Social International Choir _MABAYA HAYATANIPATA ( Live Music Video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 222

  • @amanikataraia8541
    @amanikataraia8541 19 วันที่ผ่านมา +17

    Mabaya hayatatupa mwaka 2025😊 kama unaamini Sema Amen na ulike🎉

  • @MercyMwambene
    @MercyMwambene 14 วันที่ผ่านมา +4

    Uso wa Bwana utakwenda nami,nami nitapata raha🥳🎉🎉MABAYA HAYATATUPATA😊

  • @yusuphkipuga9820
    @yusuphkipuga9820 16 วันที่ผ่านมา +3

    2025 mabaya hayatupata katika jina la YESU,🙏

  • @priscagwimile3216
    @priscagwimile3216 19 วันที่ผ่านมา +10

    2025 nakujia Kwajina la BWANA ,hakika MABAYA HAYÀTA NIPATA KAMWE,
    MUNGU awabariki watumishi, nawapenda aiseee😇😇

  • @frifa2023-fabian
    @frifa2023-fabian 14 วันที่ผ่านมา +5

    Hii ni motoooo...kubwa kiliko🎉🎉🎉🎉

  • @BRIGHTONSAMBANAYE
    @BRIGHTONSAMBANAYE 13 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa kweli mabaya hayatatupata walakutukuta maana MUNGU yu upande wetu Mungu awabariki wajoli wa Bwana 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @allyosmundi199
    @allyosmundi199 19 วันที่ผ่านมา +10

    Ni maombi Yetu 2025 mabaya hayatatupata Kwa Jina la Yesu na Ikawe.

  • @aidamafoundationtanzania8882
    @aidamafoundationtanzania8882 17 วันที่ผ่านมา +4

    #MABAYA HAYATANIPATA
    Ni muda wa maongezeko Kwa Kila hatua🎉🎉🎉🎉

  • @aloycegodfrey1717
    @aloycegodfrey1717 15 วันที่ผ่านมา +4

    One of the most hit song in 2025 🔥🔥🔥🔥#SIC- keep it up 👍

  • @PETERISHUMAEL
    @PETERISHUMAEL 19 วันที่ผ่านมา +11

    Mabaya Hayatanipata 🇹🇿🇹🇿🇹🇿2025🙏

  • @EuniceBusiya
    @EuniceBusiya 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mabaya hayatanipata wala tauni haitanikaribia humani mwangu

  • @JanethMwakifuna
    @JanethMwakifuna 19 วันที่ผ่านมา +9

    Waonh nakiri kwamba mabaya hayatanipata, kwa maana uso wa Bwana utaenda nami, na mm nitapata raha❤

  • @BenjaminiMtafya
    @BenjaminiMtafya 12 วันที่ผ่านมา +1

    Nitapita Na nitavuka@@ 2025💯💯 ## Mabaya hayatanipata.🙏🙏
    AAAMEEEEEN 🤲🤲

  • @IreneMajabi
    @IreneMajabi 19 วันที่ผ่านมา +6

    Wow, that is awesome

  • @felixgeorge7126
    @felixgeorge7126 18 วันที่ผ่านมา +5

    Mabaya hayatanipata 📌📌📌📌📌

  • @JOYCEMSUYA-qx5mj
    @JOYCEMSUYA-qx5mj 19 วันที่ผ่านมา +5

    Mabaya Hayatanipata kwa kuwa uso wa Bwana utaenda pamoja nami 🙌🙌🙌
    @2025 USO WA BWANA UTAENDA NAMI ,NAMI NITAPATA RAHA❤️❤️❤️❤️

  • @amanikataraia8541
    @amanikataraia8541 19 วันที่ผ่านมา +4

    Mwenyekiti wa kamati ya kumsimanga shetani nimefika😂
    Mabaya nipishe nipite niingie 2025🎉
    Gonga like kama unakubaliana na mimi ili Niwe narudi kutazama wimbo huu wa baraka❤

  • @zebedayobendera1498
    @zebedayobendera1498 14 วันที่ผ่านมา +2

    Amen, It's a wounderful project, you guys you are Soo great. More blessings to you Mabaya hayatanikuta 2025 🙏🙏🙏

  • @BenjaminiMtafya
    @BenjaminiMtafya 18 วันที่ผ่านมา +3

    MUNGU AKUBARIKINI SANA SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR, KAZI YENU NI NJEMA SANA 🔥🔥🔥

  • @OmbenShek-t3z
    @OmbenShek-t3z 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hayatanipapata hakikaaa🎉🎉🎉

  • @asdatimkata
    @asdatimkata 16 วันที่ผ่านมา +1

    HAKIKA MABAYA HAYATANIPATA 2025. MUNGU AWABARIKI MNOOO

  • @FranciscoFitina
    @FranciscoFitina 19 วันที่ผ่านมา +4

    Hakika yatapita🙏🙏❤️

  • @ClaudiMwasaga
    @ClaudiMwasaga 17 วันที่ผ่านมา +2

    Huu mwaka hakuna baya lolote litakalokuja upande wangu kamwe 🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️

  • @beatricejames1448
    @beatricejames1448 19 วันที่ผ่านมา +11

    SIC❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mmebarikiwa sana

  • @daviee_artz
    @daviee_artz 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mabaya kaa kando, 2025 ni mm namfata Yesu tu🔥🔥

  • @sophiafuraha8131
    @sophiafuraha8131 19 วันที่ผ่านมา +2

    Hakika uso wa bwana itaenda nasi Kwan yeye yupo. Upande. Wetu 2025utakuwa mwaka wa baraka kwetu na mafanikio kweny kila tuombalo uso wake utakuwa nasi kweny masomo yetu na kila ambako tunataman Mungu atangulia mbele yetu 🙏🏾🙏🏾

  • @agnessmoris7974
    @agnessmoris7974 19 วันที่ผ่านมา +4

    ❤Hakika mabaya hayatanipata 2025 ..... maana Bwana pekee yake asimamaye upande wangu 🥳

  • @elinaikeukwai2028
    @elinaikeukwai2028 18 วันที่ผ่านมา +2

    Nakiri kwa ujasiri kuwa mabaya hayatanipata na uso wa BWANA utaenda pamoja na mimi

  • @YasinMuhamed-sl5kv
    @YasinMuhamed-sl5kv 18 วันที่ผ่านมา +3

    🔥🔥🔥💯

  • @shelajames7303
    @shelajames7303 18 วันที่ผ่านมา +2

    MUNGU awabariki sana ndg yang mtumish wa Mungu Ishmael nmefrah sana kuona unaendelea kutumika

  • @nathanaelsamwel9517
    @nathanaelsamwel9517 19 วันที่ผ่านมา +6

    Woooow Glory to God forever
    Mabaya hayatatupata 2025 na kuendelea
    Unajua kwanini?😂
    Kwasababu uso wa BWANA utaenda nasiii❤❤❤

  • @TRIPHINANTIINA
    @TRIPHINANTIINA 18 วันที่ผ่านมา +1

    may God bless you SIC

  • @nuruyohana855
    @nuruyohana855 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nice 🎉

  • @yusuphkipuga9820
    @yusuphkipuga9820 16 วันที่ผ่านมา +1

    The only been waiting for long🎉🎉 see uu at the top SIC🚀🚀

  • @NIAJr-ue8ys
    @NIAJr-ue8ys 19 วันที่ผ่านมา +2

    Big choir, quality song 💪💪🎉🎉🎉👏👏👏👏

  • @ShadrackAlexander
    @ShadrackAlexander 19 วันที่ผ่านมา +3

    MUNGU awabariki sana SIC huu wimbo unanibariki sana, naamini mabaya hayatanipata mwaka ujao 2025 kwa neema ya MUNGU 🎉

  • @gekenemwita-nc7ve
    @gekenemwita-nc7ve 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ameen kubwa 2025 ni ushindi kwangu nikiwa kenya bt nawependa karibuni kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Jamesmollel02
    @Jamesmollel02 19 วันที่ผ่านมา +2

    Wow Jaman!! Wana SIC Mbarikiweee Mnooh!!
    MABAYA HAYATAKUPATA 2025 ni Mwendo wa Kujinafasii tyuu🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dorrypol9911
    @dorrypol9911 19 วันที่ผ่านมา +5

    Ni humuuuu mabaya hayatatupata 2025

    • @nathanaelsamwel9517
      @nathanaelsamwel9517 19 วันที่ผ่านมา +1

      Umefikaaa mdogo wakee😂😂

    • @dorrypol9911
      @dorrypol9911 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@nathanaelsamwel9517Mapema sanaaaaa kaka🔥🔥🔥🔥

  • @ImeldaMagumba
    @ImeldaMagumba 19 วันที่ผ่านมา +4

    God is really oooh , you made it🙏🙏

  • @JailosMwibala
    @JailosMwibala 19 วันที่ผ่านมา +1

    That's so amazing suprise over the world 🌎 especially our national 🇹🇿🇹🇿

  • @TravisJohnson-c9j
    @TravisJohnson-c9j 19 วันที่ผ่านมา +3

    Bwana amesimama upande wetu

  • @WandishaNapegwa
    @WandishaNapegwa 19 วันที่ผ่านมา +2

    🥳🥳🙏🙏🥳🥳This is grace 🙌🙌

  • @ALEXBUHAGA-o8y
    @ALEXBUHAGA-o8y 18 วันที่ผ่านมา +1

    We are going to Prosper😇😇🥳

  • @milleniammwambene2090
    @milleniammwambene2090 19 วันที่ผ่านมา +3

    🔥🔥🔥🔥👌

  • @Mbowetonny
    @Mbowetonny 9 วันที่ผ่านมา +1

    Blessing§ a gain 2025❤❤

  • @EdnaKyando
    @EdnaKyando 19 วันที่ผ่านมา +2

    Nawapenda sic kazi yenu njema

  • @Kimasa-100
    @Kimasa-100 17 วันที่ผ่านมา +1

    Social International Choir najivunia sana nyie watumishi msichoke kutumika BARIKIWENI SANA MUNGU 🙏🙏 mabaya hayatatupata mwaka huu 2025 (Zaburi 91:10)
    [10]Mabaya hayatakupata wewe,
    Wala tauni haitaikaribia hema yako.

  • @TheoWoiso
    @TheoWoiso 19 วันที่ผ่านมา +3

    mabaya hayatanipatq kwa jina la Yesu🙏🙏

  • @AlexBeny-b3b
    @AlexBeny-b3b 19 วันที่ผ่านมา +4

    MUNGU bariki kazi saa watu wako

  • @michaelmapogo2505
    @michaelmapogo2505 14 วันที่ผ่านมา +1

    Powerful declaration🙌
    Mungu awabariki sana SIC

  • @jonathanmaugo3009
    @jonathanmaugo3009 18 วันที่ผ่านมา +1

    I used to wait 😂😂
    This is among my prophetic messages in 2025.

  • @mcpachaevents
    @mcpachaevents 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona mnatuova dozi jmn 😅...package juu ya package
    Thank you so much kwa Double Portion. Mnayositi yenu mbinguni

  • @oxraizerofficial
    @oxraizerofficial 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amen❤❤

  • @Vee_money
    @Vee_money 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mabaya hayata nipata Mimi katika jina la YESU 🙏

  • @MaryKivuyo-l1q
    @MaryKivuyo-l1q 19 วันที่ผ่านมา +5

    🔥🔥🔥

  • @Neemaparfectmaila
    @Neemaparfectmaila 18 วันที่ผ่านมา +1

    🎉 Mungu azidi kuwabariki katika kazi zake

  • @ruthmuna1264
    @ruthmuna1264 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mabaya hayatanipa 2025. Mungu awabariki sana Kwa ujumbe huu

  • @lilianherman-jj7hj
    @lilianherman-jj7hj 19 วันที่ผ่านมา +2

    ❤️❤️❤️❤️ Mabaya hayatanipata nimeimba kwa Imani🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AnnaDeus-rz7hr
    @AnnaDeus-rz7hr 19 วันที่ผ่านมา +3

    ❤🙏

  • @HolloLusuka
    @HolloLusuka 19 วันที่ผ่านมา +1

    Holly🥰

  • @kizittohescary1213
    @kizittohescary1213 19 วันที่ผ่านมา +2

    Hongereni fam,mabaya hayatonipata in Jesus name

  • @dorcusmwasha
    @dorcusmwasha 17 วันที่ผ่านมา +1

    Uso wake Mungu utakuw nam katika huu Mwaka Mabaya hayatanipata..🎉

  • @DeborahJuan-m7g
    @DeborahJuan-m7g 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mmebarikiwaa❤

  • @Luca_polloh
    @Luca_polloh 19 วันที่ผ่านมา +1

    SIC mnatuweka uwepon kwa bwana🙏

  • @RobertMugaya
    @RobertMugaya 19 วันที่ผ่านมา +2

    Sic to the top...

  • @BEATRICEGERALD-yr8im
    @BEATRICEGERALD-yr8im 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mabaya hayatanipata🙏

  • @BarakaNjemu
    @BarakaNjemu 19 วันที่ผ่านมา +1

    💚💚🔥

  • @LeonardGwesheni
    @LeonardGwesheni 19 วันที่ผ่านมา +2

    Waoooooh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉pendaa Sana huuu wimbo jamani

  • @lufungaoscar9368
    @lufungaoscar9368 19 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤

  • @honestmhagama
    @honestmhagama 19 วันที่ผ่านมา +2

    ❤😊2025 kwa kishindo

  • @judithshoo5989
    @judithshoo5989 19 วันที่ผ่านมา +3

    Groly to God

  • @JamhuriBoniphace
    @JamhuriBoniphace 17 วันที่ผ่านมา +2

    Watu wakuu sana Hawa, baba amewabariki sana watakatifu wa baba.

  • @LeonardJacob-g3t
    @LeonardJacob-g3t 18 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika mabaya hayatanipata kwa kuwa Mungu yupo upande wangu,Mmebarikiwa sanaa!!!!

  • @PEACENESSKASANGA
    @PEACENESSKASANGA 19 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤uso wa Bwana utaenda nami

  • @MwijarubiLabani
    @MwijarubiLabani 16 วันที่ผ่านมา +1

    Amina sana SIC nawapenda sana..mmebarikiwa Kwa wimbo mzuriiiii 🎉🎉🎉

  • @leonardlamau2822
    @leonardlamau2822 17 วันที่ผ่านมา +1

    Amen amen. Mbarikiwe kwa ujumbe mzuri hakika tunapata raha 2025

  • @JamesMsangua
    @JamesMsangua 19 วันที่ผ่านมา +1

    SIc❤❤❤❤

  • @AishimuniMunuo
    @AishimuniMunuo 19 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤🎉🤝✌️✌️✌️Mungu awatangulie wakuu

  • @happyitege882
    @happyitege882 6 วันที่ผ่านมา +1

    Thanks for this blessing song ♥️♥️♥️sic

  • @emmanuelsimsokwe6244
    @emmanuelsimsokwe6244 19 วันที่ผ่านมา +3

    Grandly I was here😁😁

  • @MoabuDaniely
    @MoabuDaniely 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awainue zaidi katika huduma yenu.

  • @kwanguernest
    @kwanguernest 19 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤Mabaya hayatanita hakika Mungu awabariki na awapandishe viwango vya juu zaid mkajulikane na kuwabariki wote watakaosikia ujembe ❤❤🎉

  • @HELENADANIEL-wx8wm
    @HELENADANIEL-wx8wm 17 วันที่ผ่านมา +1

    Sic family of God 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mabaya hayatawapata kabs❤❤❤❤❤

  • @LuciaSamsonimsuka
    @LuciaSamsonimsuka 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mabaya hayatanipata 2025 na miaka ijayo uso wa Bwana utaenda nami

  • @joctanleornard6409
    @joctanleornard6409 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mabaya hayana nafasi kwenye maisha yangu.

  • @farajambilinyi-o4v
    @farajambilinyi-o4v 19 วันที่ผ่านมา +2

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @DorcasSimpanzye
    @DorcasSimpanzye 17 วันที่ผ่านมา +2

    Hakika mabaya hayatatupata mwaka 2025🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @janethbenjamin6053
    @janethbenjamin6053 12 วันที่ผ่านมา

    Mabaya hayatanipata maisha yangu yote, katika kristo..

  • @alphabartazary9692
    @alphabartazary9692 16 วันที่ผ่านมา +1

    Wanangu mnaupiga mwingi, hongereni kwa kazi nzuri peter be blessed mdogoa'ngu kazi Yako so Bure utavuna usipozimia roho

  • @IsraelMbiha
    @IsraelMbiha 15 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana awbariki sana sic siku za ibada sasa mywe mnaziimba hasa hii na bwana ni mtu wa vita

  • @leonardseth717
    @leonardseth717 16 วันที่ผ่านมา +1

    Kaz nzuri sana Mungu awabariki❤❤❤❤

  • @LilianAlinda-c5j
    @LilianAlinda-c5j 17 วันที่ผ่านมา +1

    Nabarikiwa Sana na huduma yenu wakuu Mungu awabariki Sana 🙏.

  • @ayubmakenzi9804
    @ayubmakenzi9804 17 วันที่ผ่านมา +1

    Glory to God 🙏🙏 be blessed SIC choir

  • @anethJohnson10
    @anethJohnson10 10 วันที่ผ่านมา

    The Lord himself promises, uso wake utaenda nami na atanipa raha😊
    Mabaya hayatanipata.

  • @JoynessKazoba
    @JoynessKazoba 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mabaya hatatupata hakika tumebarikiwaa sana SIC tutakawakanyaga Simba na nyoka mwaka 2025❤❤❤

  • @harriethdeogratias9466
    @harriethdeogratias9466 11 วันที่ผ่านมา

    Watoto wa yesu mnazidi kutubariki nanyi mungu awabariki❤

  • @Prisca-l6l
    @Prisca-l6l 19 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi njema mmebarikiwa sanaaa na mungu😍😍

  • @stephano263
    @stephano263 18 วันที่ผ่านมา +1

    Amina sana international choir,be blessed, UDOM ON HIGH

  • @boniphacegospel6764
    @boniphacegospel6764 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awabariki sana wapendwa kwa kazi njema 🙏🙏