Mwinyi amshauri Mwinyi: Ifanye Zanzibar ya Haki kwa Wote, Maridhiano Yatanawiri na Nchi Itaendelea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 2 ปีที่แล้ว

    Good job my brother speaks up about Tanzania government

  • @medybrown4683
    @medybrown4683 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akubariq na akulinde kwa uliyoyaongelea

  • @zeanamohamed4072
    @zeanamohamed4072 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akujaaliye umri mrefu naakupe afya njema. Unayoyasema. Ni ya kweli

  • @kaykay9722
    @kaykay9722 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante baba nakumbuka kma n leo iyo cku pole sanaaa allah ndio kila kitu na ndio hakimu wa mahakimu

  • @zakwani885
    @zakwani885 2 ปีที่แล้ว

    Ni muhimu dokta kuyashuhulikia shukran

  • @mms9158
    @mms9158 3 ปีที่แล้ว

    Mashaalla pole sana yalokufika Allla atakusaidieni

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 3 ปีที่แล้ว +1

    Maneno makali kweli Allah akuhifadhi

  • @jumaaomary4949
    @jumaaomary4949 3 ปีที่แล้ว +1

    Good mzee tukopamoja

  • @abdulhalim3840
    @abdulhalim3840 3 ปีที่แล้ว +3

    CCM han tofaut na mmarekan Hana Rafik wa kudumu ili uwe Rafik kwake lazim ukubali kuuliwa tu ukijibu kwa mdom tu shtaka la ugaid linakuhusu laana CCM

  • @khadijaamjn7480
    @khadijaamjn7480 3 ปีที่แล้ว +1

    Ccm ni washenzi tu lakin hakuna refu lisilokua na mwisho

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 ปีที่แล้ว +1

    TUMECHOKA KUTAWALIWA NA WATANGANYIKA.

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu yetu umesema ukweli mtupu.Watu waliuliwa,kupigwa na kuibiwa lakini watawala hata kukemea hawakufanya hivo.
    Ni maonevu kila kipindi cha uchaguzi.
    Kuhusu kushtaki hao wanaofanya vurugu, ni kazi ya bure maana vyombo vya kutetea ndio vimemilikiwa na watawala

  • @aliysalim6616
    @aliysalim6616 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa ccm uchaguzi ulikua nzuri kwa sababu wameua kwa mamia

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa mwisho wala haogopi yeye ni kweli tupu

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 ปีที่แล้ว

    TECHOKA KUTAWALIWA NA WATANGANYIKA.

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe we bwana mwinyi wajua leo kwmba polis ni la ccm ndo ujue.

  • @abdulhalim3840
    @abdulhalim3840 3 ปีที่แล้ว

    Kizaz kinaongeza ucjl baba mwinyi pole san ipo cku itafika sote tutakuwa vichaa ni panga tu kwenda mbele ndio bendera yetu police hawaja Anza kuuwa Leo washenz tu awo

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 3 ปีที่แล้ว

    Kataeni uchaguz bas tena ikiwa hawakubali kukaa sawa waachieni tu kirohosafi

  • @ridhwanfaki9738
    @ridhwanfaki9738 3 ปีที่แล้ว

    Ccm ni mfano wa watu wiliozungumzwa ktk kitabu kitukufu cha kuraan .pale maandiko yanaposomeka ,wanamacho lakini hawaoni ,wanamasikio lakini hawasikii na watu hao ni miongoni ya waliokula hasara .audhubillahi mindhalik.allahu alaam.

  • @aliyahmed8954
    @aliyahmed8954 3 ปีที่แล้ว

    Unaongea pumba tu