@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Thank you for responding. You are the best! People are learning from you and some do not know how and with what to serve the food. Umefanya vizuri sana. Ongera kwako. Wishing you a Happy New Year - 2021. Mungu akubariki na wote walio kwako nyumbani.
Shukrani Dada kwa recette zuri kabisa👍, nime ji subscribe kwako my sister nakuomba upite piyakwangu uniunge mkono kwenyi chaîne yangu TH-cam, God bless you my sister💞
Kazi nzuri
Abundantly it attracts bellow it utrs most obediently
asante sana
Tamu sana ,,,merry Christmas pia sisi tunakupenda sana venye unatufundisha upishi
Karibu sana❤
Mashaallah Tabaraka Allah
Shukran dear
mashaallah unapika vizuri sana
Shukran sana na asante kwa support yako
Mashaallah ayo kku wanitowa mate apo kicma chembamba na kachumbari shukran swaiba
Kabisa tena hun. Afwan karibu sana😘
Je kama uta fanya deep frying hawatakuwa watamu??
Ma sha Allah
Shukran
Yummy yummy !Asante sana nitajaribu
Asante na Karibu sana!!!
Unaweza kumkaanga dear😊
Yummy spices ndio kwao hapa
Kabisa tena🤣🤣🤣
Mashallah my sister huyo Kuku yuwaonesha ni mtamu sana ni jumbez
Tena sana tu sister. Hapana ni mdogo wake Halima 🙈
Shukran dada
Karibu sana dadangu
Hi Dada asante sana,iesho nitapija hiyo kuuku kesho,wasalaam H
Karibu sana😊
Masha Allah
Shukran
Mashallah hapa si enuki mpenzi,Asante kwa recipy nzuri
Karibu sana! Yani utakula hadi ulale hapo mpenzi🤣🤣🤣
😋😋😋Napenda Sana mapishi Yako na wewe binafsi
Shukran sana
Yummy will try it out
Man she Allah ❤️❤️❤️❤️
Shukran
Yummy! Mouthwatering NYC Weekend recipe Thank you dear 👌
Most welcome dear❤
Yummy 🥰 kwa mfano huna oven inakuaje
Hii kama hiyo ya Frypan dear 👉th-cam.com/video/Ol79GOKLCZ8/w-d-xo.html
Asante sana
Karibu sana dear
Looks so delicious and flavourful
Indeed my dear 😋
Nataka kupika leo na pilau
Yummy yummy masha ALLAH
Shukran habibty
Uyu wa kisasa au kienyeji uyu Kuku
Wakisasa
Hapa umeweza
Shukran sana 😊
Perfect 👌
Thanks dear😘
Utaila na nini? Looks good. Wapi mboga, dada?
Tutalia naka Ugali chembamba alafu naka spinach kando🙈
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723
Thank you for responding. You are the best! People are learning from you and some do not know how and with what to serve the food. Umefanya vizuri sana. Ongera kwako. Wishing you a Happy New Year - 2021. Mungu akubariki na wote walio kwako nyumbani.
@@Crabtree1844 Ameen...same to you too! Thank you so much for your support.
Waeza oka kwa makaa juu n chini ukitumia sufuria?
Mi pia nataka kujua.
Njoo utujibu mamii
Maana sina oven
Ndio unaweza. Lakini niko na nyengine ya frying pan kama hiyo
@@FavouredMishi th-cam.com/video/Ol79GOKLCZ8/w-d-xo.html
Hii angalia alafu akiwa tayari funika juu na Mkaa awe crispy 😋👉 th-cam.com/video/Ol79GOKLCZ8/w-d-xo.html
Nifunike na foil ikiwa kwa oven ama ni wache open? Haitaungua juu??
Hapana haufiniki coz ukifinika itatoa maji.
Me Mara nyingi natumia double grill pan
Ooh ok good 👍
nimependa sana utamu nao
Utamu kwao hapa😋
Shukrani Dada kwa recette zuri kabisa👍, nime ji subscribe kwako my sister nakuomba upite piyakwangu uniunge mkono kwenyi chaîne yangu TH-cam, God bless you my sister💞
Shukran. Ok I will 😘