Wakitoka huko wapimwe tyuuu wazungu wanawatumia akili nyingi sana tena wanawatumia watanzania wenzetu kutudidimizia kizazi kijacho 🤗 👉🌈 HATUTAKI TANZANIA UPINDE
Hongereni kwa ubunifu, ila Kuna watu wanaona siyo sawa huwo ni ufinyu wa mawazo kuna kinamama hanahangaika kutwa na watoto mashambani masokoni , na vibarua mbalimbali hapo mnaona ni sawa jua lao baridi lao nk, Cha msingi ada izingatie kipato cha kinamama wengi wa hali ya chini
@@AnnaAloyce-g2lhuna akili kojoa ulale unalinganisha zama za kale na sasa, zamani hata pesa haikuwepo mjinga ww unadhani mama yako alipenga kubebelea mizigo sema alikuwa hana fedha😏
@@rhodarobin8086 haya mpeleke mwanao kesho yake toto lako likiwa gay or lesbian usipige kelele, hivi anaviaminije nyumba za watt wachanga kulelewa eti kuanzia wiki.. Hata hospital tu ukizaa mtoto njiti unakaa hospital miezi mitatu.. Afu nipeleke mtoto wa wiki kulelewa kwa hadi mwaka mmoja, baada ya hapo anaanza shule bodi then akikua unajisifu umemlea kwa shida na raha.. Wanawake wengi wanabeba mimba wasiitwe wagumba ila sio. Kuwapenda watoto wanaowazaa facts.
Jiandaeni pia kuachiwa watoto Moja kwa moja, Watupa watoto kama Nawaona vile, Ila usizarau wadada, Walishalea watoto wengi na Bado wengine wa naendelea kulea, Mlinzi ni Mungu.
Huyo mama atakaye mpeleka mtoto wake hapo wa wiki mbili hafai kuwa mama
Tena ashtakiwe na serikal
Wallahi mzazi atakae fanya ivi pepo ataiskia tu
heheheheheh sasa huku.sindio kwenda kufundishwa ujinga wa wazungu.mtoto week mbili unampeleka kulelewa mamayake kaziyake nini 😂😂😂upuuz sana
Wakitoka huko wapimwe tyuuu wazungu wanawatumia akili nyingi sana tena wanawatumia watanzania wenzetu kutudidimizia kizazi kijacho 🤗 👉🌈 HATUTAKI TANZANIA UPINDE
Hhhhh
Trueeeee
Wekwenda zako hausigeli unamwachia mtoto asubuhi jioni naludi kumnyonyesha Sasa akija kwako namnyonyesha sangapi kumnyonyesha ndobasi tena
Jamani. Hii kiboko mtoto wa wiki mbili hata arobain bado. Haya Ada shilingi ngapi?
Upuuzi m2pu utandawazi wa kipumbavu.. yani mtoto wa wiki2 hamko series
Sasa iyo wiki 2nitamjuwaje kama nimwanangu jamoni mmezidi nanyie
Hongereni kwa ubunifu, ila Kuna watu wanaona siyo sawa huwo ni ufinyu wa mawazo kuna kinamama hanahangaika kutwa na watoto mashambani masokoni , na vibarua mbalimbali hapo mnaona ni sawa jua lao baridi lao nk, Cha msingi ada izingatie kipato cha kinamama wengi wa hali ya chini
Acha ujinga kwa. Kwani mama yako alikuleaje ulishaambiwa mwanamke atazaaa kwa uchungu na kulea kwa changamoto yyte itakayo mkabili kwaiyo usituambie ujinga wako
@@AnnaAloyce-g2lhuna akili kojoa ulale unalinganisha zama za kale na sasa, zamani hata pesa haikuwepo mjinga ww unadhani mama yako alipenga kubebelea mizigo sema alikuwa hana fedha😏
Mwanamke anayempeleka mtoto huko hafai kuwa mama
Haliyakuwa mzima Ana afya tele
Ni kweli kabisa
Nahisi nyie sio watumishi either wa mashirika or serikalini. Alafu ukabanwa haswaaaa na binti wa kazi huna 😢
Kweli kabisa
@@rhodarobin8086 haya mpeleke mwanao kesho yake toto lako likiwa gay or lesbian usipige kelele, hivi anaviaminije nyumba za watt wachanga kulelewa eti kuanzia wiki.. Hata hospital tu ukizaa mtoto njiti unakaa hospital miezi mitatu.. Afu nipeleke mtoto wa wiki kulelewa kwa hadi mwaka mmoja, baada ya hapo anaanza shule bodi then akikua unajisifu umemlea kwa shida na raha.. Wanawake wengi wanabeba mimba wasiitwe wagumba ila sio. Kuwapenda watoto wanaowazaa facts.
Yaan ni ujinga ambao tunazid kupotea
Nimwendo wakuzaa kwa speed ya 4G
Naomba kazi
Hiyo bouncer kwamtto asonanguvu za miguu au mtto yyte tu anachezea akifika age km sijasahau miezi 6???
Jiandaeni pia kuachiwa watoto Moja kwa moja, Watupa watoto kama Nawaona vile, Ila usizarau wadada, Walishalea watoto wengi na Bado wengine wa naendelea kulea, Mlinzi ni Mungu.
Sahihi kabisa maaneno yako
Naanza kuzaa nilikuwa nawaza sana
😂 😂 😂 jizalie tuuuuu.
Wizara ya Afya na Wizara ya Ustawi wa jamii wameafiki hiyo NGO?
Hata wangesema shilingi 50000 kwamwezi sipeleki wanajisaji wawatoto
Siyo shule ni child care
Inafaa hao wahudumu muwapeleke mafunzo ya saikolojia ya watoto ambayo ni maalumu pia montesori. Ni ushauri tu
Mbona huku nchi za watu kuanzia miezi 6
Mm hm myihani tume wezwa Wana wamama wenzangu tueni makini mtu akifanya kitu hufanya Kwa malengo
Ajira inapatikana na Kwa vigezo gani
Hii hatari kwakweli
Jamani angalieni wasije puliziwa sumu zikaja kuwaletea madhara miaka ijayo
Yani awa ndio wanao sababisha mashoga kesho wakemewe Hawa tutahalibu kizazi Cha kesho
Ssa skuli au childcare???
naomb contact
kwanza huyu.mhudumu.anakope zinavuka barabara
wanaopeleka watoto huko wamezaa kwa bahati mbaya ,wanatamani wangekuwa wagumba sanasana wana mapungufu ya akili
Hii ni Day Care jmn siyo shule
Nina Mtoto nina uhitaji nawapata vipi
Kwa hiyo wanasoma hao watoto
Iyo njaa sasa
Akipata infection nawa nyonga
Mtt wa wiki mbili....duuh
Hao madada unaosema hawajui chochote kuhusu mtoto isitoshe ndo wamelea hata watoto wako"fyuuu"
Kwanini nyie ndio muchunga vizuri uongo mtupu kwanza hawapewe chakula kizuri
Mtoto wa wiki mbili? Kwa ubize gani? Thubutu! Alafu baadae aje abond na walezi wake utamlaum nani? Kubanwa tunabanwa lakini sio kwa wiki mbili
Tena hayo matoi yachunguzeni sana
Huyo mtoto atamjua mama ake kweli
@@mwitaagness455 hawezi kumjua mzazi yeyotee
Wiki 2 ?
Nimemwangalia hapa wangu nikajikuta nacheka tu siwezi mweeee
Huu ni uuaji
Kwa week mbili mh hapana, kwa ubusy gani???? Tz hii hii?? Hapana bado sana 😂
Hapana kwa kweli 😳
Kazi ya kulea mtoto sio lelemama na hiyo mikucha mara umemshika mtoto bahati mbaya umemkwachua sijui inakuwaje .
Mmh
Mmmmhhh
Ikowap sas tujuwe
Wasagaji tuu hao hamna lolote
Ujinga mitupu mtoto mdogo anaitaji joto la mama
Nauliza tuu atawanyongeshaaa??
naomba contact plz