Napenda sana mishar rashid alifas akisoma kama sio muelewa huwezi kuelewa mashallah tumuombe mungu atujalie mwisho mwema amjalie pia mishari mwisho mwema na mohamed akiwa nzanzibar mashallah napenda sana kuruan tukuf
unaposikiliza mameno hayakama ni muumin wa kwel lazima machoz yakutoke kwan yanathibitisha kua ALLAH yupo na ana MGUVU kubwa sana.ALLAH amlipe zaid msomaji.
MaashAllah Alhamdulilah Allah atuongeze katika njia ilonyoka na atuepushe na moto 🤲 shukran InshAllah heri
Mashallah
Napenda sana mishar rashid alifas akisoma kama sio muelewa huwezi kuelewa mashallah tumuombe mungu atujalie mwisho mwema amjalie pia mishari mwisho mwema na mohamed akiwa nzanzibar mashallah napenda sana kuruan tukuf
Yaa Alla tujalie tusife ila ni waislam na wape kila hair hawa mashekh yaarrab tuwe sote peponi inshaallah Mola wetu tuoze njian ilionyooka 😢😢😢👐
Ameen Ya Rab Al-Alameen.
@@tafsiriyaqurantukufukwakis966 wwW
Shukran 👏👏🇹🇿
Yaani nasikia utulivu wa roho kweli,Allah atujalie miongoni mwao wa watu wema.
Shukran jazzila
Ya Allah tueke katika waja wako wema yaarabi
Shukran sana kwa tafusiri yaa Allah tunusuru na Adhabu ya Siku ya Qiayama Aamiin thumma Aamiin.
Allahummaa jaalinaa husnul haatma.... Na utuongoze ktk njia iliyonyooka nasyo yawale ambao umewakasrikia juu yako... 😫
Aaamin
😭😭😭😭😭😭😭 eeh mola wetu tunusuru na mtoto wa jahannam inshaallah tuongoze kwa yaliyo mema
Ameen
Mtoto* moto
@@idhangeri1546 kausha ndugu 😂😂😂
unaposikiliza mameno hayakama ni muumin wa kwel lazima machoz yakutoke kwan yanathibitisha kua ALLAH yupo na ana MGUVU kubwa sana.ALLAH amlipe zaid msomaji.
Amin
Shukran wajazaka llahu Heri inshallah
Shukrani sana🙏❤
Allah Akbar
Alhamdullilah
Kwa nini hutuachilii tukadonload?
Unaweza ku download kwa kutumia application za ku download.
28:02
yaan katika hii sura napenda sana kisa cha iburaahim
Mashallah