Ni maoni yangu naomba niva aongee kawaida Kama anavyoongea ila awe kauzu halafu mswahili mwenye maneno mengi wawe wanazinguana na mkojani kwa sababu hicho kiswahili cha wachaga unaboa kwanza wewe ni mwigizaji mzuri hata ukiongea Kama wewe uko vizuri Kama mnasoma comment lifanyieni kazi hili tafadhali tunapenda kazi zenu hivyo Mimi Kama shabiki kitu ambacho sipendezwi nacho lazima niseme zaidi ya yote movie nzuri sana
Oya kama unaona mchaga anazingua gonga like apa.......huyu jamaa bora aongee kawaida tu kuliko kuongea kichaga.... huyu ndo kaaribu picha.... bora ata angekuepo TINWHITE
Niva hiyo lafudhi HAPANA asee unaboa, haipendezi, haivutii hata kidogo. Tumia lafudhi na sauti yako OG tutakuelewa. Otherwise kazi nzuri sana Mkojani. Keep rocking ....
Huyu anaeigiza lafudhi yakichuga anakosea sana maana kwenye R yeye anaweka L,badala ya kusema kuprint yeye anasema kuplint,yesu na Maria anasema yesu na Malia!aaaah wapi wachuga hawabongi hivyo bora ubonge kawaida
Abdallah Nzunda ku-act kama Mkojani umevaa uhusika 100% na content za kikojani unazipatia 100%. Huyu Niva anazingua bhana, haezi kuact kwa swaga hizo, hatuelewi anaact kama Mchaga au kama wa Chuga... unajua naangalia video mpaka mm nayeangalia ndo naona aibu sasa... anazingua bhana hajui... mchomoeni humo lasivyo anapigwa mtu ngumi 21 ananyooka.

Kabisa Hata mimi naboeka kusikii hii lugha aongee kiswahili tu cha kawaidaa
Nikweli kk point umeongea
Jamaa kwasasa anaboa
Kweli jamaa anaboa
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html
I love too much mwaluvanda ugonile, mkojani and kamugisha bila kusahau niva super marioo
Oya kama unaona mchaga anazingua gonga like apa.......huyu jamaa bora aongee kawaida tu kuliko kuongea kichaga.... huyu ndo kaaribu picha.... bora ata angekuepo TINWHITE
Mchaga anazinguwa too apo
Sure kazingua kinoma kumaamaee picha
picha lote kaaribu msenge uyuu
Movie nzur mkojan nakukubali Sana , Ila bila tinwhite move zinapooza Sana , tunamtaka tin bhana
Mkojani ,my favorite bongo star ! Sema hyu jmaa anakaa bro wangu kinoma !sema bas tu
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Uyo jamaa anafosi kuongea kama wachaga anaboa mchomoeni fastaaa
Jaman sijachelewa sana leo nimekua 3 haya like zenu hata 50 team #mkojani kama wew humukubal mkojani usi like kama unamkubalig twende kazi 👌😂😂😂😂
Ndugu zangu kazi kazi...jah bless you
huyo ndio kamugisha bhana yupo kama sharuk khan vile...moyo wake unasukuma vikopa kopa tuu sio damu 💓💓💓
Like zangu jamani Niva kaboa aongee kawaida tu 🤘
Mkojani nakubaliiii ongezaaaaaaa mbwembwe watakubali tu
Jama anazingua kichalii cha ninitena sisi sio mateja bana mkojani unazingua na kukubali Sana na your team
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Niva hiyo lafudhi HAPANA asee unaboa, haipendezi, haivutii hata kidogo. Tumia lafudhi na sauti yako OG tutakuelewa. Otherwise kazi nzuri sana Mkojani. Keep rocking ....
Niva anaboa kinoma yaan, aongee kawaida ty anaharibu uzuri wa hii show kabsa
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Kweli kaharibuu
Mkojani malizen bifu lenu na tin white mlete kazi nzur huyo niva anazingua
Nmpenda sana kamugishaaa yuko vizur
Mister Mkojani número 1 in Tanzaniaaaa 🇲🇿🔥
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html
Mkojani uko vizury sana aiseeeee sna
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Niva unaharibu mambo ongea vizur bwana😂😂😂😂
Daaaaaah kama wewe ni mchuganian huwezi kataa hii lafudhi dadekiiii Ar stand up
Chug juu san
muacheni aongee hivyo hivyo mm ananichekesha sana dah 🤣🤣🤣🤣
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Yes hii ndio raha ya oso online
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html
Kkkkkkkkkkkkkkkk
Aise apo Kuna sehemu ya wavuta bangi
Huyu niva ,cjui diva anaharibu
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
woooow napenda OSO ONLINE TV ni bul bul natamani nije kufanya kazi na nyie watu..😇😇
BenQ nakubali BenQ unaweza Sana wadogo zangu wanapenda hilo neno mwana kulifaindi mwana kulibesha me nafamilaa yangu tunasubili 🎥 kutoka kwako BenQ
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Mkojani kiongozi Kenya tunakutambua
Niva hapana hapana unaharibu bbaba sio mchaga ww umeutoa wApi ilitAKIWa baba na mwn iwe rafudhi moja alafu kipande kimoja niva anakaa mno
Toto la Mkojani Baruti og
Subscribe oso online tv kwa Movies kila siku Jaman tuna Mshukuru Mtu wa Camera
🤣🤣🤣🤣kwaiyo camera man tu ndie unaemshkuru...? SHKAMOO
@@OSOONLINETV Mulizeni mwenenu anamjua camera man tu
@@OSOONLINETV 🤣😂 na wewe pia Brother tunakushkuru sana
@@aliyusufali2521 🤣😀 namjua
@@JayTalent1 niungnish na grou
Dah mov nzul ila niva anahalib na lafudh anayotumia mbn ajua kuekt tyu bila kuongea lafudh hiyo bna aaaah
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html
Jamaa Anazigua
Saiv mnaenda kushindws kz. Lugha gan hi Yan anaharbu mov
Aloooo sioo Kwa mchagaa huyuu SII mu mtoee tuuu ajeee tin white wetuuu et yesuuu na mariaa huna uchugaa wowote nduguu achaa tuuu 😂😂😂
Bro niva umetisha sana sema ushaul wangu hyo lafuzi unayo tumia syo nzuri kwako tumia voice yako unatisha zaidi watu tujazoea hvyo
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Niva anaboa anaiga kupitiliza
broo uyo jamaa anazingua.jawez igiza.kabisa yani nagwa atabakikuwa nagwa unaharibu move mzee
Niva mmetisha saana brother wa utamu wako weweeeeh😄😄😄
Mkojani tafadhari fanya dhiara za kuwatafuta mashabiki zako ukague mbavu maana sitakuwa zimechomoka kwa vicheko
Nakubali sn mkojani uk njema sn
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Chaliii ananiangusha uongeaji wake asizidishe mbwembwe anaharibu
MkojaAAAni 🔥🔥🍁 kwenye mjumbaa sio hadharanii😂😂😂😂🔥🍁 30000 imekubalika ipo nyumbani kwa mke wangu 😂😂😂💰💰💰🍁🍁🍁🍁🇿🇦🇿🇦 Johannesburg 1
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Mkojani my best entertainer,always making my day
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html
Daaah! Kiarusha kinaboa apunguze
Niva kaaribuuu moveee bhnaaaa
Niva Huo Ni Ushamba ww Acha kiki Mshamba ww ubwaa ww ongea kawaida 2
Tiny white nangwa kilangaso atuwaoni
My no 1 comedian in Tanzania keep going my people🙌🙌🙌🙌🙌🙌
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Watanzani ni wasenge niva yuko vizuri ila kuna manyubu hayaelewe
Saidia kukuza filam za Tanzania saidia kukuza ubora wa filam za Tanzania hakikisha unanunua nakala Original
Shukran shukran oso
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Tunataka tin white
Mkojani ukimkosa tin white bas usimuache Nagwa movie zinabamba kupitia safu yako
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html
Umeanza usaliti mkojani kwanini sikuhz tin unamuweka pembeni sana
Mkojani.... Unaingiza mambang'a kiukidi.. oso-tv sihami.
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Braza wa utamu wako wew
Jamani tuna mtaka nagwa na
Tin white wawepo xio ivi Awapo
Mkojani saluti baba pleni🙏🙏🙏
Mkojani "Tushakuwa wa shkaji" 😂😂😂😂
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html
Wewe ulitaka mara ngapi
Nakukataa nyeupe kama tishu aiseee dah kuna watu mnajua kukataa
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html
Dadeki nomaa mkojani
Oya masela mprinti hapa like msilete mambo ya mapremede slede 🤣🙈🙈
Muacheni niva kwan mnazingatia rafudhi au mafunzo acheni husuda zenu.
Jamani tena navunjwa mbavuzangu
Kama hawezi niva turudishie tinwhite
Niva ongea kawaida unaharibu
Nagw hayup tin hayup movie imepoza haswa
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Lugha ya Arusha na Mosh tuachieni cc wa Arusha,,,, ninyi wa bongo land ongeen thu kibongo
Unaumia ukiwa unafany nn
Yani niva hio style yake anayo act nato haimfai kabsa bora awe serious tu hio style ya chuga boys haimfai
Nyie niwasenge haimufai mbona yuko vizuri
Huyo dem mbovu aiiise 😂😂😂
Oy mbovu kivip face ama?
@@husseinmohammed2186 sura mbovu😂😂
Kuwa mstarabu wacha kumkufuru Mungu
Alieumbwa haumbui
Bwanae sura mbovu kweli hajakosea christopha kusema hivyo
Mkojani mbona teni white na ngoma nagwa hatuwaoni
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
ben q anaweza jamn🙌🙌
Huyu anaeigiza lafudhi yakichuga anakosea sana maana kwenye R yeye anaweka L,badala ya kusema kuprint yeye anasema kuplint,yesu na Maria anasema yesu na Malia!aaaah wapi wachuga hawabongi hivyo bora ubonge kawaida
🙄😃 mkojan unachagua kesi ya kumwambia mkeo dah
Mi nashauri niva aongee kawaida coz kiswahili ya chuga haitendei haki
Et,,mbona kina Nagwa na tin sion sura zao kwny move zenu za siku iz!? Mmetenganaa??
Utawaona soon
@@OSOONLINETV tunaomba chalii aongea kiswahili cha kawaida kwa kweli wengine tunaboekaa
@@znz9083 kweli kbs
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html
@triple 3B tz huyo anajiita chalii ila hakuna chalii mwenye rafudhi Kama hio huyo lugha yake anayo iongea anaijua mwenyewe
Basi makundi ya kibongo usikute wameshazinguana na nagwa kwa hyo recover yke ni niva, ss niva hiyo lafudhi anazingua kinoma
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html..
🔥🔥🔥
Eti mara mojaa tu
Huyu nae kataja nyama ya mbuzi ya kuchoma nimetokwa vimate hapa na vipilipili na vikachimbali daa sis tulio nje ya tz tunakosa uhondo 😋😋😋
Waooh,,
Mmmmh!
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html
Nilishataka kununa hawatumi nyengine haahahhahah thanks OSO
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html..
Mbona mnaleta wana wake wabaya huwajui mbele wala nyuma
Yente Yente😂😂😂
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Kesi inayompendeza mtu🤣🤣🤣
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Safi
Una nn lakini mkojani daah.dishi lako lina yumba sana🤣🤣😂😂
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Uyu chuga kazibure hajui igiza
Unafel niva anajua sana mzee baba
Mkojani huyu jamaa mwambie aonge kawaida bana ama turudishie tin white n nagwa uyo bishow niva anazengua bana
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html..
Very nice
🇰🇪 Wangapi Kutoka kenya kama mimi?
Niko hapa nikiwa Kikuyu
@@faustinmugambi2926 karbu sana
Huyu niva anatuzingua sana kama mutaangalia coment watu wote wanalalamika
😂😂😂😂😂 yentee yenteee weweeee
Abdallah Nzunda ku-act kama Mkojani umevaa uhusika 100% na content za kikojani unazipatia 100%. Huyu Niva anazingua bhana, haezi kuact kwa swaga hizo, hatuelewi anaact kama Mchaga au kama wa Chuga... unajua naangalia video mpaka mm nayeangalia ndo naona aibu sasa... anazingua bhana hajui... mchomoeni humo lasivyo anapigwa mtu ngumi 21 ananyooka.
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html
Kakataliwa YESU sembuse wewe bwana hahahhaha
😂😂😂😂😂😂kanichekesha Sana huyo jamaa
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Mh huo mchaga anaharibu inamaana hamuon
Mkojani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kakiota gani haka sasa😄😄
Big up mkojani.. 🔥
th-cam.com/video/u1JBOzLxFKs/w-d-xo.html.
Ndugu wth mateje Nva
Mkojani jamni unataka kes gan sasa 😄😄😄😄
Mtoto wa Dubai
Ngoma Nagwa ako wapi ckuiz. 😰😰😰😰
OYA UYU MCHAGA AKO FITY ISEE NIKIWA 254 NAWACHEKI