CHOZI LA HAYATI MAGUFULI KWA MAMA MJANE, ATAKUMBUKWA KWA HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Millard Ayo kwa huu ukumbusho.

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 2 ปีที่แล้ว +10

    Kwenye kipind chako heshima ilikuwepo Mambo ya unajua Mimi ninan tuliyasahau Sina budi kumshukur Mungu kwa kila Jambo Upumzike kwa Amani 🙏🙏🙏🙏🙏💪

  • @htx1873
    @htx1873 2 ปีที่แล้ว +6

    THE BEST OF THE BEST PRESIDENT OF ALL TIME . JPM FOREVER IN OUR HEARTS ♥️ .

  • @richardburengengwa6998
    @richardburengengwa6998 2 ปีที่แล้ว +9

    The king of Africa will remain in our hearts (magufulification).

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 ปีที่แล้ว +8

    JPM aligusa mioyo ya wengi ... aliwafariji wenye shida... inaumiza...sana...

  • @azizairakoze1230
    @azizairakoze1230 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamani tumekumbuka mengi mungu amlaze mahalapema peponi amiin

  • @allysuleiman6022
    @allysuleiman6022 2 ปีที่แล้ว +5

    Vilaza wakubwa ndio wamebakia leo dar? Nilikupenda sana mzee wetu ulale salama 🙏🙏

  • @nickodemsimchimba594
    @nickodemsimchimba594 2 ปีที่แล้ว +9

    Itachukua miaka 50 kumpata Rais bora kama huyu!
    Baba aliejaa huruma,na upendo Kwa wananchi masikini

  • @mingumatai6559
    @mingumatai6559 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪kila nikikumbuka upendo wake natamani kulia nani sinyamaze tena kwani alikua mkombozi mimi hanijui lkn nilivyo mpenda huyu baba mungu ndio anajua🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rpaul9400
    @rpaul9400 2 ปีที่แล้ว +10

    Mtoto alieguswa kichwani na hayati Magufuli,Ingekua mm nisingeoga wiki nzima🥺RIP baba 🇹🇿 tutakukumbuka daima

    • @husamtech2748
      @husamtech2748 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 Dah hii ndio Tanzania

    • @tingbatuuka7278
      @tingbatuuka7278 2 ปีที่แล้ว

      🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

    • @mgoledaudi6051
      @mgoledaudi6051 2 ปีที่แล้ว

      Jamani🤣🤣🤣🤣

    • @anahna6788
      @anahna6788 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni mapenzi tu Mimi nasema

    • @gervaskasala7321
      @gervaskasala7321 2 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nungefanya hivyo hivyoo

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 2 ปีที่แล้ว +1

    No one like him Abadan forever u will be remembered ❤️nakupenda hadi naumwa

  • @emmanuelbonifas2804
    @emmanuelbonifas2804 2 ปีที่แล้ว +1

    Wema awadumu pumzik jpm mungu alitupatia zawadi lkn tulishindwa kuitumia

  • @na-shownakshi7453
    @na-shownakshi7453 2 ปีที่แล้ว +4

    Enyewe alikuwa Rais wa wanyonge, angalia waliopo sahi venye wanageuka taratibu zake hayati

  • @faithhumble3780
    @faithhumble3780 2 ปีที่แล้ว +4

    Alikuwa Jembe sana

  • @edisonbenard226
    @edisonbenard226 2 ปีที่แล้ว +6

    Rest in peace father

  • @jogootv.8284
    @jogootv.8284 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mm nimekua nakulilia sana kila siki siwez kukusau mwenyezi mungu akupuuzie adhabu kwa udhaif wa kibinadam uliokua nayo hakuna jins ila babaang magufur nameng yakukuambia jaman naumia sana babaangu

  • @doxdonat7999
    @doxdonat7999 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee magufuli ulikua mtu ambae mwenyezi mungu alikutuma kwa adjili ya wanyonge,,,,😭😭😭😭😭😭

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulaze pema peponi

  • @mathewmathayo212
    @mathewmathayo212 2 ปีที่แล้ว +4

    Hslafu mjiga mmoja anakuja anasema magufuli alikuwa mbaya yaani kwa huruma hiyo ndiyo vibaya mbaya ni wewe tutaendelea kukumbuka jpm leo hii tayari wameshaanza kuota mapembe

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 20 วันที่ผ่านมา

    Hongera kwa ukumbusho wa jpm

  • @stellawilliam4794
    @stellawilliam4794 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aendelee kumlaza raisi wetu mahali pema peponi

  • @wilsonpeter-ri9ep
    @wilsonpeter-ri9ep ปีที่แล้ว

    May God have mercy on you and grant a place in heaven to continue praising him

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 2 ปีที่แล้ว +2

    kizur akidumu jaman tutakukumbuka sana baba pumzika kwa aman

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Baba! Nakukumbuka.

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 2 ปีที่แล้ว +2

    Tulideka sana tuliringa sana daaa

  • @sarahcklea9751
    @sarahcklea9751 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunakukumbuka baba najikuta nalia tu mwenyewe kweli ulikua mtetezi wawanyonge

  • @yohanaphilemon7645
    @yohanaphilemon7645 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah mwamba lala salama , kazi ulimaliza

  • @beipoaquality9159
    @beipoaquality9159 2 ปีที่แล้ว +1

    😭🙏🙏🙏PUMZIKA BABA

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 ปีที่แล้ว +1

    Tutakukumbuka baba

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mama nadhan bado analia mpaka sasa sidhan kama atakuja kumsahau huyu baba. RIP Magu Mungu akusamehe pale ulipomkosea baba

    • @festoloweza9868
      @festoloweza9868 2 ปีที่แล้ว +1

      Mpigania nchi mapenzi ya Mungu Ila mwanga tumeuona

  • @rajabumalupu4184
    @rajabumalupu4184 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwer kizur akidumu itachukuwa mda mwingi kama namba za cm

  • @Majambo_Duniani_Tv
    @Majambo_Duniani_Tv 2 ปีที่แล้ว +1

    Lala Jembe..

  • @sekuludevidi5943
    @sekuludevidi5943 2 ปีที่แล้ว +2

    Jembe pumuzika kwa Aman baba ulifanya kazi kubwa nchini

  • @abdallahkulinyangwa4930
    @abdallahkulinyangwa4930 2 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa amani Chuma.

  • @iddyrajabu1752
    @iddyrajabu1752 2 ปีที่แล้ว

    Rip baba

  • @nicodemusutato9845
    @nicodemusutato9845 2 ปีที่แล้ว +1

    Rais ambaye amewai kuninguza moyo mwenye utu , huruma na mwenye kujali maslai ya wasionacho mungu airehemu roho yake

  • @malikkb6444
    @malikkb6444 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzalendo wa kweli. Continue Resting in peace King Magufuli

  • @gervaskasala7321
    @gervaskasala7321 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba

  • @swaburudinimusitapha3735
    @swaburudinimusitapha3735 2 ปีที่แล้ว +1

    Umefanya jambo zuri Sana naomba uenderee kumukumkuka kwani ss tunamkumbuka Sana na kuazimisha simpaka mwakamumoja manake maumivu tunaishinayo sikuzote nimependa Sana uricho kifanya

  • @mariamukusaga7609
    @mariamukusaga7609 2 ปีที่แล้ว

    JPM lala tumekumis,

  • @leonardhangaya4623
    @leonardhangaya4623 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭

  • @abdullaabdulla7039
    @abdullaabdulla7039 2 ปีที่แล้ว +1

    JPM LALA SALAMA kamanda. Tanzania tunajuta natutajuta sana. Wewe umetuonyesha njia ila huyu mama ulituachea ni hovyo kabisa. Bora ange kufa yeye kuliko wewe.

  • @saidomary3370
    @saidomary3370 2 ปีที่แล้ว +1

    mungu mpunguzie azabu za kabury magufuri amini

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kweli mungu wetu tufufulie huyo rais wetu

    • @mamaloveness8998
      @mamaloveness8998 2 ปีที่แล้ว

      Yaaaan binafsi nawaza zamani walikuwa wanafufuka saiv tumekuwaje

    • @ndewariopeter4211
      @ndewariopeter4211 2 ปีที่แล้ว

      Mwarobaini wa Africa,,,unaishi mioyoni mwa wengi,,,MUNGU,umwifadhi mjoli wako,umsamehe alipokosea kwa kuwa alikuwa ni mwanadamu,"lkn uyakumbuke MEMA yake,na kuyasikia maombi ya wengi,ili umpe wa haki,,, Hakika,machozi ya WATANZANIA hayataisha mapema
      MUNGU,umwangazie NURU za USO wako,,,,na utuzawadie kumwona tena,kwenye ulimwengu ujao
      Kwa jina la BABA
      na la MWANA
      na la roho MTAKATIFU
      AMEN

  • @dhulmamwiko8452
    @dhulmamwiko8452 2 ปีที่แล้ว +1

    It was all for show, the dude was a butcher and history will judge him as such. Hatukumwona akiwatembelea na kuwasaidia wazazi wa Azory Gwanda na Ben Sanane ambao walipotezwa na Serikali yake ovu. Good riddance, and he can rot in hell forever

  • @jumakimawa3633
    @jumakimawa3633 2 ปีที่แล้ว

    Daima utabaki katika moyo wangu kiss, uliweza pale wengine waliposhindwa.

  • @shamilanassorohizza2281
    @shamilanassorohizza2281 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭

  • @gervaskasala7321
    @gervaskasala7321 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭