Kama damond amedhamiria kuowa,namshauri aende kijijini atafute mwanamke asiyekuwa msanii na asiyekuwa na umarufu wowote ule hapo atadumu na hiyo ndoa,Kama ataowa mwanamke msanii mwenzake hiyo ndoa itakuwa ya miezi mitatu na kusambaratika.
yaan hata akioa dada ako,siku hiyo hiyo dada ako anakuwa maarufu na manyumbu wanaanza kumfukuzia,,,,,PANUA FIKRA ZAKO,USUPA STAA NI MZIGO WA MWIBA UKIUBEBA UTAUMIA
Says who.There are artists couples that are together with their family why will Diamond's own be different. Diamond girl friend is serious and will do everything to protect her family. Zuchu is a nice person.
Mke ana Sifa zake. Sio kila mwanamke anaweza kuwa mke... Mki muangalia huyu anaweza kuwa mke???? Huyu labda awe mzazi mwenza wa mtu... Kuwa mke wa mtu msidhani ni rahic rahic tu. Wadada maarufu wa hapa kwetu ndoa zina washinda, atakuwa huyu 😂😂
Diamond ajaluusiwa kuoa uyu na kamwe awezi kuoa ni michezo tu ya kuigiza mnatuletea kiki za ovyo ovyo kila kukicha mala zuchu Sasa mmeanza na uyo sjui Nadia
Msitufanye sisi hatuna akili alafu hii wasafi ni chombo kikubwa lkn kuna baadh ya wapuuzi wanataka kuharibu media na tasnia nzima ya music mnapotosha jamii.
Diamond is better to take one of your baby mama's uoe, you are planting bad seed Kwa watoto wako. What goes around comes around. Don't think that using other people's daughters is so fun to you. It will come to your kids and you will feel they way others are feeling now.
Watoto waliokomaa akili na wanajua wanachotaka, I guess wanataka fame pia mana kila mtu yuajua Simba na Zari, Hamisa, Wema, Tanasha,.....na bado warembo watang'ang'ania tu. (Diamond is a man too).
She's beautiful young woman, talented i swear she can go far with her talent and me very handsome and good man for her self, why is she rushing. Take time sweetheart Zuchu we have awesome men out there that can be yours alone and take good care of you. Hatuna wivu tunakupenda small sis.
Aah leo ni huyu salaalaa hamuchoki watangazaji kusema uwongo tuu ama ndio kazi yenu, kwani diamond nyee mwaona diamond ataowa mutasubiri sana 🤣🤣huyu kazi yake ni kuzaa tuu watoto period
DIAMOND AMESHAFUNGA NDOA JUZI NA ZUHURA KOPA, NYIE SUBIRINI MTATANGAZIWA.
its obvious u didnt watch the show diamond said no and ignored her for the bosslady and she even realised she can a reason she fought Zari
Q
Hawezi kuowa huyo ni kuchezea watoto wa watu tu , anasahau kwamba na yeye anawatoto wa kike, malipo ni apa apa duniani
Kama damond amedhamiria kuowa,namshauri aende kijijini atafute mwanamke asiyekuwa msanii na asiyekuwa na umarufu wowote ule hapo atadumu na hiyo ndoa,Kama ataowa mwanamke msanii mwenzake hiyo ndoa itakuwa ya miezi mitatu na kusambaratika.
yaan hata akioa dada ako,siku hiyo hiyo dada ako anakuwa maarufu na manyumbu wanaanza kumfukuzia,,,,,PANUA FIKRA ZAKO,USUPA STAA NI MZIGO WA MWIBA UKIUBEBA UTAUMIA
Says who.There are artists couples that are together with their family why will Diamond's own be different. Diamond girl friend is serious and will do everything to protect her family. Zuchu is a nice person.
Hana Cha Mke Mtarajiwa. Kaskize ile nyimbo yao ya BADO SANA. Humo ndio mna Jawabu. Naona mnajisubua tu,,,, na yeye Kimyaaaaa🤣
Kwakweli hata sio uongo 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Mke ana Sifa zake. Sio kila mwanamke anaweza kuwa mke... Mki muangalia huyu anaweza kuwa mke????
Huyu labda awe mzazi mwenza wa mtu...
Kuwa mke wa mtu msidhani ni rahic rahic tu.
Wadada maarufu wa hapa kwetu ndoa zina washinda, atakuwa huyu 😂😂
Diamond Platnumz 🔥🔥🔥th-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/w-d-xo.html
th-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/w-d-xo.html
th-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/w-d-xo.html
Mke kabisa kwa Diamond ni Tanasha Donna! Time will tell.
Unaumwa wewe sio bure
Thubutuuuu
Tell them
😂😂😂😂what a dream
Kwa kweli Ata mtoto katoa copy ya mondi
Diamond ajaluusiwa kuoa uyu na kamwe awezi kuoa ni michezo tu ya kuigiza mnatuletea kiki za ovyo ovyo kila kukicha mala zuchu Sasa mmeanza na uyo sjui Nadia
🤣🤣🤣
Father Abraham na Light skin🤭 nilikua nashangaa Zuchu amemkufia but sio type ya father Abraham. At least atafundishwa English round hii
Balaamuislam mzima uwezi fanya maamuzi ukaoa motowazinaa nimbaya sana kakaDMnd
Kashaaliwa huyu.... Mondi alisema lazima amle 😂😂😂😂😂 kajileta Bongo kupata dawa ya father Abraham ili aagwe before Simba aoe
😄😄😄
Mapma tu simba
Wakenya tumesoma hio jina kama Nadia Mukami.
🤣🤣🤣
Hivi diamond ataongea kiingereza na huyu mdada mhh mbn kazi maana diamond kiingereza ndio hivo tena mhhhh
Alot of English end of the day pap pregnant then diamond is bad man
Na hawakomi😂😂😂
His a man na mbegu ziko tu sana, can't blame him.
I m glad sio mswahili basi .. atleast she is south african bang bang 😀
Hawa hawaendani kabisa,the relationship will collapse on the very first day of wedding
😂😂😂😂
😂😂😂
Jamani
Ao za Netflix ndo mnaita mahusiyano
Eh iyo bongo nayo kiki ni kila mahali
Big lie 🤣🤣 huyu hata Kwa dawa Hawezi oleka na Diamond
Kweli kabisa
Naunhana naww anaonesha muongeaji sana bimkubwa hatomkubali
huyo siowa smahani byby , its fuck it
Hapana !Hana komwe huyo😂
😬😁😬😁 baba makomwe✌️
Huyo mondi mwenyewe hata simkubali kabisa kama angekuwa kiba ningesema jambo.
Nkukubal👏👏🤝
ila simbaa 🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂uja acha mtu salama apa
Don't think so
Mondi haoi hadi kufa Kwake
Flirting ndo ilimfanya mond akabreak kizungu😅😅😅
😜😜🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Mnatuchosha tu na huyo daidomo wenu simseme habar zingine
Huyu dada vidhunguuuuu vingi ananiumizaaaa kichwaaaaaaa
😄🤣😂
Another baby mama loading
That's Mali ya AKA kama hamjui
Huyu hapana😃😃😃😃
Bado ajamzidi mama t na mobeto wakawaida tuu Ila wabongo mnajua kukuzaa
No kiingereza hamielewi...? Amesema wapi anafunga ndoa na mdomo kubwa?
🤣🤣
Hawez kurudia Kenya, atabadilisha nchi😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣
Sio mkenya uyu
Kamwe hakiwezi hicho kichwa ana uswahili mwingi akomae na zuchu
Dad zuchu pol ushapikwa kibut ila usikate tamaa dada angu 😭😭😭
Mna guess sana! Em acheni muda uongee
Msitufanye sisi hatuna akili alafu hii wasafi ni chombo kikubwa lkn kuna baadh ya wapuuzi wanataka kuharibu media na tasnia nzima ya music mnapotosha jamii.
allaa!!!
Wanachezewaga hvy hvy mwisho wanatemwa yupo wapi wema zari zuchu ww Nan Kwan mpaka uwe mke mtarajiwa huyo jamaa ni moto anakamua na kutupa
Watz bana. Kuoa ni mapenzi ya mtu. Yeye hajapenda kuoa. Na si lazima kuoa.
Kuoa n lazima kwa mujibu wa dini yk km mwenza ametokea hana budi kutimiza nusu ya dini
Mna tuzingua na movie zenu za kihindi
Mondi ataweza kuoongea nae uyo au ndo anaajili mkalimani namm nichukue nafas
Duh huyo diamond kila alhamisi anaoa duh si mchezo
Dimondi amekwisha Sasa anahaha anatafuta Kiki ndoandoa inahusu Niko sie hujatoa nyimbo kati.ndoa ndoa
Ndo aongee kingereza muda wote😃😃😂😂
Wanawake km hawa kucha km hz kila siku lzm umeze vile vidonge kwa uchafu asa atajisafishaje
Your dude ain't marrying get it n relax! Damn
😂😂😂💀👋🏽
Daimond platnam
Nadia love you
Not even a single Kenyan on the show!!! This is so sad 💔
😆😆😆
Vera ampachikwa mimba, akothee atatuabisha yetu yote.
Season two ataingia omond
@@arnoldotiu8598 🤣🤣🤣🤣🤣
Kenyan's not femous 🤣🤣🤣🤣
Naweye alia sulikua mwanamke wa daimond
Hiv ni kweli!
Diamond mtu hatari sana mtakuja kusikia ana mimba huyo ..
🙆♀️🙆♀️🙆♀️🤣🤣🤣👍
😂😅😂
Mbona mnapenda Sana uwongo wa Tanzania eeeh ....Nadia Nakai now she is dating AKA
🤣🤣🤣🙌zuchu jamaniii
Life has no balance
Tanzanians mnachoma buanaah 😂🤣😆 mtajua lini English English kiengereza ndio lugha ya World wide mufanye bidii muende shule majemeni 😝😜
No siukweli diamond alimlenga akamualika zari
ivi Diamond utaoa mpaka lini...?
Diamond hawezi akawai oa siku ata moja mnamlazimishanga do ifanyike nini
Diamond is better to take one of your baby mama's uoe, you are planting bad seed Kwa watoto wako. What goes around comes around. Don't think that using other people's daughters is so fun to you. It will come to your kids and you will feel they way others are feeling now.
Watoto waliokomaa akili na wanajua wanachotaka, I guess wanataka fame pia mana kila mtu yuajua Simba na Zari, Hamisa, Wema, Tanasha,.....na bado warembo watang'ang'ania tu. (Diamond is a man too).
She's beautiful young woman, talented i swear she can go far with her talent and me very handsome and good man for her self, why is she rushing. Take time sweetheart Zuchu we have awesome men out there that can be yours alone and take good care of you. Hatuna wivu tunakupenda small sis.
Nikajua ni Nadia mkami Wa Kenya
Na mimi😂
😁😁😁
Kaja kuhudhuria harusi eeeh
Nice
Jamani nyieee Dio mpenzie ila kafanya NAE shoo tyuu KAH Hannah dogo
Welcome to +255
Lol wasafi trying hard to put up dramas on their boss,,as is hard to make kick in Ramadan ,well that is really good
😂😂😂😂😂WCB mpk mnaboa
Is this the 31st lady?
ataoa wangapi wanaume jaman mungu anawaona
Wow
Wewe ni aalya ama niyupi?kuanzia utiwe mimba hutaki kuonekana sio?
Si Aliyah ni Calypso
Aaliyah u know
@@sophiahmedza929 kapigwa mtombo kisha katupwa hahahahaha
Imeisha iyo
WASAFI NA NYIE TUTAWAKIMBIA MNATULETEA VICHWA VYA HABARI VYA UONGO MMEKUWA PTV
Khee manake hapo kwanza nicheke
Sasa Mbona anachoongea na Mlicho andika Tofauti mbona mnaleta ufala Wasafi
Ongea kiswahili we
Uyo anafaaa
Hapa language barrier italetaa balaa
Hawa mdem wakizungu diamond hawawezi lugha yenyewe shida anashindwa kuji express
Hi haitakaaa...
Mmh..uku kila siku n diamond kaoa diamond kaoa....tafuteni content
Huyo ni Aliyaah???
Ni kiki tu
Dulla yukwapi leo 😂
Aah leo ni huyu salaalaa hamuchoki watangazaji kusema uwongo tuu ama ndio kazi yenu, kwani diamond nyee mwaona diamond ataowa mutasubiri sana 🤣🤣huyu kazi yake ni kuzaa tuu watoto period
Niache kula bata eti Simba niowe 😂😂
Hakuna kitu apo. Zuchu njo wanaendana.
Mna zingua title zenu za kiwaki
I love you so much
Sikiza Nawaza mistari ya mwisho hahahah NISHAWAZA SANA
Kumbe due hajui kiengereza... hh hhh hhh hhh .. ndomana kapgwa kuleeeee
Good
Kama nikwel mtu wenyewe diamond change ur style of talking
Waongo sana by title and content
Nadia ur looking so quet but they ur talkin me i don't like unaongea fasta fasta
Hii kizungu diamond hawezani
😆😂
Hahha
English ngumu jamani hasa akiwa anaekuhoji ni demu🤕
Huyo Sio mke mtazushaaaa mke ni zuchu huyu kupika hajui
😂😂😂
Usipostajabu ya Mussa utaona ya filauni.
Wasenge nyny
Jamani mnalazimisha mtu aoe(