Catherine Ruge: Rais Samia Amenivunja Moyo Sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
  • Haya ni mahojiano maalumu kati ya The Chanzo na Catherine Ruge, Katibu Mkuu wa Bara la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) ambapo mwanasiasa huyo anafunguka kuhusu mwelekeo wa nchi na kuweka wazi mambo ambayo anaona hayaendi sawa.
    Pamoja na mambo mengine, Ruge, ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum, anachambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, anaoshutumu kwa maamuzi yasiyokidhi maslahi ya umma pamoja na ukiukwaji wa haki za binadamu. Ruge anazungumzia uamuzi wa BAWACHA kumpatia Rais Samia tuzo ya heshima, Machi 8, 2023, uamuzi ambao Ruge anasema anaujutia sana.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 3

  • @bongo39
    @bongo39 20 วันที่ผ่านมา

    Eti maisha magumu unawabeza watanzania umependeza halafu eti maisha magumu unapata mpaka mda wa kujichubua kiasi kufanana na mwarabu ulitaka mama yako ndio awe raisi ndio ungeridhika

  • @ElibarikiEliud
    @ElibarikiEliud 18 วันที่ผ่านมา

    Uliyeandika commant unajitambua kweli. Nina uhakika wee upo upo tuu. watu wanamaisha magumu hivi wewe huoni.. Raslimali za Tanganyika zinahamishiwa Zanzibar huoni.rais anajaza wazanzibari kwenye wizara zisizokuwa za muungano huoni. anaingiza mikataba mibovu. anasumbua wamasai huoni.kama ni uchawa basi wewe ni Zaidi ya chawa

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 21 วันที่ผ่านมา

    LGBTQ haikubaliki😂