinisalmu4912 6 ปีที่แล้ว

    uko vizr dada

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 6 ปีที่แล้ว

    Nothing is haram but actions which speak louder than words. Singing is not sin. It depends on what you sing about. If it is neither insult nor abuse how can that be sinful? People can judge and say whatever they want because everybody is free to advise and give his/her opinions. 👍😀.

    • @zainabsuleiman5350
      @zainabsuleiman5350 3 ปีที่แล้ว

      Who asked u

    • @owlwatchingu8956
      @owlwatchingu8956 ปีที่แล้ว

      @@zainabsuleiman5350 I don’t see anybody asking. Ms. Maryam Hamdun very talented . May Allah bless and protect her.

  • @rahmayussuf4368
    @rahmayussuf4368 6 ปีที่แล้ว +16

    Hatua kubwa lakin Advice wacha kabisa Sauti yako ni Auraah na harram pia somaa Madrasa ukhtiy

    • @MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY.
      @MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY. 6 ปีที่แล้ว +4

      Rahma Yussuf hapana ikiwa Saut Haina mvuto Yaruhusiwa ispokua asiimbe kukiwa na vitu vya haram kama ala za mzik n.k
      ALLAH Asema ktk surat ahzab ayah
      .
      (32) - يَا نِسَاءَ النَّبِيِّ لَسْتُنَّ كَأَحَدٍ مِنَ النِّسَاءِ ۚ إِنِ اتَّقَيْتُنَّ فَلَا تَخْضَعْنَ بِالْقَوْلِ فَيَطْمَعَ الَّذِي فِي قَلْبِهِ مَرَضٌ وَقُلْنَ قَوْلًا مَعْرُوفًا
      Enyi wake wa Nabii! Nyinyi si kama yeyote katika wanawake wengine. Kama mnamcha Mungu basi msiregeze sauti zenu, akaingia tamaa mwenye maradhi katika moyo wake. Na semeni maneno mema

    • @rahmayussuf4368
      @rahmayussuf4368 6 ปีที่แล้ว +9

      Abdallah Juma @Huyo binti haimbii Anasheed Qaswida zake zote ni za Ala ni harram Na pia kuhusu maradhi ya moyo na tamaa wanaumme ndo zao ,,Aulaah zaidi awachane nazo Kabisa Bcz Hakuna thawab hapo Fitnah tupu Walahy hata Stara yake bado Akafanyie kaz Stara yake na pia Aongeze Elmu na Asome manhaj sahih

    • @MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY.
      @MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY. 6 ปีที่แล้ว

      Rahma Yussuf ALLAH Akuhifadh Na Akulipe Kher Ukhty Nimependa na nimefurahishwa na msimamo wako Namii ni nduguyo ktk imaan nasoma makkatul mukarrama Kama Utakua na fursa Au ungependa kujifunza meng ktk dini nitafte kwa namba hii
      +966506572403
      Hio ndio napatikana wasap

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 6 ปีที่แล้ว

      Rahma Yussuf Swadakta vizuri kukumbusha Allah atujaalie yenye kheri

    • @munirashabanmnubi8650
      @munirashabanmnubi8650 6 ปีที่แล้ว +1

      Rahma Yussuf
      maashaAllah ukhty upo sahihi kbs..ndg yetu pia ajipamba na kuvaa mavaz ya shubha saut yake c nyembamba ila ni nzuri hivo ni mtihan..

  • @alhadji4885
    @alhadji4885 6 ปีที่แล้ว

    I LOVE U

  • @hamadshein935
    @hamadshein935 6 ปีที่แล้ว +2

    MIE NAJUA UNAFAHAMU KUNDI LITAKALO FUFULIWA CKU Y KIAMA WAIMBAJI WOTE WATAVUTWA NDIMI ZAO.ILA KWAKUWA TUNAIMBIA TUMBO.HAYA.

  • @mitundafmoni7699
    @mitundafmoni7699 6 ปีที่แล้ว

    wew tulia huna kipaji,huna hata lolote hata jisauti lakiume sipendi kukuona unaimba huna hata pwenti 0

  • @bitkkanmarketplace5830
    @bitkkanmarketplace5830 6 ปีที่แล้ว

    مافي ترجمة ؟
    ممكن احد يترجم لنا ؟

    • @sadahmzee2916
      @sadahmzee2916 6 ปีที่แล้ว

      Mashallwah

    • @binausimohammed775
      @binausimohammed775 5 ปีที่แล้ว

      هذه أختنا كانت قبل دخول في هذه الفن تتغني المزيقةولكن هداها الله

  • @mussahassan8828
    @mussahassan8828 6 ปีที่แล้ว +1

    kaswid mbona cibada

  • @naimaomar9600
    @naimaomar9600 6 ปีที่แล้ว

    Saw saw na kuacha RnB na kuingia kwenye Hip-hop

  • @musamchafu3136
    @musamchafu3136 6 ปีที่แล้ว +3

    kuimba kunashartizaki somenimjue msipotoshe watuu kwenye mitandao huyumschana msikaripie bure nakujifanya nyiiee waokovu onesheni kosalake kisunna au kur ani

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 5 ปีที่แล้ว

    Yote sawa umekimbia maji umekanyaga tope

  • @aboudmsonde2890
    @aboudmsonde2890 6 ปีที่แล้ว

    Itagllah mariam

  • @abdallahabibu8340
    @abdallahabibu8340 6 ปีที่แล้ว +1

    Bdo hujafany ktu apo
    Acha kuimba fany shughuli zngn
    Jiingize kweny biashara coz km n hella tyr umeshapata
    Tumuogope Allah kuimba na kuckiliza nymbo yoote ni haraam

  • @kudrahemed7490
    @kudrahemed7490 2 ปีที่แล้ว

    Kuulizauliza ndio kurudisha nyuma

  • @hassanmwamabishi8139
    @hassanmwamabishi8139 2 ปีที่แล้ว

    Ameolewa samahani?

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 6 ปีที่แล้ว +5

    Ndio kule kule .sawa sawa na kuruka mavi. Na kukanyaga mkojo

  • @musamchafu3136
    @musamchafu3136 6 ปีที่แล้ว +1

    mnaosema qaswida niharam kasomeni khukmu zau islam kisha mpime msijadili kitu msicho naelim nacho

  • @dassudewji3515
    @dassudewji3515 6 ปีที่แล้ว +1

    Qasida na taarabu hamna tofauti yoyote yote ni miziki tuu

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 4 ปีที่แล้ว

    Nalikuwa anataka mumeo huyo anitumie namba mm nipo nitampatia shida yk nitaitatua

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 5 ปีที่แล้ว

    ndio ile ile tarabu imebadilika jina tu.

  • @alhadji4885
    @alhadji4885 6 ปีที่แล้ว

    NAKUPENDAA maryam

  • @عليالبوسعيدي-ذ3ه
    @عليالبوسعيدي-ذ3ه 6 ปีที่แล้ว

    Kasida pia ni nyimbo kwaiyo ni bora uitumie sauti yako kwa kusoma Qur ani namaanisha uhifadhi Qur ani halafu ushindane kusoma ilo utakua karibu na allah lkn qasida ujafanya kitu bado

  • @salumkawa7333
    @salumkawa7333 6 ปีที่แล้ว

    ndungu zangu .... tukiimba qaswida wanaume ... mnasema mtume dufu alipigiwa na wanaake wanaake wakiimba mnasema saut ya mwanamke haramu .... cc tusiokua na ilim mwatuchanganya

  • @nsonmxi9298
    @nsonmxi9298 6 ปีที่แล้ว +1

    Inna swautil mar'ati aura bado daa toka huko kwa qaswida pia maana sauti ya mwanamke ni tupu

  • @halimaali1157
    @halimaali1157 6 ปีที่แล้ว

    almar-atu a'ura

  • @omarmhmammed216
    @omarmhmammed216 6 ปีที่แล้ว

    Akaoge tu

  • @adamabui6121
    @adamabui6121 5 ปีที่แล้ว

    Pumbavuuu weweee mtu mzimaaa mche munguu

  • @hamishamis6665
    @hamishamis6665 6 ปีที่แล้ว

    ndo yale yale karuka mkojo kakanyaga mavi mhhh

  • @قاسممحمد-ص5ت
    @قاسممحمد-ص5ت 6 ปีที่แล้ว

    أيتها المرأة أنت خلقت لرجل واحد لماذا تتزينين للجميع ؟ Kuna mambo muhim ya kufanya lkn sio hv

  • @Fetty-r4o
    @Fetty-r4o 6 ปีที่แล้ว

    Na huyo uncle kama baba anaharamia kuimbiwa kasida za mtume si atafute sehemu mbali mbali zikiwemo cd, dvd, youtube n.k kwani mpaka umuimbie wewe ndugu yangu? Achana na hayo coz kwanza mwanamke hatakiwi kujidhihirisha ikiwa sauti, mapambo au maumbile yake.

    • @saidyahyamakongoro757
      @saidyahyamakongoro757 6 ปีที่แล้ว

      SOMA DINI MTUME AKULINGANIA KWA JAZBA HIVYO UNGEKUWA NA HEKMA KM ZA MTUME UNGEMPONGEZA KISHA UKAANZA KUMLINGANIA KWA SIRI SIO HAPA UNAMDHALILISHA JE HUO NDO UISLAMU AU NDO MAFUNDISHO YA UISLAMU

    • @Fetty-r4o
      @Fetty-r4o 6 ปีที่แล้ว

      said yahya makongoro je na wewe hiyo dini ushaisoma? mbona hukunipongeza na kunilingania kwa siri? na hiyo jazba uliniona nayo or?

  • @amourvale8491
    @amourvale8491 6 ปีที่แล้ว +3

    wacha kuudhalilisha uislam dini yetu haina mambo hayo

    • @saidyahyamakongoro757
      @saidyahyamakongoro757 6 ปีที่แล้ว

      WEWE NDO UNADHALILISHA UISLAMU KWA SABABU MTUME AKULINGANIA KWA JAZBA KAMA YAKO

  • @khamishaji8412
    @khamishaji8412 3 ปีที่แล้ว

    Mm nime penda utu ni utu

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni Dada Maryam Hamdun,ni hodari,,na utu si kutukanana....Kunta...Kinte.