EXCLUSIVE: NADIA NAKAI AFUNGUKA WALIVYOKUTANA DIAMOND, YOUNG FAMOUS AND AFRICAN
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2024
- EXCLUSIVE: NADIA NAKAI AFUNGUKA WALIVYUOKUTANA DIAMOND, YOUNG FAMOUS AND AFRICAN
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Back here in 2023 For Nadia. Sending Love and Light♥️🤍
Ommy is good..I love how Nadia is composed,,how fluent she talks ,how she arrange her words..is superb..
When we say Wasafi media its a global media, this is what we mean it. Bigup Wasafi. Bigup Diamond Platinumz.
SIMBA TAYARI NAJUWA AMESHA MUMALIZA HUYU NADIA NAKAI..... NAKUBALI SANA BIG SIMBA @WCB FOR LIFE
😂😂Bashali jamani🤣🤣
Ommy,,,,,,👏👏👏Unatuweka kifua mbele Umeuwa!!!!!🔥🔥🔥🔥❤🇹🇿
Atareee
Nadia means a lot in KENYA. I thought she was a Meru, but allegedly she grew up in KENYA. Woooow....
Jaman mmeanza! Sijui mkoje nyie watu
Naona wengi mnawasema watangazi kuhusu kiingereza kwangu mm naona wanajitahid sana na wapo vzri sema nyie mnaojua kiingereza kidogo ndo mnaona kama wanakosea wakati nyie ndio hamjui kabisa kitu mnachotakiwa kujua kingereza cha kujifunza shule ni tofaut na kuzaliwa nacho so watangazaji wako poa2 💯
True
Hao wanao wasema ndo hamna kitu hata mwanaume asie kuwa na nguvu za kiume upenda wanawake wng iliafiche aibu yake ila kiuhasilia jongoo apandi mtungi😝😝😝
Umemaliza kaka. Siajabu hawaelewi lolote wanahisi tu kua watangazaji wanakosea🤣🤣🤣🤣🤣. How can someone criticise a Tanzanian who is trying so hard to speak English😳. It is not our mother tongue for heavens sake
Fact
Good explainer
Love nadia nakai ❤❤👑
I think I can listen to her for ever she is lovable
That is our product,,,Kenyans in the building😂😂💪💪
🥱🥱🥱
She is not Nadia mukami my friend 😂😂😂
@@perfectblade2148 lol. Amesema alissomea kenya. Ndio akasema ni ptoduct
*NAONA WATU MNAWASEMA WATANGAZAJI KUHUSU ENGLISH HEBU JIULIZENI WACHINA WANAJUA ENGLISH? WAKOREA JE? WAJAPANI? SIO LUGHA YETU HATUWEZ KUJUA 100% HAKUNA CHA AJABU HATA* au mwambieni Nadia aongee kiswahili apo uone km atamaliza ata sentensi moja
Umeongea point,Tatizo watanzania wengi tunaona kujua English ndo kila kitu.
but ukiwa ktk chombo cha habari ni lazima kujua coz unakutana na kufanyakaz na watu tofaut sio wa taifa or race moja ... hao wachina uliowataja kama ni waandishi wa habar lazma wajue kingereza
@@mancholotrasco8350 kwan hao kina lil ommy hawajui? Ni kwamba mnataka wafanane km watu wa nchi zinazoongea kiingereza kasikilize waandishi wa habar wa kichina km wanaongea km anavoongea Nadia au Travis scott
@@hutchblaq2998 sio kama wanavyoongea hao pindi uwapo ktk chombo cha habari dunia nzima ni lazima ujue kingereza
@@mancholotrasco8350 may be huwa unasikiliz habar za kichina, kijapani na kuspot makosa km hivi so cwez kukubishia 🙌🏿
Eiish welcome to tz nadia nakai Much love🥰🥰🥰🥰#simbas effort #oppurtunity grabber
Nakai is a beautiful lady look's like natasha
She beautful girl i like her
The king of the interviews Lil ommy 👆
Lil Ommy... Salute...
Interview ya kizazi sana hii, Big up *LilOmmy*
Lil ommy umetisha Ngeli
Acheni unafik mchizi kajitaidi kumuhoji uyo Dada kama angekuwa haelewi kitu angekuwa mzito ata kujibu alichoulizwa Acheni unafik au nyie ndio mnajua sana iyo lughaa
Mshana ni presenter mbovu sana, interview hii imeproove, halijui jamaaa, big up lil ommy
Lil ommy to the top
Uyu demu 🔥🔥🔥 achana sana
Shida ya wasafi kila siku ni daimond tuuuu hamuendi mbel watanzania hatun ten janja izoo ssi toen vitu vya msingi
Energy ⚡
She looks good
Nampenda sanh huyu dada jamani ❤️😘😍
Boom show we love the show
sijui kiingereza ila hii interview angefanya Diva au Aaliyah 🙄ndio watu wako vzur kwenye kiingereza
Hiii show ya akina tambwe hata Kama hujui lugha ukisukiliza utaelewa tuuuu kongore kwenu ,✊✊✊
Swahili nation,kiingereza sio lugha yetu so jamaa wanajtahd sana
Sure
Women shading powerful women is so uncool. You knew Diamond but you don't know Zari????. We love you but don't shade the African Queen she is the it girl. You should have listened to her when she said that, it's not her problem but next woman's problem. She has much respect and love for him as his children's dad. Period.
Kizungu kizungumkuti 😅I loveeeee this show 🤗☺️
🤣🤣
I need dictionary 😁💔 enewei 🙌🏽
🔥🔥🔥
Tatzo letu ss wabongo tumezoe kingereza chetu cha( Yes /No, ) or kile cha full its,its, na you know ,you know nyingi ndio tatizo letu lilipo hpo, na c vingine, ndio maana kila mtu tunamuona hajui kingerezeka, tuwache ujinga wa kukosoa km hatufaham ubola kuwa kimya
I think Diamond now this is Great not walking around with your signiees
I like ur English pronunciation u sound so good Lil ommy big up Sana
Wapyyyy? 😅😂🤣
She went to school in Kenya nairobi sooo you can imagine 🔥🔥🔥
😅😅😅😅😅
I love the fluent in ua maongezi
Hahahàahahà Au Basi
Kenya is the only country in Africa with better school just listen her English from Nairobi school ❤️🇰🇪🔥🔥
Bravo na better school in Africa na Hata mtunzi bora wa vitabu Africa Chinua Achebe alisomea Nairobi.
Stop lying the girl is a Zimbabwean
And she learn that English from Zim
lugha ya taifa ni kiswahili kiingereza ni lugha kigeni sasa mnashangaa nini yeye kuongea broken englis acheni kuwa fikra za kikoloni
Have you been to Ghana
hiloooo YAI🔥🔥🔥
👏 kazi nzur
Seriously speakings I love you guys but I wish hii interview angefanya mtu anayejua lugha ipasavyo kama lady haha
@aggy george 2 🤣🤣🤣🤣🤣
Agreed!
Jamani hiyi ni lugha gani ?
Mbona sisikii chochote ?
Watu wameanza kubadili tamko za lugha ili wengine wasisikiye chochote.
Kutaka kukubadilika.
😂😂😂
Hahahaha
Hio lugha imepanda ndege ndo mana huijui😄😂🤣🤣
Hapo huyo dada anaongea American grama English km kichwa kibovu hupati lolote utaishia kutingisha kichwa na kutoa👉🙄🙄😁😁😁😁
Ushamba tu diamond aliowa lini kuzaa watoto bila ndoa mtoto wakislamu mungu akusubiri pesa zina mwisho wake pale utakapo vishwa suti yasanda na ubao itabaki stori
jamani wasafi andikeni watu we nye wanaweza kuzungumza english , hii ni aibu
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 kazi ipo jamani
🤣🤣🤣🤣🤣
Umjui vizuri Lili omy kama mtu anweza kumhoji mnajeria na English yake mbovu sembuse huyu tu acha wivu
They tried their best though'..😛
Hujamaa anajua swagaa🥲🥲🥲🥲🥲
Jamani ammygirl simuoni
Kizungu kimemkimbia
interview mnauliza, udaku,,kuhusu,diamond tuh huo mchana hajuw english ya,kisanii
Wazi sana
Nani kasikia AU kutoka kwa mshana
😂😂😂😂
The guy dressed in pink shirt..His English is good
😅🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 He's forcing
You dont know zari really!!!funny lady
ramy mshana kibonge ww tulia kizungu hujui
Ngomoi,Ngomoi,Ngomoi Mungu anakuona shallow English
Trying so hard to try replace Donna oketch but I guess she ain't replaceable
Sana rasta
Yani hiyo young african and famous munayingalia wapi yani mnafanyaje naomba munisaidie kama nikudownload munadownload vip
Zari kiboko ya hawa maslay queen wote
Kiboko wa nini sasa atabadili mwili mzima, kutaka aonekane mdogo lakini umri umenda
@@uwimanauwimana7692 shinda yako hiyo badilisha yaki pia mfanane
Mkiwa mnaandika kichwa Cha habari muwe mnatuambia kabisa kama mazungumzo yamefanywa kwa kiingereza au kiswahili maana mnatuchanganya
😃😃😃😃
Jipooze na mirinda kwanza 😂😂😂😂
😜😜 kabisa
😂
Hiyo speed ya kuongea ni ya 5G duuuuh!
Ahahah
Mi nasikia tu jdjdjdbskdkdkdhsbsbzbzbxbzhz
@@gazzomaster9462 hh
Mwenzangu we acha tu
Speed ni ya 12G
🤣🤣20.30 Wabongo wamepigwa 5-0 na huyu demu 🤣wana shangaa hamjui Zari na demu ana shangaa jinsi anavyo ulizwa ni kama anatakikana awe anamjua 🤣Zari she’s absolutely big bongo lakini not South Africa leo ndio mjuue
Wabongo na mambo na mbwembwe,cool words😂😂😂
Raymshana hujui kingereza
The only journalist that Wasafi has : it's Lili Omy otherwise hmmmmm Cuz no one among these journalist can be able to express his or her experience when it comes to English interview except Omy. Bado Kuna kazi bongo.
raymond anawez ila yupo so nervous you feel it from his voice kigugumiz maneno hayatok😅😅😅
Unamjua kalpso wewe...au aka ka refresh ka nan aka...shida wale iki sio kipindi chao..
Wasafi needs to hire some presenters ambao wanajua Kingereza
sure
Mshana anajitafuta mno, huyo dem ndo kabisaaaaaa hawez ongea chochote ataishia kujichekesha
Amin wanaznguaga wanapokuaa wenyewe viswanglish vingii hapoo inabidi akae calypso huyo amy gal atoke zen mshana awekwe mbaba
Nadhani wanao ila siyo katika the Switch na pia wapo wachache sana. Lakini ukweli ni kwamba Tanzania kiswahili 💯 mara chache sana kupata watu wanaohojiwa kwa kiingereza.
Yan afadhali lil ommy
Kaeni kimya m kinapanda sana ila sjui wanafurahia nini niambieni Nam nicheke
leo imekula kwetu😀😀😀😀😀 yani tunaskilizatu mambo nimazito yeah yeah yeah kamazote
😜😜😜 Yan tumeangukiw na kitu kizito kichwa dada ana balaha
@@godwinananias5358 😀😀😀😀😀😀 mambo nimazito uko yanileo napitazangutu unajinalenye napendagasana kaka ananias woooo
naombanaombayako yawhats kamahutojali😀😀😀😀😀
😄🤣😂
Jamani mmekunywa Chai hiyo Lugha ohooooo
Kwanini demu kakataa kujibu swali aloulizwa kuhusu clip ilosambaa akiwa na AKA??😂 mke wa Chibu huyo kaogopa kuyavuruga au kufukua makaburi ya Mwamba AKA😂
But wercom Tanzania
she looks like tanasha
Now I understand why Diamond was pursuing her.
Mi simjuiyeye
Mbona Kiingereza mtihani kwa hawa presenters?
these dudes speak broken english, its so embarrassing. please train them. ommy is atleast trying but still not that good.
Ni hayo tuu,mbona aliyehojiwa. Alikuwa anaelewa eti so embarrassing.
Hah wabongo bwana mna matatzo sana
Because its not his mother language...
English is not our language, not our first language at all, if you think they are not speaking good English is just because they are speaking Swahili as their first language which is number 2 language in Africa, spreading in the world as well now. Lets be proud of our own language instead of other languages.
Kabisaa
Alisomea Kenya na akatembea Zanzibar. Can't you guys quote the lady well.
😅😅😅😅 kizungu sio ya watanzania hawataki kuamini alisomea Kenya 😅😅
@@pichunakichuna2111 Navenye hua wabishi hapendi kushindwa 🤣
Nlichofata hapa Ni kiswaeng
Hata Tanasha aliwahi kusema hamjui Zari lakini haikusaidia chochote
Hata Zari mwenyewe hamjui Tanasha.Hawajawahi kutana popote
Kuna huyo binti hapo presenter Wakelelee ametulia saana..simsikii
😂😂😂
Ushamba mkubwa wa sisi watu wa Africa ni kutaka kua wazungu na kuwashinda wazungu uzungu.hivi kweli mna uhakika hao mabwege wanaosema kuhusu English ya ma presenter wanaelewa hata kile Nadia alikua akiongea?hivi sisi tukienda huko uzunguni wazungu watakua able even kutusalimia kwa kiswahili?Africa must wake up and be proud of ourselves.anyway don't judge kiswahili changu kwasababu mimi ni mtu wa burundi.ila wabongo mmekua wanafki hadi mmepitiliza.instead of encouraging our brothers and sister nyie ndio wakwanza kuwadhalilisha na kuasimanga? Bongooooo
Ukielewa ww inatosha upaswi kutukana uko nikukosa malifa
Labda uelew peke yako
Aisee we bado sana, acha ushamba wewe
@@samwelylaurent4301 rudi shule matumizi ya R na L,kiswahili chenyewe hujui kukiandika.
Facts… I couldn’t have said it better myself
I sensed some Kenyan vibe in you. So you went to school in Kenya 🇰🇪 you need to learn Swahili. You can’t survive in TZ. Unless you choose to live in Kenya once again.
Sipati picha siku mkifanya interview na Jay z kanye west au rick ross tutameza dictionary mambo ya iam 31 st first atutaki
😂😂😂😂😂
Ya 30 years nayo umeisikia?
🏃🏃🏃
Huyu Nadia angepewa kazi hapo wasafi FM sikwakizungu hicho bila kupumzika
🤣🤣
AMY GAL HANA UGENGE KAPOA
Amy gal anatetemeka hapo
Watanzania kizungu kinawachenga,,,, I think it's time you embrace the global language which is English,, period.
😂😂😂mandevu kingereza chake bwana😂😂😂 tutafika tumechoka Sana😂😂😂
Hahahaha ana kwama
M m Mmm zuhura asubili kwanza hariya asubili pia Nadya is ok about ndoa
Kwahiyo huyu ndio wifi
Kizungu jamani watazania😂😂😂
Juice ww hamna kitu pia watangazaji wako vizuri ulikuwa wataka waongee na pua ndo ujuwe ni kizungu
🤣🤣🤣 wajoma
22.25 interview imegonga lorry la taka 🤣🤣🤣🤣
Mmemsikiliza wenyewe sio poa
Duu anaongea
Lil ommy NimekubaLi Mzee naiskia slen inavyotoka kinywani
Ammy sikusikii !!
Jifunzeni lugha mnatuaibisha jamn🥺
Hata hawatuaibishi sio Lugha yetu
Ww umekusaidia nn
Wakorea wajapani wachina hayo nikati yamachahe hawajui kingereza jitulize kwanza c rugha yetu
Anajishaua huyo utasema anyii 😂😂😂
Hii interview hatar nakai huna aja yakuuliza anafanya aina gani musiki anafanya
nani kaona mshana amekataliwa 🤣🤣🤣🤣
Ninasema hivi uyu dida wetu wa WCB atasubili sana zidi ya shemeji Nadia nakai tukimuoa ataenda masham shammm vikawake
wewe unayemkosoa mwenzako utadhani unaweza hata kuongea, mwenzako angalau anaweza sana na inasikika anachoongea, binafsi naona wako vzr as long as sio our mother language
She only Diamond what the f****
No one dont know🦁🦁🦁🦁
Kiboko yenu zari
Mshana atulie hiki kinge anakivuruga mno