SHUHUDA: NI ZAIDI YA MIAKA KUMI TOKA NIMEPOKEA UNABII HUU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @judithanthony2690
    @judithanthony2690 วันที่ผ่านมา +1

    'Am proud of you Aneth!
    Ushuhuda umenitoa machozi.
    God's time is the best!

  • @shau78
    @shau78 วันที่ผ่านมา +1

    Dada nimefurahishwa sana na testimony yako. Mungu haongopi jamani

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aminaa

  • @angeljoseph4666
    @angeljoseph4666 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen

  • @dorislyimo8621
    @dorislyimo8621 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana Dada Anneth🎉❤

  • @neemasanga5333
    @neemasanga5333 วันที่ผ่านมา

    DADA ANETI UMENIFANYA NITOKWE NA MACHOZI SANA
    NIMEGUNDUA MAKOSA MAKUBWA NAOMBA ANISAMEHE
    MUNGU AZIDI KUKUBARIKI AKUTANGULIYE MPENZI UMETUBARIKI SANA SANA
    JUMWIA YA SALASALA🙏 10:48 🙌❤❤😭😭.

  • @sirieljoseph2112
    @sirieljoseph2112 วันที่ผ่านมา +1

    NIMEJIFUNZA KWAMBA WAKATI WA KUOMBA UNAWEZA KUSTRUGLE SANA ILA WAKATI MUNGU ANAKUJIBU KILAKITU KINAKUWA CHEPESI MNOO NA ANAFANYA KWA UKUBWA KULIKO TULIVYOOMBA
    NAMBARIKI MUNGU KWA USHUHUDA HUU🙏🙏🙏

  • @FurahaNgatena
    @FurahaNgatena วันที่ผ่านมา

    God's bless you nimepewa unabii lkn mambo hayamanifest Leo umeniinua

  • @MariaEnock
    @MariaEnock วันที่ผ่านมา

    Hata mimi nitaenda katika Nchi ya Ahadi.

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa วันที่ผ่านมา +8

    Ninyi kufanikiwa kwenu ni kazi,pesa,mafanikio ya ki mwili. Mnaweka nywele bandia,heleni na kuchubua nyuso. Huyo ni Mungu YAHWEH au ni yule mungu mwingine? Badala ya kuomba kufanikiwa kuacha dhambi ninyi mnaomba mafanikio ya ki mwili. Tafuteni kwanza ufalme wa mbingu hayo mengine mtazidishiwa. Poleni

    • @valentinanduku8718
      @valentinanduku8718 วันที่ผ่านมา +2

      Waambie kabisa watakosa mbingu kwa ajili ya mapambo

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa วันที่ผ่านมา

      @@valentinanduku8718 shetani haongei uongo original bali uongo artificial. Kwa mfano; eti kujipamba siyo dhambi huku hana kifungu. Na wewe unashadadia maneno ya mchungaji asiyetoa vifungu. Mchungaji anasema Mungu hapendi umasikini huku hatoi kifungu. Sasa tazama,huyo dada anafurahia kwenda marekani kufanya kazi lakini hajiulizi kwanini aende marekani kufanya kazi badala ya kubaki nchini akihubiri ili watu waache dhambi? Moja ya sababu ya kufurahia hilo ni kwakuwa anahitaji pesa kwa ajili ya gharama ya nywele,heleni,kujichubua,suruali zilizo chanika nk,lkn kuhubiri neno la Mungu ni rahisi sana,halihitaji Pete wala heleni,halihitaji kujichubua au kuvaa nywele bandia lkn watu hawawezi hili lisilo na gharama kubwa wanataka lenye gharama kubwa. Anyway,kondoo huijua sauti ya bwana wake. Be blessed

    • @nazielmbonea3690
      @nazielmbonea3690 วันที่ผ่านมา +3

      Kwahiyo tukioutafuta Ufalme wa Mungu wewe utajuaje? Na je, Mungu akitupa vya duniania tunyamaze? LIJUE NENO LA MUNGU UPATE UHURU WA KIFIKRA.

    • @JacklineKweka-nm9fq
      @JacklineKweka-nm9fq 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@nazielmbonea3690TAFUTA hela ndugu yangu... Unamwakilisha Mungu ukipendeza... Mwombe Mungu akupe wazo la kupata hela yangu

    • @aminakabuka8700
      @aminakabuka8700 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      MUNGU atusaidie

  • @LAMECKYOABU
    @LAMECKYOABU 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    uyu dada acha afanikiwe kwan hana dharau hana roho mbaya pmoja alikua ni boss ktk ofice fulan Ikawe heri na mafanikio tele ktk maisha yako, Uish sanaaaaaaaa

  • @nyawiranyaga9614
    @nyawiranyaga9614 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Though it may tarry, wait for it, It will surely come. It will surely happen.
    Father, may I not miss out my day of visitation. 🙏

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 วันที่ผ่านมา +4

    Hizi shuhuda ni ndefu nashsuri mtoa shuhuda awe anashika Mike yeye mwenyewe

    • @FurahaNgatena
      @FurahaNgatena วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 kwakweli

    • @MSWAKIMSWAKI
      @MSWAKIMSWAKI วันที่ผ่านมา +2

      Hahaha! Na kiti kabisa wapewe wakae 😂 ..tunawapnda ❤

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Akishika mike mwenyewe na lugha ya mikono ataifanyaje?
      Kwani msemaji amekuambia amechoka??

  • @MariaEnock
    @MariaEnock วันที่ผ่านมา

    Kama Mungu alivyokuinua,wewe dada Aneth na mimi Mungu atanifikisha