'NILIVALISHWA TAIRI, WAKANIMWAGIA 'PETROL', NILISALI SALA YA MWISHO...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024
  • Nilipigwa nondo ya kichwa, niliona nyota.. akaja mshikaji mmoja ana kibiriti cha njiti, yule mshikaji hana huruma..." Calvin Dunkan akielezea tukio ambalo hatalisahau wakati wa mapito yake alipokuwa akitumia dawa za kulevya.
    Full stori ipo kwenye TH-cam channel yetu #CloudsMedia
    #PBCloudsFM
    #Tumekuverify

ความคิดเห็น • 10

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna Mungu na huwa anajidhihirisha katika maisha yetu sema huwa hatufuatilii maajabu yanayotokea kwenye maisha yetu.

  • @FernandesKennedy
    @FernandesKennedy 21 วันที่ผ่านมา

    ur so lucky ma bro and am always proud of u ma G😮

  • @shukurusaria8527
    @shukurusaria8527 21 วันที่ผ่านมา

    Matangazo meengi sana

  • @LuckyTemu
    @LuckyTemu 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwema siku zote 🙏🏼 ila hizi habari za kupiga wezi na kuwachoma wakat vyombo vyenye mamlaka vipo unapata wapi ujasiri wa kumchoma binadam mwenzak 😥💔

  • @ivantompoo-p1w
    @ivantompoo-p1w 21 วันที่ผ่านมา

    Kabla haujafa

  • @user-ib3sl7wg5u
    @user-ib3sl7wg5u 21 วันที่ผ่านมา

    Muwe mna edit matangazo

  • @eugeniasimon9641
    @eugeniasimon9641 21 วันที่ผ่านมา

    Nyonzo mvule

  • @hassanihussein2731
    @hassanihussein2731 21 วันที่ผ่านมา

    Sjawai kumuona masoud akicheka kama leo😂