Started following you recently and so far I'm enjoying your recipes na vile napenda kupika jamani...nakupenda Sana @Tajiri's kitchen.Even my daughter is getting addicted
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 jamani ndio maana nimeweka kiulizo nikiwa na maana ya kuuliza swali... Kwamba kama uko na kuku wa kienyeji ukampika kama hivyo ataiva? Ili nipate maoni yako.. Ilikua ni kujibu tuu swali hakukua na haja ya kua this rude🙄
Maa Shaa Allaah
asante sana dada . Bwana Mungu aku bariki sana. amen
Ameen kwa sote insha'Allah
Started following you recently and so far I'm enjoying your recipes na vile napenda kupika jamani...nakupenda Sana @Tajiri's kitchen.Even my daughter is getting addicted
Thank so much for your compliment I really appreciate. Na karibuni sana.....Love you too ❤
Mashallah looks delicious Tutajaribu in shaa Allah Shukran 👌
Shukran😘
Tam tam mashaAllah
Shukran
Maa Shaa Aallah na Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan.
Ameen. Shukran sana
Wow
She my favourite chef..... Have learnt alot
Thanks hun❤
MASHALLAH
Shukran
U r my best female chef my lovely, m learning every day, tnks
Thank you
Mashallah mashallah 😋 😋 😋 👌 huyo kuku hatari
Tena sana sister 😋
Masha ALLAH looks delicious nashukisha na salad
Wajulia hun😋
Naramba vidole kwa kuona tu...looks delicious
🤣🤣🤣Shukran
yummy ... utuletee na mapishi ya kuku wa kienyeji jamani
Ok nitaleta, wacha nikamtafute dear
Tena leo siku nzuri kweli, nanenane, ngoja mamaa anandae mchakato leo
Kabisa tena
Swahili food is my best 😍
Thanks for your support dear❤
Well seasoned👌 well cooked👌 Yani everything Utamuu wa hali ya juu, 😋 Bado chips masala tu
Kabisa tena dear, na juice ya ukwaju😋😘
Mashaallah watutowa mate😀
🤣🤣🤣😋
Mashaallah nimevutiwa
Shukran
😋😋😋😋😋😋
Yummy
Niko hapa
😋😋
Which yoghurt is that?
Thank you for the recipes
Plain yogurt dear, most welcome 😘
Kutafuna tu hapa leo😋
Mashllh ajjab👌
Utamu hadi raha, shukran habibty😘
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Afwan my dear
Nice
Thank you
*next time
Kuku wa kienyeji ataiva kwelinkwa dk 20?😅😅😅😅 .... Anaonekana mtamuuuu😋😋😋😋
Stosh E. Alie kwambia ni kuku wa Kienyeji ni nani? Hebu jifunze kusoma uelewe plz 😳
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 jamani ndio maana nimeweka kiulizo nikiwa na maana ya kuuliza swali... Kwamba kama uko na kuku wa kienyeji ukampika kama hivyo ataiva? Ili nipate maoni yako.. Ilikua ni kujibu tuu swali hakukua na haja ya kua this rude🙄
Kabeesa .... Maambo (Me Kerala )😅
VP ukimkamulia ndimu pia katika spices za Ku marinate
Sio mbaya
Hilo kaa la moto ni hili la kawaida au linauzwa
Lakawaida dear
I have to try this but the charcoal part 🙄
Leave the charcoal part alone🤣 is just an extra 😋
Dada wewe Mtanzania au Mkenya?
Maana sielewi
Zote
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 uniambie ukwelii..
Maana sifatiliagi wakenya