Mashaallah amir wetu Allah akupeni Subra na akujaalie matatzo muliokutana nayo iwe Ndiyo njia ya kuingia Katika pepo tukufu ya Allah Subhanallah Wataala
Subhana Allah hatawaislam waleo hatujui tunaingia kweye shirki bila kujua pia na kuzini na bila kujua ni hatari sana kwa mungu mungu atusehe kwa rehma zake
Marko 12:29-31, Yesu akasema sikiliza Israel Mungu wetu ni mumoja tu na mumuabudu yeye pekeyake na Utampenda mwenzio kama ujipendavyo mwenyewe. Hakuna Amri Nyingine Kubwa kuliko hizo
Nakupenda Kwa ajili ya Allah shekh Mselemu tulimisi masomo Kama haya Mwenyenzi Mungu akuhifadhi
Shamuhun hongera shekhe mselem kwa faida unazo tupapatia
Tuna kupenda amir wetu kwa ajili ya Allah
Barak zote, ziwe juu yako
Yaa Allah wape Uhuru masheikh zetu
Somo zito sana. MwenyeziMungu Akutunze na Akufanyie wepesi Shekh.
Allah akupe kila lenye kheri na wewe pamoja nasi hapa duniani na milele kesho akhera....
Yaa Allah Bifadhlika mtoe huyu Ndugu yetu Gerezani
Masha Allah barraka Allahu feek sheikh
Mashaallah amir wetu Allah akupeni Subra na akujaalie matatzo muliokutana nayo iwe Ndiyo njia ya kuingia Katika pepo tukufu ya Allah Subhanallah Wataala
Mwenyenzi mungu akulipe heri
Mwenyezi Mungu atakusahilishia Sheikh wetu na hiyo mitihani ya Kidunia
Ametakasika Mwenyezi Mungu Alieumba mbingu 7 bila YA nguzo
Allah akuhifadhi shekh
Jàzaaqa llahu khayra
Masha Allah tabarrak Allah
Mashaallah
Namkumbali sana huyu mwazuoni wa ulamaa
Mashaallah Allah akuwek mwalim wetu
Mashaallah sheh wetu mola akulinde naakupe umri mrefu uzidi kutupa elimu nyeye manufaa
Mashaallah Allah awape nguvu na kwa kila hatuw mayo pitia
Subhana Allah hatawaislam waleo hatujui tunaingia kweye shirki bila kujua pia na kuzini na bila kujua ni hatari sana kwa mungu mungu atusehe kwa rehma zake
Allahumma Amiin
Ash hadu AN'NA laailaha
Mashallah Allah SW akuongoze zaid ktk njia iliyonyooka pamoja nas
Allah awape subra ipo cku haki itapatikana
Allah akulinde nashari zabinadamu naakusaidie utoke jela Inshallah
MashaAllah Dua yako ilikuwa maqboul
ALLAH SUBUHANAHU WATAALA ATAFANYA MTATOKA!
Mmm bbbbb bb
Hafidhwahu llahu
Tunakupenda kwa ajili ya ALLAH amir wetu dawa zinaendelea
Shukran
Alkhamdulilah inshaallha
Mungu akuongeze
Marko 12:29-31, Yesu akasema sikiliza Israel Mungu wetu ni mumoja tu na mumuabudu yeye pekeyake na Utampenda mwenzio kama ujipendavyo mwenyewe. Hakuna Amri Nyingine Kubwa kuliko hizo
Mungu akupe subira sheikh wetu tunakosa darsa mpya mungu akuhifadhi
Allhahu aalam bima taqulu
Allah akuhifadh na akupe subra
Mashalwaaa
Amin allhahuma amin
Msimamiaji wa channel hii nakuomba itunze sana hii channel maana ina elimu kubwa mno ❤ itawafaa wengi watakaokuja baada yetu
inshaallah ALLAH atupe nguvu ya kuisimamia channeli hii kwa maslahi ya kuwafundisha waislamu dini yao tukufu
Yadhakallahu khayra
Maxhaallah
Allah akueke sheikh msellem akupe nguvu zaidi na afya ya mwili na akili uzidi kutuita katika uongofu.
Sub-hanaka
maashaallah
Mashaallah
Mashaallah