LULU:MWANAMKE BIKRA ALIYEOLEWA NA MWANAUME ASIYE NA UUME BILA KUJUA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #part1 #foxetv #mikasa #truestory #HardMovement Bonyeza alama ya Subscribe kisha weka notification on ili kupata matukio yote kwa wepesi zaidi Asante.#FoxeTv Ni Bora Zaidi
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    ©Instagram @FoxeTvTanzania tufollow sasa kwenye mtandao wetu wa kijamii
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    Tag;
    #video #bongomovie #truestory #majanga #mikasa #msaada #update #trendingvideo #trending #trendingnews #oman #omannews #omanchannel #omannewstoday #kenya #kenyanews #kenyadigitalnews #kenyanewsmedia #usa #usanews #america #american #amerika #tanzania #tanzaniasafari #tanzaniayetu #uganda #ugandanewsupdates #rwanda #rwandanmovies #burundi #burundinews #uchawi #mikasa #udakutz #udaku254 #ngono #VideoChafu #VideoXxx #Xxx #xxl #uchib #tikitv #tikitvkiakilizaidi #zanzibarbeach #maximumtvonline #maximumtv #DavistarMatal #mtoto #watoto #Ubakaji #diamondplatnumz #harmonize #comedy #comedyvideo #film #movie #movie #ayo #millardayo #millardayoupdates #GroblaUpdates #global #AingiliwaKinyume #bongostar #bongofasta

ความคิดเห็น • 101

  • @FoxeTv
    @FoxeTv  ปีที่แล้ว +3

    ILI KUJIUNGA NA GROUP LA WHATSAPP LA FOXE Tv UNAWEZA KUJOIN KUPITIA LINK HII HAPA👇 chat.whatsapp.com/CptUDTRfRSo5OimbjoLZ0a

    • @emmy3978
      @emmy3978 ปีที่แล้ว +1

      pole mtoto wangu kwamaelezo hayo uyo mume nijini at a anae kufatilia ni Huyo huyo mumeo tambua nimchezo unachezewa, ushaur nenda kwawatumishi wa Mungu anae mtumikia Mungu alive Hai kwel utagundu hiki ninacho kueleza, Angalizo watumishi waongo wapo nawatumishi wakwel wapo nenda utapata pata ufumbuzi

    • @AthmanMasini
      @AthmanMasini ปีที่แล้ว

      Lakini ujamtendea haki mume wako yaani akusomeshe na ankufnyia kila kitu leo hii unamuanika kwa mtandao😢

  • @mwashabanibakari6513
    @mwashabanibakari6513 ปีที่แล้ว +6

    Mmmh yaani hayo mambo ni yakifamilia na sio ya kutangaza mtandaoni

  • @augustinemakoba5622
    @augustinemakoba5622 ปีที่แล้ว +8

    Nilichogundua huyu dada ni Muongo 😂😂

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio ปีที่แล้ว +5

    Huu ni wehu!!! Kwanini kumtangaza ,ungemsitiri na kuvunja hiyo ndoa bila kumuaibisha!

  • @phorahmahaza638
    @phorahmahaza638 ปีที่แล้ว +13

    Mbona usingeiyeleza family yanini kumuanika mwenzio kwenye mitandao ya kijami khaaa Binti huna stara wew pumbavu kweli 😢

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      Hasa faamilly yenyewe haijali wao wanajali pesa tuuh

    • @HusseinGabu-wr3xh
      @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว

      Huyo mwanaume kwanza anaonekana ni mshilikina akae r mbali kabisa huyo mwanaume atamtoa kafara kwanza hata hizo pesa zake ni za kichawi kwa inavoonekana aachane bad kabisa hamfai hata kidogo

  • @meenalaza2839
    @meenalaza2839 ปีที่แล้ว +6

    Unyako ujaingia ww mtoto maana hukufunzwa unyagoni na wala ujaorewa usingetoa siri ya mume ka unavyosema amekutoa mbali ungemfichia aibu Mtoto wa mama mkwe

  • @ereneusalexanderisaya5432
    @ereneusalexanderisaya5432 ปีที่แล้ว +2

    Pole Dada nafasi yako na mmeo iko kwa yesu maana huyo ni mmeo pambana mchango wangu ni huo.

  • @user-dr7jn4op8g
    @user-dr7jn4op8g ปีที่แล้ว +4

    Sasa hapoulipomtolea hizosiri hapo ndio atabadilika. Ungemsaidia kwenda kwa wazazi wake au wako wakae sehemu moja wamsaidie pengine yeye haitaki hiyohali nakama unampenda usingemtolea aibuhiyo haifai

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmh ujinga TU huu KWA hiyo shida site tupitiazo lazima tuweke humu MENGI AAA

  • @khamisjina8833
    @khamisjina8833 ปีที่แล้ว +1

    Ndio mana ata watoto wetu hawana adabu mana na ss hatuna.
    Ukiamua ndoa ujue umeamua kuficha aibu yako na ya mwenzako. Ulikuwa uombe talaka uondoke zako mana Kila mtu ana mapungufu yake na ata ww huko na ukamilifu.
    Poleeee sana ni aibu ukarudi kwa nyakanga wako

    • @khamisjina8833
      @khamisjina8833 ปีที่แล้ว +1

      Na hashuo lako kichaa wewe, subiria wakubobeke mimba uje uombe misaada apo na ujinga wako wa kutovumilia saivi jitangaze uko bikra

  • @user-yj6oq6sg9r
    @user-yj6oq6sg9r ปีที่แล้ว +2

    Ilikua Hain haja ya kumzalilisha mwenzako ya raab tusitiri

  • @user-ev8qe1uf2f
    @user-ev8qe1uf2f ปีที่แล้ว

    Nyie munaosema kua huyu msichana Hana Akili Kwa kua anamuanika mumewe hadharani kwani kamtaja jina ? Alichokifanya huyu msichana ni Bora ametupa chalengi tupate mazingatio na kusoma tujifunze baadhi mana hili ni geni kw wengi

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว +4

    Huyo mumeo Anausika na mambo ya kishilikina na kipato chake na isia zote kutokana na ushilikina samahani madam lakini chunguza kiundani 🇹🇿🇬🇷⚓👍

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว +2

      Hata me nahisi hivo afuu watu wanamtukana huyu binty me nahisi hizo mali zake huenda kajitoa ili apate pesa au sio binadam wakawaida

  • @SarahChambo-mr8ku
    @SarahChambo-mr8ku ปีที่แล้ว +2

    Kama kweli unampenda mume wako amekutoa mbali ungetafuta mtu mzima au mzazi mmoja mwenye busara umuelezee ili upatikane ufumbuzi kuliko kumdhalilisha kwenye mitandao ya kijamii

  • @user-jr3kt4nk5v
    @user-jr3kt4nk5v ปีที่แล้ว +3

    Kumbe mda kutoka kwenda kuongea na wanaume ulikuwa unapata kwa nn usitumie mda hohuo kuongea na mama yako

  • @robsonwisdom1994
    @robsonwisdom1994 ปีที่แล้ว +1

    Saiz ujinga ujinga mwingiii Sasa kwann usingeenda Kwa wazazi upate msaada umekujaa huku kutrendisha ujingaaa

  • @MwanaidiMohammed-bm6qg
    @MwanaidiMohammed-bm6qg ปีที่แล้ว +2

    Sikila Mnachokiona mkakianika miTandaoni siuzuri kutfuta kiki tumuogope mungu tutakufa nakurejeya kwa Allah,kwani huyo mwanamme hana wazee mkayasolve matatizo yenu

  • @godfreymollec8206
    @godfreymollec8206 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe wandishi wa habari si wazuri hata kumuelekeza msichana huyu mnashindwa kumwelekeza akajielese kwa wazazi mnapokea maneno bila kutoa ushauri kwa watu wanaopitia magumu badala yake kuwafunuwa

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว

    Kamwanika mwenzio akamwanika tena khaaaaa jamani

  • @Mommy4147
    @Mommy4147 ปีที่แล้ว

    Pole sna dada mungu akupiganie inauma sna

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 ปีที่แล้ว +2

    Ya kwel ayo mtoto mzuri km hyu kw dunia ya saiv awe hajawai kukalia mboo ah sio kwel apa watuache kwnza

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว +6

    Huna akili ujafundwa kwa nn unakuja kwenye media 😢😢

  • @user-vj6qs8sv8i
    @user-vj6qs8sv8i ปีที่แล้ว +2

    Ulikuwa umstiri na uwende kwa wazee wako uwahadithie wakae waamue na mwisho wende katika mahkama ya kadhi
    Huko utapewa ataitwa na utapata talaka yako
    Nasha zangu usijitangaze hivyo humjui mwema wako na mbaya wako
    Jitahidi uziingie katika zinaa
    Mtume Mhammad S A W anasema
    Mwenye kumsitiri mwislam mweziwe Atamstiri siku ya kiyama

  • @JacklineJosia-qs5hb
    @JacklineJosia-qs5hb ปีที่แล้ว +1

    Daaa mdomo koma😢😢…. C ungekaa kmy au ungeongea na familia ake 😅😅😅akil fupi

  • @thuhailamohamed190
    @thuhailamohamed190 ปีที่แล้ว +2

    Ukisikia usungo ndohuo wewe siumesema umefanyiwa paty sasa hukuambiwa kama siri zamumeo upeleke kwenu au ukweni yaani umejiabisha wenyewe hata mungu hapendi huna subra

  • @godfreymollec8206
    @godfreymollec8206 ปีที่แล้ว +1

    Pole mwanangu lakini ungenda kuwaeleza wazazi wake ili mtafute suluhisho pole mwanangu

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว +1

    Si mzima huyo mtu kwanza ukiolewa mume akija kukuchukuwa unavyo tete eka atamlani watu atoke chumbani akuvae Tena ukiolewa ukiwa mdoqo mbona raha sazote ataka akuvae ili kuzowee huko chini duh pole mwaya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nasramohamedi4095
    @nasramohamedi4095 ปีที่แล้ว +4

    Story ya uongo fyuuuu 😏😏

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว +2

    Mim sija elewa jogo hapandi mtungi aw hana mpondo

  • @hilmykassim903
    @hilmykassim903 ปีที่แล้ว +1

    lana hua inatembea .. tuwape watoto wtu malezi bora ,, hii ni hatari sna ,,

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 ปีที่แล้ว

    Ana Nguvu Za Kiume Au Ana Jisia Ya Kiume Tuseme Ako Na Ya Kike Au Maana Cjaelewa Apa 1,2 Ulishidwa kutafuta Familiya Mkatatua Tazito Unatafuta Watu Wamitandaoni Watakusaidia Na Nni Ssa😢😢😢😢

  • @HellahbeautyMugambi
    @HellahbeautyMugambi 7 หลายเดือนก่อน

    Pole dada 😢

  • @ndabaniweperusi9546
    @ndabaniweperusi9546 ปีที่แล้ว +1

    Nakuayidi subiri raki ukikoso utae ndakumitafuta mwengine anapesa rakini ukikosa upendo akunakitu kabisa

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ungeondoka tu kimya kimya ukaenda kwenu

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 ปีที่แล้ว +3

    Hizo pesa alizo nazo mmeo ndizo zilizomfanya hivyo.

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 ปีที่แล้ว +1

    yan unamuanika adharani kwan hana wakubwa uko kwao?huna heshima....mitandao inafanya watu kukosa nidhamu.. umemdhatilisha mno..

  • @user-iu4du7ws6s
    @user-iu4du7ws6s 10 หลายเดือนก่อน

    Huyo moaka hujui kazi yake hilo ni tatizo pia, atakuwa ni mshirikina tena wa hatari yawezekana kakufunga kutokuwaza chochote isipokuwa yeye tu,

  • @user-wy7zl2vr6k
    @user-wy7zl2vr6k ปีที่แล้ว +1

    Duuuuu, kwa hiyo. Apo. Unatafuta. Bwana. Au, mambo hayo yakifamili wewe duuuuu, ni ujinga. Huo. Kwa mwambiye mama yako, huna wazazi wewe.

  • @mussamatondo4886
    @mussamatondo4886 ปีที่แล้ว

    Kuna mambo ya mtandaoni sio kama hili, kizazi hiki hakuna siri, ww wezako wanafanya biashara kuptia ujinga unaouanika mtandaoni

  • @estershekika8865
    @estershekika8865 ปีที่แล้ว +10

    Sura yako na akili yako vyote vinafanana yaani kifupi tahira sana

  • @user-qs4fb5fo5f
    @user-qs4fb5fo5f ปีที่แล้ว +1

    Hana jinsia au hasimamishi

  • @josphatmwai1994
    @josphatmwai1994 ปีที่แล้ว +1

    Wa bongo nyi hodari Sana na kuigiza huyu dada namkumbali

  • @harrietsutta2568
    @harrietsutta2568 ปีที่แล้ว

    Acheni Kiki huyo tunamjua hajaolewa na mtu yoyote....

  • @christinagarang7367
    @christinagarang7367 ปีที่แล้ว +2

    Uongo i tupu

  • @jackdaniels9323
    @jackdaniels9323 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji ziro

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 ปีที่แล้ว +1

    Kma nikweli basi hana makosa amekosa ushauri tu nakuweza kumpa ushauei

  • @halimakaniki9092
    @halimakaniki9092 ปีที่แล้ว

    Acha kudanganya dada

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 ปีที่แล้ว +1

    Kuna kitu kunaitwa chenipati kwa mtoto wa kike🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 ปีที่แล้ว

    MUNGU akusamehe hujui ulilofanya 😢

  • @mgenijuma-lc2or
    @mgenijuma-lc2or ปีที่แล้ว +2

    mtihani umemuanika mumeo mtandaoni je na ww ungeumbwa si mkamilifu ukatangaziwa ungerizika tuwe na huruma

    • @janeschurmanns7364
      @janeschurmanns7364 ปีที่แล้ว

      Mimi siamini hii story niyakutunga tu hatakama hajawahi kufanya mapenzi hata hajawahikusikia watu wanavyofanyaga hata shule ya msingi wanafundisha

    • @fatumakambangwa6323
      @fatumakambangwa6323 ปีที่แล้ว

      Ila Mimi naona sio vizuri Kama nI kwer utakuwa umemkosea sana na pia najiuliza Kama huyo mtu ana pesa mbona yupo yupo tuu aelekei na mtu akiwa bikra anakuaga na aibu Hilo kulu bembe na huyo kaka kapita naye anajichanganya Kwanza Hana maadili kabisa muongo kabisa angekuwa aelewi kumbuka alisema alikuwa anamlalia mme wake kifuani na alikuwa anajitahidi alikuwa anajitahidi kumfanya nini mumewe doooo ovyooooo

  • @farinhafrank-dm4sg
    @farinhafrank-dm4sg ปีที่แล้ว +3

    Waongo hawa ili wapate views

  • @aishaabdi2059
    @aishaabdi2059 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sidani km uliolewa kisheriya usenge muumbuwa mwenzako mke na mume munatakiwa kustiriyana aibu zenu mana hakuna mkamilifu kila mtu anamapungufu yeke wewe nizamwamwa

  • @user-xq7eo3eb4p
    @user-xq7eo3eb4p ปีที่แล้ว +1

    Haeleweki ..

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 ปีที่แล้ว +2

    MPUMBAVU SANA WEE MTOTO.KWA NINI HUKUENDA KWA WAZAZI WAKO.. MUASIRIFU WEWE .SASA NIKU ULIZE.....UME TANGAZA HADHARANI . UME PATA FAIDA GANI

    • @zahrahassan5851
      @zahrahassan5851 ปีที่แล้ว

      Achen kutuga story mtagazaj unekosa kazi

    • @fatmakhatib2935
      @fatmakhatib2935 ปีที่แล้ว

      Kwahio umekuja kwenye midia ili uondolewe hio bikra ama tukusaidie kumuweka uume huyo mumeo

  • @everlynenambi3852
    @everlynenambi3852 ปีที่แล้ว +1

    Kwni alikua anakojoa vipi

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mbona umesema ungefichatu umesema tena mtandaoni😢😢😢😢

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 ปีที่แล้ว +1

      Hapo ni kweli amemkosea sana mume wake,maswala haya yalikua ni ya kifamilia tu

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 ปีที่แล้ว +1

      Thank's alot

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 ปีที่แล้ว +2

    POLE DADA NA MITIHAN NIPR NAMBA HIYO MIMI TUFUNGE NDOA NITAISHI NAE KWA SHIDA NA LAHA MAANA NA MIMI SITAMANI KUFANYA ZINAAA

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 ปีที่แล้ว +1

    Chen party !

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 ปีที่แล้ว +3

    Mtoto mdogo hana hata aibu usoni . loo !!

  • @kazungukakio9600
    @kazungukakio9600 ปีที่แล้ว +2

    Part 2 iendelee

    • @fatumakambangwa6323
      @fatumakambangwa6323 ปีที่แล้ว

      Umenichekesha sana kazungu hongo ilo mwanaume kwer uingie naye gesti harafu akuache daaaa weeee mtoto sisi wakubwa Kama ulivyoambiwa sisi wakubwa jamani ,huyu ameachika kwa sababu ya umalaya kumbe ana hasira ndio maana ameamua kumchafua hapo alipo maisha yameshampiga anaropoka Sasa ukimaliza tuletee party 2_3 bila kusahau

    • @kazungukakio9600
      @kazungukakio9600 ปีที่แล้ว

      @@fatumakambangwa6323 , mm mukenya ndivo nilivo, utacheka hadi ukauke mbavu kwikwikwikwiiiiiiii.

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว +1

    Subuhana

  • @vickylayda6336
    @vickylayda6336 ปีที่แล้ว

    Wewe huwexi kuwa n na ndoa ni.mtu ambaye siyo mwana ume

  • @shannunbash712
    @shannunbash712 ปีที่แล้ว +1

    Lakini msilaumu kamwambia mamake hajafanikiwa na ni mtoto mdogo alitapatapa mtu aliompata kwaushauri si mzuri

  • @PatriceKimario-zt5tx
    @PatriceKimario-zt5tx ปีที่แล้ว +1

    Kwahio maamuz

  • @nadhlaally550
    @nadhlaally550 ปีที่แล้ว +1

    Muongo ww Kwan huna wazazi mbona ulishindwa kuwaambia wazazi wako uctuletee drama hauna akili ww ingalikua Ni ww ungekubali kutangazwa mitandaon hunaadabu Wala huna heshima inaonekana hukufunzwa Ni muhuni2

  • @user-vj6qs8sv8i
    @user-vj6qs8sv8i ปีที่แล้ว +1

    Ukimwendea kinyume utajuta

  • @amoonatnzani9834
    @amoonatnzani9834 ปีที่แล้ว +2

    Kwaiyo unatafuta mume au Maana cjaelewa mm

    • @FatumaMamlo-st8pj
      @FatumaMamlo-st8pj ปีที่แล้ว +1

      Kamzagamue to bado bikra anawashwa huyo dada jaman msaidieni mmnjunje

  • @ChristinesifaRuwa-ix9iy
    @ChristinesifaRuwa-ix9iy ปีที่แล้ว

    Kutangaza kwa media sio suluhisho dada kwa sababu hata ww una mapungufu yako ungewaomba wazazi wa pande zote mbili mukazungumuzia hilo jambo wala sio kumudhalilisha mwenzako

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว +1

    Waume wabaya

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      Me nashangaa watu wanao mtukana huyu mbinty kasema huko kwao mama baba hajali hasa yy afanye nn nakama hivi mume hana jinsia kunamtu anaweza kuvumilia au tunatukqna tuuh

  • @Fofo-511F
    @Fofo-511F ปีที่แล้ว +1

    Ungeondoka bila. Kuweka mitandaon

  • @fatmakhatib2935
    @fatmakhatib2935 ปีที่แล้ว +1

    Mshamba sana ww dogo kwenda zako ukooo

  • @JeremiahSebastian-v5g
    @JeremiahSebastian-v5g ปีที่แล้ว +1

    Mjinga huyo kuanika Siri ya mwenziye ko anataka mwanaume amuoe?

  • @jyohana0059
    @jyohana0059 ปีที่แล้ว +1

    Pumbavu kabisa ko umesaidiwa nini?

  • @EliechiKimario-bv1gz
    @EliechiKimario-bv1gz 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 drama

  • @fatumayusuphu989
    @fatumayusuphu989 ปีที่แล้ว +2

    Ungemstiri mume wako siyo kumtangaza

    • @fatumakambangwa6323
      @fatumakambangwa6323 ปีที่แล้ว

      Wajina hongo ilo wewe hujapata picha bado huyo kaachika kwasababu ya umalaya

  • @user-ev8qe1uf2f
    @user-ev8qe1uf2f ปีที่แล้ว

    Huyo mumeo ni mshirikina utupu wake umetolewa kafara ,hio ni somo kwetu tumejifunz tusioyajua

  • @christinainnocent3184
    @christinainnocent3184 ปีที่แล้ว +1

    Sasa wewe binti yetu kweli hujui sex unafanywaje yaani mpaka miaka 20 hujawahi kuongea na wasichana wenzio na ulipiolewa hukufundwa kueleza hayo yote, na huyo rafiki yako alipokua anakuchezea mkono nk hukuwa uanasikia hali ya his ya sex haiwezekani

  • @user-jp5yy6kb9h
    @user-jp5yy6kb9h ปีที่แล้ว +1

    Mh wewe dada huna mafuzo