Dada devota mm Nini shabiki Yako sana na muda. Mrefu sana.mm natamani sana kusafiri kufanya kazi america lakini nakosa mtu wa kunisaidia japo ushauri sister
Jamani jamani huyu Deri napataje, maana niliku text Devota idi unipe number ya Deri, haukujibu text Devota. Naomba basi uniweke number ya Deri hapa 😢please
Nimesoma
Dada devota mm Nini shabiki Yako sana na muda. Mrefu sana.mm natamani sana kusafiri kufanya kazi america lakini nakosa mtu wa kunisaidia japo ushauri sister
Kazi nzuri sana.. Tunawa shukuru deri na devota🎉🎉
Safi Sana,
Safi sana wapendwa 🙏🙏
Yes Derick poa tufanyekweli
Mie wa kwanza sijui kutengeneza CV dada from mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Happy New to all
Asante dada,uliniunganisha na Deri nkamcheki nishafanya malipo akanitengenezea CV iko sawa.hongera sana
Nahitaji pia kutengeneza CV niko Spain
Jamani jamani huyu Deri napataje, maana niliku text Devota idi unipe number ya Deri, haukujibu text Devota. Naomba basi uniweke number ya Deri hapa 😢please
@@History-Series-75Channelandika kwenye post yangu ya instagram nikudm sipati text mpaka nikudm mimi
Mwenyewe ndo nilivyoset
@@lucymakendi2728instagram devota_tz_influecer1 andika kwenye recent post
Asante sana Devota kutuletea huja mtegeneza cv barikiwa
Dada Devota kheri ya mwaka mpya na mungu akubariki nakupenda uko vizuri sana
Mambo mazuri
Daah hii meeting imenipita jamani 😮
Asante sana Devota
Hizo website zote mnazotaja tz zipo ,mi nilijiunga napata notification kila siku nashindwa tu ku appy kazi kwa cm
Mimi ni dereva wa semitrailller /vitu vya baridi,farm tractor
❤mdogo wangu devota anapatikana Moshi sehemu gani
Mie Natamani sana Kwenda CANADA
Cv yenyewe sijui namna yakutengeneza ....
Asante sana dada
Tunashukuru kutuletea huyu kaka 🙏
❤❤❤❤❤
No yenyewe haijasikika hapo mwisho
Deri asnte umenitengenezea cv asnte sana
Jamani dada Asante sana . Ila naomba mnielekeze ukimaliza kusoma hiyokozi kwenye cheti unatumiwaje sasa
Mimi hata passport Sina mwaya devotha
Mi viambatanisho sio issue
Issue ni how nitasafiri
Jmn vitu vingine km police statement nenda kituo cha polisi unalipia elf 10 tu
devote asante kwa juhudi unazo fanya kweli ujengewe sanamu TH-cam
@@lgdnce8309 😆😆🤣🤣🤣🤣🤣❤️❤️
@@Devota_life😂😂😂😂😂😂kwakweli, naomba number Deri
Kweli nimevutiwa sana dada ila mimi sielewi kitu
Ebu nisaidien
Mnitafute nitawasadia kutengeneza pia
Nilikuwanauli kak,deriki ,kunitengenezea cv nakilakitu nishilingi ngapi
Naomba namba za Dell
Kuna mama wa Australia alitoa namba najarib azitoki.. inakuaje
Uko Moshi mjini sehmu Gani stand au wapi
saw tumekupata dada 😊😅😅
Naomba nambaya simulation yaderiki kwamsaada zaidi
Indeed inasumbua kweli sasahivi.
Wewe indeed ipi au bando lako
Dada asnte ntamtafuta deriki kwenye simuyake kwamaelezo zaidi
Naomba namba ya Derick
Dada devot
Abeee karibu❤
Huyu kaka niishamtumia message nikamwambia aniandikie pia aniunge kwa grop hajanijibu
Nahitajikaziya usafi au kaziyanyumbani
Nilikuwa nauliza,kaka deriki
Yes
Hallow ❤
Andika zote mbili
dada kuna ishu y spain province Konga iko vip
Karibu live kesho saa nne ya kibongo
Happy new year all
Happy new year
Mdogowangu mm nataka kazi za hous kiping
70 is possible but we ask him to reduce the amount.
dada hiizo kazi. zz sasa utaelezea linii
Hivi Interview inafinyika live?
Ndio😂😂😂
Sister nakupata from dubai@@Devota_life
Cv za Deri ni kweli ,aliniandika ya Dubai na nikaitwa ,sikuweza kwenda
Natafuta namba ya derick
Je unawezakupata formal interview via email?
Hapana interview zinafanyika google meet nyingi, email ni taarifa tu
Naomba namba ya Deri
Sikiliza video imetajwa
Insta unatumia jina gani dada
@@bellaproducts2820 devota_tz_influencer1
Na kwawale tusiyo jua kuomba kazi ni shngapi?
Sikirizaa mpaka mwisho
Samahani devota deni yupo Moshi sehemu gani
Njoo instagram devota _tz_influecer1 kwa maelekezo comment kwenye post yangu ya mwisho unifollow kule niweze kukudm
Natuma hela kesho kutwa niungwe kwemye group
hilo group la kulipia namba zake naomba
Sikiliza video
Kaka ziweke kwa dollars
watu wanatakiwa huko
Ndio❤❤❤
Elfu kumi za Tanzanie ni ngapi kwa Dollar
4$
Insgrm yako unatumia jina gani
devota_tz_influencer1
What if you are in Kenya how much am I supposed to pay
Check on Google utapata
3000ksh for CV
3000ksh for a CV and COVER LATER
Dell tunaomba naomba ya kukupata means call number please
Derick anapatikana WAP?
Alaf uyo mzee umesema tupe contact
@@AminiHakundwaumesikiliza video mpaka mwisho kataja number , haiwezekani kuiandika hapa kwenye comments
Mie wa kwanza sijui kutengeneza CV dada from mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mie wa kwanza sijui kutengeneza CV dada from mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Instagram njoo nisearch devota_tz_influencer1 comment kwenye post yangu ya mwisho kupost