- 33
- 65 457
USCF SOCIAL INTERNATIONAL CHOIR
เข้าร่วมเมื่อ 24 มิ.ย. 2019
Social International Choir _MABAYA HAYATANIPATA ( Live Music Video )
Zaburi 91:10,13-16
[10]Mabaya hayatakupata wewe,
Wala tauni haitaikaribia hema yako.
[13]Utawakanyaga simba na nyoka,
Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu.
[14]Kwa kuwa amekaza kunipenda
Nitamwokoa; na kumweka palipo juu,
Kwa kuwa amenijua Jina langu.
[15]Ataniita nami nitamwitikia;
Nitakuwa pamoja naye taabuni,
Nitamwokoa na kumtukuza;
[16]Kwa siku nyingi nitamshibisha,
Nami nitamwonyesha wokovu wangu.
Kutoka 33:14
[14]Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.
Ni muda mzuri wa kutamka na kukiri ushindi juu yako. Unaumaliza mwaka na kuanza mwaka mpya, jitabirie hakuna baya litakalokupata wewe kwani uso wa Bwana utakuwa pamoja nawe kila mahali akikulinda.
𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: SP Visual
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: SP Visual
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: mix3dbyfreddie ( Fredrick Kilago )
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Hans Thomas ( Good sound )
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Mr Joram
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Leonard Joctan
Song Writer : Peter Ishumael
𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Social International Choir
Facebook: Social International Choir
X: Social International Choir
Threads: Social International Choir
Tiktok: Social International Choir
𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 625 581 478
+255 716 527 129
Email: uscfsocialchoir@gmail.com
#umenipendelea #2025 #dripyana #bellakombo #neemagospelchoir #mabayahayatanipata #gospel #umekuwanami #ahsante #neema #zoravo #socialinternational #uscf #olodumare #wasafi #elohim #mwamposa #mwakasege #chekatu #arusha #lydiableck #bsss #kupendelewa #happynewyear #gospelmusic #music #choir #dance #MabayaHayatanipata #nahisikupendelewa #trendingvideo #social #live #neemagospelchoir #worship #uscf #dripyana #newsong #paulclement #zoravo #zabronsingers #happynewyear #nikurejeshee

มุมมอง: 4 516
วีดีโอ
Social International Choir_ Ft_ James Frank _NAHISI KUPENDELEWA (Live Music Video).
มุมมอง 15Kหลายเดือนก่อน
Tunamshukuru Mungu kwa neema ya kipekee aliyotupa kuweza kufanikisha kazi hii ya BWANA NI MTU WA VITA. Kipekee Mungu ametupa upendeleo katika huduma yetu, kwani vyote vinavyotendeka katika maisha yetu na huduma yetu ni upendeleo tu wa Mungu. Huduma tuliyonayo ni upendeleo tu, pumzi, afya, mali na kila kitu ni upendeleo tu kutoka kwa Mungu. Nasi tunakukaribisha uweze kubarikiwa na wimbo huu amba...
Social International Choir_Ft_ James Frank _NAHISI KUPENDELEWA
มุมมอง 761หลายเดือนก่อน
Social International Choir_Ft_ James Frank _NAHISI KUPENDELEWA
Social International Choir _ Album Launch _-_ BWANA NI MTU WA VITA
มุมมอง 831หลายเดือนก่อน
Social International Choir _ Album Launch _-_ BWANA NI MTU WA VITA
Msemaji wa Social International Choir akitoa ufafanuzi kuhusu jina la Kwaya hii.
มุมมอง 1933 หลายเดือนก่อน
Msemaji wa Social International Choir akitoa ufafanuzi kuhusu jina la Kwaya hii.
Social International Choir _TWAOMBA BABA
มุมมอง 5864 หลายเดือนก่อน
2 Mambo ya nyakati 7: 14: Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao. 15: Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa. Shalom family Ikiwa tupo katika nyakati hizi ngumu, nyakati za mwisho a...
Social International Choir _ MAKUTANO ( Live Music Video )
มุมมอง 1.4K6 หลายเดือนก่อน
Luka 4:42-43 42 Hata kulipokucha alitoka akaenda mahali pasipokuwa na watu; makutano wakawa wakimtafuta-tafuta, wakafika kwake, wakataka kumzuia asiondoke kwao. 43 Akawaambia, Imenipasa kuihubiri habari njema ya ufalme wa Mungu katika miji mingine pia; maana kwa sababu hiyo nalitumwa. Song writer & Composer: Peter Ishmael Credits: Video directed by:Ellis Production Audio: Yona Mabway ( studio )...
Social International Choir _ Nitamtumaini( Live Music Video )
มุมมอง 9028 หลายเดือนก่อน
Zaburi 125: 1 Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni, ambao hautatikisika wakaa milele Yeremia 17:7-8 Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea Bwana, Ambaye Bwana ni tumaini lake. Maana atakuwa kama mti, uliopandwa kando ya maji, uenezao mizizi yake karibu na mto, Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi, wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, wala hautaacha kuzaa matun...
Uscf Social International Choir _ Mnara wa Babeli
มุมมอง 1.9K9 หลายเดือนก่อน
MNARA WA BABELI Mwanzo 11:1-9 [1]Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja. [2]Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko. [3]Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa. [4]Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujif...
Social International Choir _ NANGOJA ( Live Music Video )
มุมมอง 1.6Kปีที่แล้ว
On this 5th drop NANGOJA from THE SOUND OF VICTORY (SOV) projects held on 23 December 2022 at CHIMWAGA HALL University of Dodoma, We would like to thank GOD for the whole team, our church - USCF Social Science, the committees and all contributions and support from everyone... GOD BLESS YOU ALL Song Written by Peter Ishumael Credits: Video, Directed by; Ellis Production Audio - Captured, Mixed $...
Social International Choir _BATROMAYO ( Live Music Video)
มุมมอง 816ปีที่แล้ว
On this 4th drop BARTHOLOMAYO from THE SOUND OF VICTORY (SOV) projects held on 23 december 2022 at CHIMWAGA HALL University of Dodoma, We would like to thank GOD for the whole team, our church - USCF Social Science, the comittees and all contributions and support from everyone... GOD BLESS YOU ALL Song Written by Peter Ishumael Credits: Video, Directed by; Ellis Production Audio - Captured, Mix...
USCF Social International Choir -TUMEITWA
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
2 Wakorintho 5:20 'Basi tuwajumbe kwa ajili ya kristo kana kwamba MUNGU anasihi kwa vinywa vyetu; Twaomba ninyi kwa ajili ya kristo mpatanishwe na MUNGU' Bwana YESU asifiwe watumishi wa MUNGU, social international choir tunapenda kuwakaribisha nyote katika kuutazama wimbo huu ' TUMEITWA' kutoka katika album yetu ya MCHUNGAJI MWEMA Hakika sote tu-watenda kazi pamoja na KRISTO, hivyo subscribe, l...
USCF Social International Choir - TOKA GEREZANI ( Live Music Video)
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
On this 3rd drop TOKA GEREZANI from THE SOUND OF VICTORY (SOV) projects held on 23 december 2022 at CHIMWAGA HALL University of Dodoma, We would like to thank GOD for the whole team, our church - USCF Social Science, the comittees and all contributions and support from everyone... GOD BLESS YOU ALL Song Written by Peter Ishumael Credits: Video, Directed by; Ellis Production Audio - Captured, Mi...
USCF Social International Choir - BWANA ATATUPIGANIA (Live MusicVideo)
มุมมอง 3.7Kปีที่แล้ว
USCF Social International Choir - BWANA ATATUPIGANIA (Live MusicVideo)
USCF Social International Choir -TUNASHINDA ( Live Music Video )
มุมมอง 2.6Kปีที่แล้ว
USCF Social International Choir -TUNASHINDA ( Live Music Video )
USCF Social International Choir - ASANTE YESU
มุมมอง 2.1Kปีที่แล้ว
USCF Social International Choir - ASANTE YESU
USCF Social International Choir - MCHUNGAJI MWEMA
มุมมอง 1.9K2 ปีที่แล้ว
USCF Social International Choir - MCHUNGAJI MWEMA
Social International Choir_BENDERA_video
มุมมอง 1.8K2 ปีที่แล้ว
Social International Choir_BENDERA_video
USCF Social International Choir - NI NEEMA
มุมมอง 1.7K2 ปีที่แล้ว
USCF Social International Choir - NI NEEMA
Social International Choir - UTASITASITA. mp4
มุมมอง 2.9K2 ปีที่แล้ว
Social International Choir - UTASITASITA. mp4
Social International Choir - ITOENI MIILI YENU Official Video
มุมมอง 3.7K2 ปีที่แล้ว
Social International Choir - ITOENI MIILI YENU Official Video
USCF Social International Choir - USINIACHE
มุมมอง 1.3K5 ปีที่แล้ว
USCF Social International Choir - USINIACHE
USCF Social International Choir - UNISHIKE MKONO
มุมมอง 1.4K5 ปีที่แล้ว
USCF Social International Choir - UNISHIKE MKONO
USCF social International choir - SHUKA LA KUZIMU
มุมมอง 3K5 ปีที่แล้ว
USCF social International choir - SHUKA LA KUZIMU
USCF Social International Choir - UTAKATIFU
มุมมอง 1.5K5 ปีที่แล้ว
USCF Social International Choir - UTAKATIFU
USCF Social International Choir -TUBUNI
มุมมอง 1.4K5 ปีที่แล้ว
USCF Social International Choir -TUBUNI
USCF Social International Choir - MTU WA LAWAMA
มุมมอง 1.8K5 ปีที่แล้ว
USCF Social International Choir - MTU WA LAWAMA
USCF Social International Choir - MWILI WA MWANADAMU
มุมมอง 1K5 ปีที่แล้ว
USCF Social International Choir - MWILI WA MWANADAMU
🎉🎉
Amen Amen Amen
🔥Amina😍😘
You're always the best "LEGENDS"
Unishike mkono BWANA utembee na mimi 🙏🙏
🎉🎉🎉 nmependelewaaaaaa
Wooow nimeupenda sana huu wimbo
Waoooh Mungu awabariki sana waimbaji
Thanks for this blessing song ♥️♥️♥️sic
Mabaya hayatanipata
Hayatanipapata hakikaaa🎉🎉🎉
Amen 🙏🙏
Blessing§ a gain 2025🎉❤
Blessing§ a gain 2025❤❤
🔥
Niguse at your own risk
God of unmerited favour❤
The Lord himself promises, uso wake utaenda nami na atanipa raha😊 Mabaya hayatanipata.
Amen kila siku Mungu ananipendelea
Mungu aside kuwainua na kuwaongeza zaidi
Mabaya hayatanipata
S.I.C❤
This is 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Safi sana vijana wetu,,,, nitawasapoti mpaka mwisho,,,
Watoto wa yesu mnazidi kutubariki nanyi mungu awabariki❤
Nitapita Na nitavuka@@ 2025💯💯 ## Mabaya hayatanipata.🙏🙏 AAAMEEEEEN 🤲🤲
Mabaya hayatanipata maisha yangu yote, katika kristo..
Mungu azidi kuwainua kwa utukufu wake international choir kweli yeye ametupendelea..
❤❤❤mabaya hayatatupata 2025
Hata wazazi wanaweza kukukataa ila sio Mungu ,sifa na utukufu kwa mfalme wa wafalme
Hakika
Wawooo!
Kwa kweli mabaya hayatatupata walakutukuta maana MUNGU yu upande wetu Mungu awabariki wajoli wa Bwana 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mungu awabariki sanaa kwa kazi nzuri wajoli wa Bwana Mungu akumbuke sadaka zenu na mda wenu mlioutoaa kwajili ya kazi hii🎉🎉❤❤❤❤
Ameeen
MBARIKIWE SANAA😍😍
Hakika mme nibariki sana 🙏🙏
Barikiwa zaidi
Hii ni motoooo...kubwa kiliko🎉🎉🎉🎉
Amina sana nahisi kupenderewa na mungu
Uso wa Bwana utakwenda nami,nami nitapata raha🥳🎉🎉MABAYA HAYATATUPATA😊
Mabaya hayatanipata wala tauni haitanikaribia humani mwangu
Powerful declaration🙌 Mungu awabariki sana SIC
Ameeen
Amen, It's a wounderful project, you guys you are Soo great. More blessings to you Mabaya hayatanikuta 2025 🙏🙏🙏
Amen
Amen I am blessed mabaya hayatanipata
Bwana awbariki sana sic siku za ibada sasa mywe mnaziimba hasa hii na bwana ni mtu wa vita
Bwana awbariki sana sic siku za ibada sasa mywe mnaziimba hasa hii na bwana ni mtu wa vita
Bwana awbariki sana sic siku za ibada sasa mywe mnaziimba hasa hii na bwana ni mtu wa vita
woww, Utukufu kwa MUNGU🔥🔥 2025
Hakika mabaya hayata nipatia mwaka 2025