Big up Musukuma. yaani wewe siku zote unaongea vitu vya maana. Wasaifie hao wanaoshindwa kutwa nzima wanalalamika tu hadi wanasahau majimbo yao. Nimeona kitu cha tofauti sana kwako msukuma, yaani unawapa vipande vyao hau wasiojielewa, lakini pia hujalisahau jimbo lako kulitetea juu ya mambo ya msingi. namna hii ndiyo inatakiwa. sio mtu anakisoa tu na kulalamika mwanzo mwisho na hakuna hata sehem 1 anawatetea wapiga kura wake. Geita wasipokuchagua tena 2020 watakuwa hawana akili. asante sana jembe la geita
Kwa hakika Msukuma unatuamsha tuliolala, wenye kuelewa wamekuelewa, Mungu akubariki uendelee kua na, Pia tuzidi kumuombea Raisi wetu Magufuli Mungu amlinde kama alivyomteua, amen.
Mweshimiwa dkt John pombe magufuli muangalie msukuma kwa jicho la pili an huyu jamaa anaakili mpaka bac anafaakuwa wazili flani kwani anajua uchungu wa wananchi hongera sana msukuma
Uongozi siyo elimu!!! MUSUKUMA ni zaidi ya wasomi 10,000/= walotupotezea uelekeo wa nchi yetu. Anatumika kutetea masilahi yetu hasa tulio wanyonge kwa muda mwingi. Watanzania tulio wengi tunahangaikia matumbo yetu tu. Na si maendeleo lakini kwa mwenendo huu soon nchi yetu watu wengi watakuwa vizuri sana kwani tumepata watetezi.
Kila Mtu kwa nafasi yake kwani Msukuma kaonesha ushamba gani hapo ? je ulitaka aongeaje hapo ! TUWE NA HAKILI NZURI ZENYE KUMTHAMINI KILA MTU. TUJIHESHIMUNI NDG ZANGU.
kwakweli huyu jamaa kama unavyosema Kelvin Mella angepata japo elimu kidogo pale UD angesumbua kuliko hata Tundu Lissu anahoja ambazo kwa kumuangalia na uongeaji wake unawezakumpuuuza ila kuna kitu cha maana ameongea
wongera sana msukuma yaan nimeamini kusoma sana sio akili hata alio soma akaishia 7 ndie yuko juu waelimishe baba watakuelewa tu yaani ww ungekua mbunge wetu wa Arusha tungeinjoi sana
aisi kumbe asilimia moja yanini hiyo ni kulopoka haito tosha hata kidogo kwani madini yana ingiza kipato kikubwa sana asilimia 10 ita kua ndio haki ya kupewa sehemu ilio kua na madini nihayo
huyu ni mnafiki, yeye ndio MTU Wa kwanza kusema lowasa anafaa kuwa rais watanzania na akaongeza huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono, wakati lowasa yuko ccm, Leo yupo chadema ndio kaona hafai.
Big up Musukuma. yaani wewe siku zote unaongea vitu vya maana. Wasaifie hao wanaoshindwa kutwa nzima wanalalamika tu hadi wanasahau majimbo yao. Nimeona kitu cha tofauti sana kwako msukuma, yaani unawapa vipande vyao hau wasiojielewa, lakini pia hujalisahau jimbo lako kulitetea juu ya mambo ya msingi. namna hii ndiyo inatakiwa. sio mtu anakisoa tu na kulalamika mwanzo mwisho na hakuna hata sehem 1 anawatetea wapiga kura wake. Geita wasipokuchagua tena 2020 watakuwa hawana akili. asante sana jembe la geita
Xanaaaa
We msukuma huna lolote wew,
msukuma kiboko wa mabishoo👏👏👏👏
Big up msukuma; nakupenda sana
big up sana...
upo vizuri msukuma
Duuu ila uyu baba nampenda sana 😀😀😀😀😀😀😀
Kwa hakika Msukuma unatuamsha tuliolala, wenye kuelewa wamekuelewa, Mungu akubariki uendelee kua na, Pia tuzidi kumuombea Raisi wetu Magufuli Mungu amlinde kama alivyomteua, amen.
Uko vizuri una elimu dunia
Hongera ongea kaka Msukuma
hogera sana msukuma
msukuma respect sana broo unaweza
Hongela jembe
Hongera msukuma kwa kupiga nyundo.
safi sana huo no ukweli
hongera sana msukuma
Ingelikuwa wabunge wote wanachangia kwa point kama za msukuma jaman huwa nakukubali sana msukuma japo mm mpinzan
salute sana msukuma
safi sana wape hao mana hawajielewi nakukubali sana msukuma
mikataba ya madini tusiingize kwenye siasa hapa tuungane kutetea madini musukuma penye ukweli usilete mambo ya kapeni uchanguzi ulipita
wape dawa msukuma
+Big up msukuma Mungu akuwezeshe
Msukuma upo vizuri nakukubali asilimia%100
Mweshimiwa dkt John pombe magufuli muangalie msukuma kwa jicho la pili an huyu jamaa anaakili mpaka bac anafaakuwa wazili flani kwani anajua uchungu wa wananchi hongera sana msukuma
Msukuma ana Akili sana ingawa hakwenda Shule. Ni msema ukweli muda wote
Uongozi siyo elimu!!! MUSUKUMA ni zaidi ya wasomi 10,000/= walotupotezea uelekeo wa nchi yetu.
Anatumika kutetea masilahi yetu hasa tulio wanyonge kwa muda mwingi.
Watanzania tulio wengi tunahangaikia matumbo yetu tu. Na si maendeleo lakini kwa mwenendo huu soon nchi yetu watu wengi watakuwa vizuri sana kwani tumepata watetezi.
Hatar msukum
shikamoo Msukuma
Kila Mtu kwa nafasi yake kwani Msukuma kaonesha ushamba gani hapo ? je ulitaka aongeaje hapo ! TUWE NA HAKILI NZURI ZENYE KUMTHAMINI KILA MTU.
TUJIHESHIMUNI NDG ZANGU.
magufuli mpe msukuma uwaziri ana point za muhimu saana hongera msukuma
Uwaziri wanapewa wendawazimu??
Immanuel Catylyn Platnumz Aaawapi huyo ni mlopojaji tu!
sawa kabisa
Nakuomba raisi muone msukuma kwa jicho la tatu
Immanuel Catylyn Platnumz nikweli
safi sana..waambie hao
huwa namkubali sana Msukuma
Msukuma Hoyeeeeeeeeeeee! Sema, sema Kasheku.
du msukuma kweli ni shida sana no one like yy pale bungen
Noma sana mxukuma! Wambie waelewe
haha haha haha haha safiiii msukuma.
Huyu jamaa Moto kweli kweli awakandamizaaaaa
ila unanifurahisha sana Msukuma
uko vizuri
safi hapo umewapata, hata mbowe hapo hana chakusema
Msukuma hongera sana mboye kwa aibu mpaka kacheka
Msukuma aendelee kubaki Bungeni miaka mingi na zaidi Yeye ni msema ukweli na msemo wake ni Busara kwa mengineo
SHIKAMOO MSUKUMA MAANA UKWELI UMEONGEA NASUBILI WAKINA NANILIIIII WAROPOKE YA KWAO YANAYOTOKA MIDOMONI......... CCM OYEEEEE
ahsanteee hlo gogo kwa hao
msukuma namkubali sana
Nimempenda huyu jamaa
SANA WAZIRI MTARAJIWA
Global TV mbona mmesema anaeongea ni Godless lema? huyo ni msukuma mzee wa kazi
Tunawaomba wenye mbunge wao msukuma msiache kumchagua maana bunge bila muheshimiwa msukuma halinongi
Nakukubali sana msukuma
Daaah,sukuma kibokooooo
Hapo sawa msukuma.
uko vzr msukuma
Upo vzr msukuma
Mboe anacheka anajua kajamaa kameongea ukweli ha ha ha ha
ben branco ww ili jina la kajamaa ni langu bwana
Big up
uko vzr sn
Msukuma Mungu alikuona,anakuona na kwa Jina la Yesu ataendelea kukuona 😅😅😅aaaa!!!!
nakupenda xana msukuma , tetea wanyonge ila ggm duh!
jamaa anaakili sana, angekuwa ameenda shule huyo angekuwa tishio zaidi ya hapo jamaa anaongea ukweli ahahahahaaaa
Kelvin Mella
kwakweli huyu jamaa kama unavyosema Kelvin Mella angepata japo elimu kidogo pale UD angesumbua kuliko hata Tundu Lissu anahoja ambazo kwa kumuangalia na uongeaji wake unawezakumpuuuza ila kuna kitu cha maana ameongea
Big up sana msukuma
Hongera Sana mwenzetu msukuma tetea wanyonge
mtan wangu msukuma upo vzur
napendaga xana hoja zako ,,the king
Msukuma noma sna
Pomoja sana msukuma
marhaba msukuma
Hati yazarura imemfanya mboe acheke
yani hawa Chadema wanafiki sana, mbona hawakupinga kumpa Lowasa uraisi
makoiga mg wambie mkuu
Yuko sawa
sawa baba
saf sana mh
nakuelewa sana musukuma
hivi msukuma hawezi kua raisi?
uko bzr Mh msukuma
Aise
umewagusa pabaya msukuma 😅😅😅😅😅
Jamila part one
big up king msukuma
ww msukuma ww munguakujalie kwa ujaxilionao maana haupindixhi kwakumuogopa mtuuu
msukuma uko vzr sana
Wambie hao mana hawajui kua viongozi wao wote mpaka watoke CCM ndoo wao wachukue
point zinafanana na makinikia,tatizo ni uelewa mdogo
Wasukuma oyeeeeeee!
msukuma wewe noma sana
Nice
BH
Msukuma we ni moto wa kuotea mbali
huy ndio mmbunge anayependwa na watu uku you tube
Kwel kabsa
Safii msukuma
Honga katoka usingizini
Tatizo ni MSUKUMA hata afanye nn atabaki kuwa msukuma
msukuma oyeeeeeeee
HUYU NDIO KING MUSUKUMA
W ungekuw chamA pizan ungewasumbua sn
uwa namkubar sana uyu jamaa
Msukuma uko vzr tutetea baba kwenye hiyo 1% nasi tufaidike nayo aise pia hongera kwa kuongea ukwel ndg
Hahaahahahaha kweli kabisa Msukuma hongera sana
msukuma noma kiboko yao nakukubali Sana
daaaaaa msukumaaaa hatariiii kwa majibu unayoo
Amsha dude
saf sana bunge liwe live tu ili tuone jinsi gan mnatutetea bungen.
wongera sana msukuma yaan nimeamini kusoma sana sio akili hata alio soma akaishia 7 ndie yuko juu waelimishe baba watakuelewa tu yaani ww ungekua mbunge wetu wa Arusha tungeinjoi sana
2020 watapitia wapi hawa wapinzani
msukuma anatafta uwaziri Dah ataupata lakin sio Leo wala kesho
aisi kumbe asilimia moja yanini hiyo ni kulopoka haito tosha hata kidogo kwani madini yana ingiza kipato kikubwa sana asilimia 10 ita kua ndio haki ya kupewa sehemu ilio kua na madini nihayo
Kasome kidogo uje ugombee cheo kikubwa zaidi uchagulie
Nabiti mswahili
Msukuma ni jiwe, full nondo! Gestura anashangaa 😂😂
Msukuma hoyeeee
huwa napenda sana msukuma anavyoongea
Haka kajamaa kadogo lakin noma
Lusinde uishi mill unawapeleka na wapinzan😀😀😀😁😁😁
huyu ni mnafiki, yeye ndio MTU Wa kwanza kusema lowasa anafaa kuwa rais watanzania na akaongeza huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono, wakati lowasa yuko ccm, Leo yupo chadema ndio kaona hafai.
Mimi ndio nipo chuo sasa kaka
Gongo cgara
King huyo