Wakaazi kaunti ya Wajir wanaonekana wakiendesha shughuli kama kawaida

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Huku serikali ikiendelea kusisitiza umuhimu wa kubadili tabia hata taifa linapokabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona, katika kaunti ya Wajir...mambo yameendelea kama kawaida sehemu nyingi huku baadhi ya wakaazi wakionekana kupuuza baadhi ya maagizo haya wanapoendelea na shughuli zao.

ความคิดเห็น • 6

  • @petergithuku2669
    @petergithuku2669 4 ปีที่แล้ว

    Same thing in Eastleigh no one seem to care.

  • @wlkmwlkm3381
    @wlkmwlkm3381 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣akuna Corona Kenya iko tu hulayani

  • @oliviaisa1329
    @oliviaisa1329 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii corona ata akuna kenya 🤦🏼‍♀️ scam tu juu kila mtu ameona Italy na china na USA

    • @dorcasdee1114
      @dorcasdee1114 4 ปีที่แล้ว

      Ni scam tu imekuwa Kama huduma number walituscam

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว

    Sawa hakuja Kuwa Kitu etieeeh,

  • @mbotelamary3746
    @mbotelamary3746 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂