MWAKAJOKA,MDUDE,HAONGA,MWALUSANYA,MCHUNGAJI MWASHITETE NA VIONGOZI WENGINE WA CHADEMA WAAPA....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • SIASA NI MAISHA MSIKUBALI MTU ACHEZE NA MAISHA YENU

ความคิดเห็น • 15

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante wananchi kwa kuitikia wito kuhudhuria mikutano ya chadema kusikiliza elimu na sera bora. Chadema ni chama kinachohubiri haki,hivyo Mungu husimama katika haki! Ikatae ccm uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa mitaa,vijiji, madiwani, wabunge na Rais msiwachague hao mafisadi.

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 3 หลายเดือนก่อน +2

    Chadema moja hiyo✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pambaneni wanaume tunawaaminia

  • @IbrahimKasambala-ts8re
    @IbrahimKasambala-ts8re 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani chadema tukaze but achana na habari ya msigwa kajimaliza mwenyew kisiasa

  • @danielkanso
    @danielkanso 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi cdm mnaeleweka

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chadema inamajembe

  • @aronimanirakiza5655
    @aronimanirakiza5655 3 หลายเดือนก่อน

    Misuse. Niagara Lisu. Joni. Ache. Rena Nguni. Mungu awarinde

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mikakati ya kuwatengeza watanzania kisaikojia kuwa sasahivi ni kuakikisha kwenda kumtetea kiongozi aliochanguliwia uchaguzi ni kuitisha maandamano atakae kataa huko kumuazibu hakuna duka wala soko kufunguliwa kwenda wote msatsri wa mbele kubishana kwa mawe iwe popte pa le mwizi wa kura ni mwizi km mwezi mwingine

  • @PaskaliBaha
    @PaskaliBaha 3 หลายเดือนก่อน +1

    ✌️✌️✌️

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 3 หลายเดือนก่อน +1

    VYAWA HOYEEE NINAWAONA WANA WA VYAWA WANA MAGEUZI. LEO NIMEKUSIKIA KUMBE WEWE NI MWAMBA, CHADEMA INA HAZINA YA VIONGOZI.

  • @ProsperMsemwa-g8n
    @ProsperMsemwa-g8n หลายเดือนก่อน

    Tuna wapa tuu sina shaka nyinyi mna akili kubwa

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 3 หลายเดือนก่อน

    LEO NIMWKUSIKIA MH. FRANK MWAKAJOKA KUMBE WEWE NI MWAMBA KWELI KWELI, CHADEMA HAKIKA IMEJAA HAZINA YA VIONGOZI BORA NI MATUNDA YA SIASA SAFI ZA MH. MBOWE M/ KITI CHADEMA TAIFA. MH. MBOWE NITAMKUMBUKA DAIMA KAMA MMOJA WA WANA SIASA BORA DUNIANI!!!

  • @ProsperMsemwa-g8n
    @ProsperMsemwa-g8n หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 หลายเดือนก่อน

    Kunakitu mnasahau. Ccm haina shida na wana siasa ccm lnashida na mfumo wa zamani wa kisiasa msigwA sio sulisho ndani ya ccm kwakua ccm lnawasomi wenye phd na level zingine za elimu ambayo wana elimu kubwa na wenye nguvu ktk ccm kuliko msigwA lakini hawa sauti ndani ya ccm