MSIMBAZI HAPAKALIKI, WAZEE WACHACHAMAA NA VIONGOZI | MABADILIKO YAANZIE KWAO SIO USAJILI TU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

ความคิดเห็น • 54

  • @DanielIsack-b1r
    @DanielIsack-b1r 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mangungu ni Yanga huwez kumuweka manula kwenye mechi wakat kulikua na kipa Allysalimu na wakat huo alikua na uzoefu mkubwa.....Mangungu Atokee na Mo kama hataleta wachezaji Asepe bakhresa anaitaka sana Simba sisi sio wakumuomba hela MO ni wakumwambia tunataka mchezaji huyu na huyu

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 4 หลายเดือนก่อน +4

    Viongozi wote wajiuzulu abaki Mwekezaji tu

  • @abujumanne7570
    @abujumanne7570 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dah hawa wazee wapo vizuri nime wakubali👋👋👋

  • @gabrielgwasmasimbadaimaush8761
    @gabrielgwasmasimbadaimaush8761 4 หลายเดือนก่อน +4

    Bilashaka Kuna ufisadi ndani uongozi was simba

  • @rashidhamis-fe8jq
    @rashidhamis-fe8jq 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo mangungu aache ujinga kwa nini tupitie nyakati ngum hii ni tim inawachezaji kama hakuna pesa waseme sio tim ikiwa na wakati mzuri hatusemi lazima tuseme anafanya nini mpaka tim inafanya vizuri

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mzee sawa yuko sahihi wote watoke

  • @NorbertMbuba-s9n
    @NorbertMbuba-s9n 4 หลายเดือนก่อน +2

    Muwe mnajipangaaa waaandishiii 😂😂😂

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika

  • @suleimansuwed1846
    @suleimansuwed1846 4 หลายเดือนก่อน

    Simba pamojana wanachama asilimiyakubwa niwanafiki hudanganjwakwavipesa kidogo wanawafagiliya viongozi wasiofaa kuiongoza simba

  • @redgabriel4998
    @redgabriel4998 4 หลายเดือนก่อน +1

    Takukuru mnakwama wapi embu wachunguzen hao viongoz wa Simba

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mzee anaonekana kumwunga mkono mangungu : atoke malone aungwe mkono kwa asilimia mia

  • @andrewdaudindullu1749
    @andrewdaudindullu1749 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee Mohamed yupo sawa viongozi wajiuzulu akiwemo semaji anapiga propoganda kupumbaza MASHABIKI wkt uongozi ni mbovu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤Hivyo hivyo Mzee

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw 4 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki na wanachama wamesikika mara kwa mara wakiulalamikia uongozi Che Malone anasikia kwa nini asiongee yuko sahihi.

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 หลายเดือนก่อน

    Sipendi hiyo yakusema kwenye mazuri hatusomi mazuri gani amefanya mangungu aondoke pia anajivunia uachawi ndiyo maana anaokota mabaki ya chakula iliakaloge watu.

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa viongozi wa simba wameshindwa na timu na kwani hawataki kujiuzulu na mashabiki hawa wataki kuna pesa za club wana ziramba mashabiki wenzangu tu hakikishe hawa jama wanaondoka simba kwa vyo vyote vile wametuumiza sana

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 4 หลายเดือนก่อน

    Utaivuruga simba tulieni

  • @Ikeaedmonton-dl3el
    @Ikeaedmonton-dl3el 4 หลายเดือนก่อน +1

    Muongo mzee shirikisho limeanzishwa 2004!

  • @sakinasakina1286
    @sakinasakina1286 4 หลายเดือนก่อน +1

    sema baba wanayanga wajuwe mangungu ni nani maana wabishi kuwa mangungu cyo mwanasimba anaiuwa simba

  • @JumaJuma-e6r
    @JumaJuma-e6r 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe unamsema Ahmed Ali huna akili

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie wazee hamna jipya kanyweni kahawa.

    • @monifrank347
      @monifrank347 4 หลายเดือนก่อน

      Acha ungese

  • @charlesmwakapola8889
    @charlesmwakapola8889 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee Rama ikona

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee uko vizuri

  • @andrewdaudindullu1749
    @andrewdaudindullu1749 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee Mohamed yupo sawa viongozi wajiuzulu akiwemo semaji anapiga propoganda kupumbaza MASHABIKI wkt uongozi ni mbovu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 หลายเดือนก่อน

    Yaan kwa ujumla Mo amwage fedha mwenyewe kwa usijali MPYA na kupata vijana bora na viongozi akina Mangungu awapishe wengine na dada Babra arudishwe na Mgunda asitolewe kuwa kocha mkuu:Hawa makocha wa nje wanatuvura tu wanachukua fedha wanaondoka. Pia wachezaji wasioweza watoke. MAGUNGU NA TRY WAONDOKE.

  • @NasoroMsangija
    @NasoroMsangija 3 หลายเดือนก่อน

    Manzige

  • @Ikeaedmonton-dl3el
    @Ikeaedmonton-dl3el 4 หลายเดือนก่อน +1

    Muongo mzee shirikisho limeanzishwa 2004!

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 4 หลายเดือนก่อน

      2004 limebadilishwa jina lakini kombe ni lile lile

  • @SuluPancho
    @SuluPancho 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uwongozi mbovu sikuwai kuuwona😢

  • @sekrommbaga6234
    @sekrommbaga6234 4 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi acha kuchonganisha mchezaji na uongozi. Eleza unachoelewa wewe

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 4 หลายเดือนก่อน

    Viongozi ni shida sana tukumbuke ilipata mafanikio baada ya hayati Magufuli kuwafunga jela akina Aveva kwa hiyo wezi wote walikimbia sasa baada kifo cha Magufuli wezi yaani mafuko,a.k mapana yamerudi kwa fujo tena yameota mapembe tena hayaogopi hata kelele za washabiki

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile 4 หลายเดือนก่อน

    Semaji hana kosa wala hatakiwi kulalamikiwa mashabiki uchwara wanaomlalamikia semaji waache mara moja

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 4 หลายเดือนก่อน

    SERIKALI ILIMTUMA WAZIRI MWAKYEMBE KUWAZUIA MSIBINAFSISHE TIMU KWA MO PEKEE MTU MMOJA..SIMBA WALIMTIMUA WAZIRI ETI SS SIMBA TUNAMTAKA MO PEKE YAKE LEO HII MMESHAONA NN SERIKALI ILILENGA.. SIMBA MNA UBISHI SANA SANA SANA

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 4 หลายเดือนก่อน

    viongozi hawa hamna kitu nashangaa bado wako kazini

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 4 หลายเดือนก่อน

    Kauli mbiu wajiudhuru hatuwataki hata kuwaona hao ni yanga kbs walio changamka

  • @HenedAidha
    @HenedAidha 4 หลายเดือนก่อน

    Wana Simba tusivunjike moyo. TFF ndio wamechangia time ikon living kuu inadhamini klabu 7 na Leo pamba imekuwa ya nane. Hlf CAF hakuna tigo pesa.

    • @NeemaAkyoo-s4s
      @NeemaAkyoo-s4s 4 หลายเดือนก่อน

      Na simba ya 9 umeisahau au hata simba tumeizamini kula chuma hicho 7-2😂😂😂😂😂

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 4 หลายเดือนก่อน

    Nyie wazee hao viongozi wajiuzulu

  • @fredricksiamesiamebeatuss2269
    @fredricksiamesiamebeatuss2269 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa nyie wanachama mna mchango gani kwenye usajili?

  • @VicentHaule-vm9eo
    @VicentHaule-vm9eo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani mangungu ametuletea mafanikio gani hata Moja hana Kama wazamini hizo hela sisi hazitusaidii wanakula wao

  • @ZabibuMwenda
    @ZabibuMwenda 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee mohamed ww ndo umeongea point viongozi wote wajiuzulu

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 หลายเดือนก่อน

    Ndio uongozi wanafukuzwa makocha

  • @IdrisaAbdallah-pf4mw
    @IdrisaAbdallah-pf4mw 4 หลายเดือนก่อน

    Wazee wenyew wasimba ndo hao😂😂😂😂

    • @abunajreenELSESANY
      @abunajreenELSESANY 4 หลายเดือนก่อน

      Acha kuwadharau
      Kwani wazee wa simba wakoje ?

  • @andrewdaudindullu1749
    @andrewdaudindullu1749 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee Mohamed yupo sawa viongozi wajiuzulu akiwemo semaji anapiga propoganda kupumbaza MASHABIKI wkt uongozi ni mbovu

    • @cyprianboniphace-oz5lw
      @cyprianboniphace-oz5lw 4 หลายเดือนก่อน

      Semaji anakosa gani?hivi mnaomlaumu msemaji mlitaka aingie uwanjani akacheze?

  • @ramadhanishoka154
    @ramadhanishoka154 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu mzee kalewa

  • @AsifiweMwamatenge
    @AsifiweMwamatenge 4 หลายเดือนก่อน

    MANGUBGU. TRYAGEN, wajitathimini, na wajumbe wote wakaepembeni.

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna usajili bila viongozi kujiuzulu, huyo mfadhili ndo hamna kitu.

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 4 หลายเดือนก่อน

    Ahmed Ally ndio kirusi kinachotumika kuharibu Simba. Ila mashabiki wa Simba hawajagundua hilo. Ahmed Ally anavyowadanganya watu kuhusu wachezaji

    • @roberttagaya9098
      @roberttagaya9098 4 หลายเดือนก่อน

      Acha chuki kwa Ahmedally.

    • @cyprianboniphace-oz5lw
      @cyprianboniphace-oz5lw 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani msemaji aseme wachezaji tunaosajili ni wabovu inawezekana?